Jinsi damu ilivyomwagika Kenya

Jinsi damu ilivyomwagika Kenya

Al shabaab mkimaliza movie ya Kenya mje na Mlimani City...tuwashikishe adabu Makafir
 
OK watie maji kwa kufanya au kuchukua hatua gani waislamu hawanaga sababu hata kama wakibaki peke yao hapa duniani watauwana tu shetani yumo vichwani mwao.Pili hizo operation ni makubaliano ya jumuiya mbalimbali zikiwemo AU na UN sasa unaongea kama mtoto eti watie maji kivipi kwa hiyo magaidi wachekewe au sio?
well said mkuu, somalia kwenyewe wote waislamu lakini kila siku wanachapana, na ndio mwanzo wa hayo yote yaliyotokea kenya.
 
Al shabaab mkimaliza movie ya Kenya mje na Mlimani City...tuwashikishe adabu Makafir
Mshenzi kweli we jamaa,akili zako ni sawa na za ndezi,waje huko kwako wakushikishe adabu na mkeo,watu wengine mnafikiri kwa kutumia makalio sio kichwa
 
Al shabaab mkimaliza movie ya Kenya mje na Mlimani City...tuwashikishe adabu

Aayah za Qur-aan kuhusu amri kumi.

6: Usiue: Kuua pia ni katika madhambi makubwa ambayo anapata adhabu mwenye kufanya kitendo hicho. Mwenyezi Mungu Asema kuwa yeyote mwenye kuua nafsi moja ni kama ambavyo ameua walimwengu wote na kuhuisha nafsi moja ni kama ambavyo amehuisha walimwengu wote (5: 32). Na pia msiue watoto wenu kwa kuhofia ufakiri (17: 31).
 
Al shabaab mkimaliza movie ya Kenya mje na Mlimani City...tuwashikishe adabu Makafir

Mungu atuepushe na hili na nakuambia ushindwe na ulegee. Uliyeandika nakuambia ikitokea siku hiyo wewe na familia yako mtakuwa wa kwanza kupigwa risasi au grenade! Hao makafir wamekukosea nini hadi unataka Mlimani City ishambuliwe?
 
Yaani Al Shabaab bado wanawashikilia hao NGURUWE humo ndani..we need to see more blood stream...kila nikikumbuka unyama wa WAKENYA kwa wasomali ambao ULIMWENGU unajitia upofu kwa kujifanya hauuoni...nazidi kuwalaumu hao mashababi waliofanikiwa kuisimamisha dunia kwa kuchelewa kuwalipua hao waliomo ndani pamoja na mateka wao....HURRY UP BOY WE NEED MORE BLOOD..FROM THIS CROCROACH....

waIslamu bado saaana!
 
Al shabaab mkimaliza movie ya Kenya mje na Mlimani City...tuwashikishe adabu Makafir

Eee tena wakija waanze kwa kumbaka nduguyo wa karibu pamoja na wewe, wamiminie risasi mwanao, wamjeruhi mjomba wako, wampige risasi ya kichwa mke wako!
 
Hiyo aya unayoizungumza ina exception kwani waumini wamehalalishiwa kisasi, kama kafiri kakuchokoza we mnyuke tu!
 
Mungu wangu eeeh,
Nimeogopa sana,
Poleni wote mliopatwa na mkasa huu.
 
....ni suala la kupishana tu jeshi la kenya lipo somalia linaua wasomali na jeshi la mujaheedina la al shabaab lipo kenya kulipa kisasi.

a

Mh!! Babu unavyojibu, taratibu, hutoi povu kama wengine, mistari yako miwili au mitatu kwako tosha lkn inakuwa na ujumbe mzito.Kimsingi si wapi pole wakenya, ingawa siungi mkono Jambo hilo lkn siwapi pole naona yanayowakuta sawa tu.Sababu hao wangese yangetokea kwetu wangesimamisha masikio kuwa kwetu sio salama kwa watalii kuja na wala wasingetoa pole kama zinavyowatoka watu humu kuwapa wao.Vyombo vyao vya habari huwa vinatega masikio tu nini kinatokea TZ, hata kama mambo yetu ya ndani tayari wao wanasimamisha masikio na kuripoti vibaya. Mama zao, wagambate sasa kukabiliana na walume ndago hao badala ya kusimamisha masikio kusikiliza kwetu TZ nini kimetokea waripoti vibaya. MMBONGO HALISI.
 
Tanzania tumeshindwa hata kutos pole Tu? As if hatuna ndugu huko???

Pole ya aina gani? Maana Mkuu katuma pole pamoja na kuwapigia simu. Aidha hujaona balozi wetu pamoja na watz wengine wakitoa damu?
 
Siasa tu hizi,Kenyatra anajaribu kucheza na dunia kuzima suala lake la 'the Hague'
Hii movie ya Mall kaitengeneza yeye hakuna cha Alshabab
 
hawa jamaa wasiitwe wanamgambo tena mnawadharau sana, hawa jamaa ni commander
 
Siasa tu hizi,Kenyatra anajaribu kucheza na dunia kuzima suala lake la 'the Hague'
Hii movie ya Mall kaitengeneza yeye hakuna cha Alshabab

Hivi ukikamatwa na kuambiwa udhibitishe maneno yako si utaishia kujamb...a tu.
 
Back
Top Bottom