Jinsi gani ya kufukuza paka nyumbani?

Jinsi gani ya kufukuza paka nyumbani?

Miaka mingi iliyopita niliishi nyumba ambayo kuna mpangaji alihama na kuacha paka wake hapo. Inaelekea paka hakujua makaz mapya ya bosi wake kwa hiyo akawa around hapo kitaani. Paka huyu alikuwa nunda sijawahi kuona. Anaweza asionekane for weeks then siku mmoja mtamwona kaja katulia tuli juu ya paa anaangalia nani amekaa "vibaya" amlize "mlio".

Siku moja nakumbuka tumerudi home jioni ile tunafungua mlango tu tukapishana nae anatoka rum, tukajua tayari tushaumia. Tumeingia ndani tukakuta kavuruga kila kitu pale ndani kakamua msosi wooote iliyokuwa tule jioni ile na kamalizia kwa kutandaza kinyesi cha kutosha tokea kwenye hifadhi ya unga, sakafuni hadi vitandani. Na siku hiyo kulikuwa na giza totoro hakukuwa na umeme...sitak tena kumkumbuka paka yule..
 
Njia rahisi ya kukabiliana nao kama unaona wanakusumbua sana na umeshindwa kuwathiibiti ni kuhama na kuwaachia hiyo Nyumba ili kuwakomoa,tuone watakula wapi.

Hapa nimelazimika kucheka...!

.....
Paka anapoishi nawewe anaishi kwa terms of equal partners no body is a boss(actual the cat is the boss) unaweza ukamwita na asije atakuja when he feels like to be petted ....

Na hapa ndipo nisipokubaliana na ufugaji wa paka.

Yaani Paka wana viburi....hasa wale wanaorandaranda kwenye maeneo ya baa.

Ushauri:

Usimuue...ila mfanyie vitimbwi ulivyoelekezwa hapo juu na wana jukwaa mpaka ahame mwenyewe.
 
Mvizie mkate mkia kipande kidogo then kile kipande kichome moto huku ukifukizia moshi ndani ya nyumba yako hahhhha hatarudi ng'o
 
wadau naomba msaada, njia gani rahisi ya kufukuza paka ktk nyumba ninayoishi.nilikuwa na paka mmoja jike sasa amezaa watoto wawili wa kiume hila tangu wakiwa wadogo hawakamatiki kwani ukitaka kuwakamata wanakimbilia kwenye nyumba ya jirani isiyoishi watu then baadae wanarudi.kwa kweli wamekuwa kero sana wadokozi kupita maelezo.Nini kifanyike kuwafukuza au ntapata wapi mtego wa kuwakamata.

Wewe ni jitu katili sana sana! Ulipomleta huyo paka ulikuwa unawaza nini na sasa unataka kumwangamiza. Ulifikiria atakuwa anakula udongo na mawe? Mijitu mingine ina roho za unyama unyama tu.
 
...,Kama swala ni kuwafukaza tu bac ucwahesabu ktk ratba yako chakula na jtahd kuweka vpolo vyote sehemu salama, yaani uwafanyie Ukauzu zaid ya dagaa had wakckia saut yako 2 wanatoka nduki.., ni siku 7 tu wanahama.., Ila kama ni kuwauwa bac chukua the best soln ya Mdau hapo juu!!

Nyie Waswahili mnataka kuharibu lugha yetu kwa lugha ya SMS sasa kwa nini unaandika 2 badala ya TU? Pia unaandika WAKCKIA badala ya WAKISIKIA!
 
wadau naomba msaada, njia gani rahisi ya kufukuza paka ktk nyumba ninayoishi.nilikuwa na paka mmoja jike sasa amezaa watoto wawili wa kiume hila tangu wakiwa wadogo hawakamatiki kwani ukitaka kuwakamata wanakimbilia kwenye nyumba ya jirani isiyoishi watu then baadae wanarudi.kwa kweli wamekuwa kero sana wadokozi kupita maelezo.Nini kifanyike kuwafukuza au ntapata wapi mtego wa kuwakamata.
Sijakulewa unataka kuwafukuza au kuwaua? Maana kama ni kuwafukuza mm sijui lkn kama ni kuwaua kuna dawa fulani hv nyekundu za kuwaulia. Zina punje kama mchele hivi ukiwawekea kwenye chakula wanakula bila kuhisi chochote maana halina harufu kabisa.Hii dawa ni kiboko kwa panya na paka kwa ujumla lkn bahati mbaya sijui jina lake ulizia madukani utpata tu mwana.
 
Mimi nina paka nyumbani na amesaidia sana kutokomeza BITO waliokuwa wananitia hasara home. Panya wameisha na sasa tunaishi heaven na paka wetu. Huwa nakagua kila siku kama amepewa chakula na kama chombo chake ni safi. Ninapokuwa bar natafuna minofu huwa namfikiria na kumbebea baadhi ya vipande. Of course nina mbwa pia. Paka alishawahi kudokoa kitoweo cha siku nzima, nilikwazika ila sikumchukia nikijua kwamba ni uzembe kutohifadhi vitu vyema.

Nitakueleza kitu.
Nifikapo nyumbani wanyama wote hawa hunikimbilia miguuni yaani mbwa. Pia paka yeye atanifuata nilipokaa na kujilaza miguuni kwangu kabisa kama anayetafuta joto.

Mnyama ukimpenda atakuwa rafiki yako daima. Ila ukimuonesha ukauzu ujue atakugeuka siku moja. Kuna wanyama (mbwa) wapo tayari kua kwa ajili yako hivyo ni budi kuwaonesha kuwajali na kuwa nao karibu ktk kuwatunza vyema.

Kama unaona paka amekuwa tatizo mpeleke kwa VET kuliko kumtenda baya

Njia rahisi ya kukabiliana nao kama unaona wanakusumbua sana na umeshindwa kuwathiibiti ni kuhama na kuwaachia hiyo Nyumba ili kuwakomoa,tuone watakula wapi.

ww jamaa.unaweza ua watu...hahahahaa
 
wadau naomba msaada, njia gani rahisi ya kufukuza paka ktk nyumba ninayoishi.nilikuwa na paka mmoja jike sasa amezaa watoto wawili wa kiume hila tangu wakiwa wadogo hawakamatiki kwani ukitaka kuwakamata wanakimbilia kwenye nyumba ya jirani isiyoishi watu then baadae wanarudi.kwa kweli wamekuwa kero sana wadokozi kupita maelezo.Nini kifanyike kuwafukuza au ntapata wapi mtego wa kuwakamata.

Treat them nicely and well !! ukiwadhuru watakusababishia majanga!
 
Back
Top Bottom