KIGILAGILA
Senior Member
- Aug 5, 2013
- 164
- 38
bila kisasi binadamu hawezi kujifunza madhara ya ubaya au dhuruma,nyie mna dini yenu nasi tuna dini yetu
Subuhanallah Mungu tunusuru wewe unayesema roho ya kisasa ndio dini yetu! hiyo ni roho mbaya na chuki ya asili yao kwa kweli mwenyezi mungu yajayasema hayo tutende kwa binadamu wenzetu, kwa kweli mie ni Islam lakini kwa hilo sitounga mkono kwamwe bora niitwe kafiri kuliko huwo uovu mnaoufanya kwa kichaka cha dini, mungu atunusuru na vizazi vyetu.
Nawapa pole wakenya wote kwa yaliotokea najua tukio hili alitafutika ndani ya mioyo yao, ila mungu awape tahfifu, sahau wawe wamoja na Ishallah mwenyeezi mungu hatawaacha pekee kwa damu iliyomwagika bila hatia.