Jinsi damu ilivyomwagika Kenya

Jinsi damu ilivyomwagika Kenya

WALIOPIGANA SOMALIA HUFANYA SHOPPING PALE, KWA NINI WASIENDE KUVAMIA KAMBI YA JESHI ? MOTIVE BEHIND, NI MABIKIRA 72

ANYWAY YAWEZEKANA:
WAFUASI WAAMINIFU WA SHETANI WAKIONESHA DINI YA AMANI KWA VITENDO.
HII NI DINI YA AMANI...

''Maana sahihi ya UISLAMU NI AMANI,kwa kulitizama tu jina la dini hii basi imtosheleze mtu kufaham kwamba Uislam siu chengine chochote isipokua ni AMAN SALAMA NA UPENDO lakini angalia na vigezo vifuatavyo
1-Waislam wanapokutana salamu yao ni kutakiana AMAN(AMANI IWE JUU YENU
2-Kwa kutafuta AMANI kiongozi wa dini hii daima aliwafanya marafiki Maadui zake mf pale alipoenda kumkagua mmoja wa watu ambao waliokua wakiongoza kwa maudhi juu yake alipojua ni gonjwa baada kuuliza kwa nini siku hizi sifanyiwi maaudhi akajibiwa yule muhusika ni mgojnwa ndipo alipofunga safari kweda muona
3 Alikua akiwasamehe maadui zake hata pale anapokua na uwezo wa kulipiza rejea (UFUNGUZI WA MAKKA)
4 Daima anapotuma Jeshi ni lazima kumuweka kitako kionngozi wa msafara na kumuusia asiuwe wanawake ,watoto ,wasio jiweza wala kufanya uharibifu wowote nje ya mapambano
5 Aliingia katika mikataba ya Amani na maadui zake mf MKATABA WA HUDYBIA
6 DINI YA KIISLAMU INAHESHIMU UHURU WA KUABUDU rejea sura ya 2 aya ya256 (HAkuna Mtu kulazimishwa (kuingia ) kaitka dini''
huna cha kunifundisha katika dini ila nadhani mnaelewa na mtaelewa tu kwamba nafsi zote zina thamani sawa na bila kisasi hamtajifunza.akikupiga ngumi ya sikio nawe mpige ngumi ya jicho akiikuliza unajisikiaje nawe muulize unaionaje?
 
Kama waliouwawa ni matajiri pekee its okey....especially makafir kama Marekani, Wayahudi pamoja na wazungu wote wahindi na wachina..they really deserve this masacles and they need more than this....Viva Mujahideen viva Al shabaab....Allah on your side no one will defeat you BROTHERS
thank u brother,kama ningekuwepo pale westgate mbona ningeomba gun nijiunge nao,kama kuna mapungufu ktk jihadi zao allah awasamehe kama wanapatia basi inshaallah awape malipo mengi akhera,jihadi daima.
 
Hata mimi nimeshangaa kwa TV stations zetu Tanzania kjtofanya any coverage ya tukio hili ambalo limetokea kwa jirani zetu. Mungu wasaidie Kenya katika shida hii.

Mimi nafikiri Ile mining'ono ya kila siku kuwa Serikali ya Tanzania Ina mahusiano na Al shabab sasa inajidhihirisha kwa ukimya wa serikali na tukio hili, naona hata TV za kwetu na TBC wameamua kupuuzia hili tulkio, Mungu tuokoe maana hali ni mbaya sana kwa mwonekano wa usoni.. kwetu tumeanzwa na tindikali, majini Makanisani. viongozi wa dini kudhuriwa, serikali haikamati yeyote, utakataa kuwa Al shabab na serikali yetu hawana mahusiano?
 
Mmmmh...!!! wenzenu wanakufa huko wewe umekaa nyuma ya keyboard tena na gahawa na kashata pembeni eti allah on their side. Why don't you go and join them!? are you afraid of being on the side of Allah like them!? hahahahaaa.. acha kuwakaanga wenzenu bhana.. watakufa kifo kibaya na watasahaulika na hamtawakumbuka hata majina yao.. hamtawajengea hata mnara kuthamini huo "ujasiri" wao. ndo wametolewa mbuzi wa kafara and surely they'll regret of being such fools..
 
thank u brother,kama ningekuwepo pale westgate mbona ningeomba gun nijiunge nao,kama kuna mapungufu ktk jihadi zao allah awasamehe kama wanapatia basi inshaallah awape malipo mengi akhera,jihadi daima.

Ahsante kwa kunifungua macho...sasa nimeelewa kuwa 'Allah' si 'Mungu'...kwani hakuna Mungu alipaye malipo mengi kwa kuua. Mungu wangu mimi amenipa amri 'USIUE', na wala hakuweka conditions, bali ni kwamba under no circumstance what-so-ever..Nisiue!
 
Mimi nafikiri Ile mining'ono ya kila siku kuwa Serikali ya Tanzania Ina mahusiano na Al shabab sasa inajidhihirisha kwa ukimya wa serikali na tukio hili, naona hata TV za kwetu na TBC wameamua kupuuzia hili tulkio, Mungu tuokoe maana hali ni mbaya sana kwa mwonekano wa usoni.. kwetu tumeanzwa na tindikali, majini Makanisani. viongozi wa dini kudhuriwa, serikali haikamati yeyote, utakataa kuwa Al shabab na serikali yetu hawana mahusiano?

Uzumbukuku unawasumbua, kama huskilizi vyombo vya habari au kwenu hakuna radio au hamjalipia king'amuzi that's your problem. Kwa taarifa yako tu Raisi amempigia simu Kenyatta na ku show concern na ameahidi ku lender any help kama watahitaji, ulitaka utumiwe sms kuwa raisi kaongea na raisi wa Kenya, who're you btw..!?
 
Nadhani nao wajifunze kuishi vizuri na majirani,kwa sasa watapewa pole na jirani zao Uganda na Rwanda
Hata mimi nimeshangaa kwa TV stations zetu Tanzania kjtofanya any coverage ya tukio hili ambalo limetokea kwa jirani zetu. Mungu wasaidie Kenya katika shida hii.
 
Poleni Wakenya. Kilichonifurahisha ni jinsi jeshi la kenya pamoja na Red Cross (na wote waliofika kutoa msaada) walivyofika haraka kuokoa watu. BIG UP Kenyans!!! Casualtiess zingeweza kuwa zaidi ya iliyoripotiwa. Ingekuwa Tanzania sijui tungefanyaje. Mwili unanisisimka hadi leo.
 
Polisi-wa-Kenya-akiwa-ameshika-tumbo-lake-baada-ya-kujeruhiwa-huku-mwenzake-akiendelea-kurushiana-risasi-na-magaidi-wa-Al-Shabab.jpg

Polisi wa kariba hii ana haki ya kupigwa na apigwe tuu,
 
Kama waliouwawa ni matajiri pekee its okey....especially makafir kama Marekani, Wayahudi pamoja na wazungu wote wahindi na wachina..they really deserve this masacles and they need more than this....Viva Mujahideen viva Al shabaab....Allah on your side no one will defeat you BROTHERS

wewe mbulula kweli... Mtu na elimu yake anaongea utumbo hivi?
 
Hawa wanaoshabikia Vifo vya wenzao kwa kisingizio cha Mungu nafikiri wanahitajika kuangaliwa kwa umakini.zaidi na kuwekwa kwenye Hilo Hilo kundi la wafuasi wa shetani, kwanini tusifiche upumbavu wetu? kwanini kuidhalilisha imani kiasi hiki?
 
Kama waliouwawa ni matajiri pekee its okey....especially makafir kama Marekani, Wayahudi pamoja na wazungu wote wahindi na wachina..they really deserve this masacles and they need more than this....Viva Mujahideen viva Al shabaab....Allah on your side no one will defeat you BROTHERS

mmh kwa mitazamo hii tunaelekea kubaya watz.majanga kama haya utayaona ya kawaida kwa mwenzio but yakitokea kwako sidhani kama utathubutu kutoa kauli za namna hii.utajisikiaje endapo ndugu ama mzazi wako ni among of the dead au casualities?nadhani ndo utajutia hizi kauli zako.
 
Kama waliouwawa ni matajiri pekee its okey....especially makafir kama Marekani, Wayahudi pamoja na wazungu wote wahindi na wachina..they really deserve this masacles and they need more than this....Viva Mujahideen viva Al shabaab....Allah on your side no one will defeat you BROTHERS

Tope limekujaa kichwani, hivi mullah omary mohamed ni rais wa wapi hivi leo? (wamesham defeat) hivi osama bin laden kazikwa wapi(kashakuwa defeated) unataka kutuaminisha kuwa Allah aliwa abandon hawa jamaa, mbona wameshindwa mapambano na vita pia. Sadam husein naye alikuwa hamtegemei Allah subhana wa taalah, ilikuwaje Alshabab wamtegemee Allah halafu huyo Allah aruhusu wafurushwe kwenye maskani zao pale somalia.

Mimi naona Uislam unaviashiria viiiiiiingi vya fujo na kiu ya kuua.
kulithibitisha hili mpaka sasa hakuna jumuiya ya kiislam imelaani mauaji haya ya watu wasio na hatia.
 
Mungu Ibariki Afrika.
Wafunue wajinga wachache waache kutumika#free their mind#
 
Ahsante kwa kunifungua macho...sasa nimeelewa kuwa 'Allah' si 'Mungu'...kwani hakuna Mungu alipaye malipo mengi kwa kuua. Mungu wangu mimi amenipa amri 'USIUE', na wala hakuweka conditions, bali ni kwamba under no circumstance what-so-ever..Nisiue!
mungu wako yupi?mungu baba?au mungu mwana au mungu aliekufa kisha akafufuka?nijibu kisha tuendelee....ila unaelewa ubaya una malipo yake.
 
Ni vigumu sana kuniaminisha kuwa dini hii ni ya Mungu.HATA MNITUNGIE NYIMBO YA KUUSIFU ISLAM SIELEWI HATA KIDOGO.Dini gani hili aisee limekuwa chanzo cha machafuko ulimwenguni kote.IPO.SIKU MUNGU WA KWELI ATASEMA NANYI KWA ERUDI KUBWA NYAMBAFUUU........
 
Mwema na mwamnyange mwenzenu kanyolewa anzeni kutia maji.

OK watie maji kwa kufanya au kuchukua hatua gani waislamu hawanaga sababu hata kama wakibaki peke yao hapa duniani watauwana tu shetani yumo vichwani mwao.Pili hizo operation ni makubaliano ya jumuiya mbalimbali zikiwemo AU na UN sasa unaongea kama mtoto eti watie maji kivipi kwa hiyo magaidi wachekewe au sio?
 
Back
Top Bottom