Wadau naomba msaada,
Njia gani rahisi ya kufukuza paka ktk nyumba ninayoishi. Nilikuwa na paka mmoja jike sasa amezaa watoto wawili wa kiume ila tangu wakiwa wadogo hawakamatiki kwani ukitaka kuwakamata wanakimbilia kwenye nyumba ya jirani isiyoishi watu then baadae wanarudi. Kwa kweli wamekuwa kero sana, wadokozi kupita maelezo.
Nini kifanyike kuwafukuza au ntapata wapi mtego wa kuwakamata?