MADAXWEYNE
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 1,594
- 3,447
Wewe ni kiazi kweli!
Hao uliowataja wanaua halafu wanasema kuwa wanapigana kwaajili ya mnyaazi mungu?
Wakiua wanakuwa wameshikilia kitabu cha imani gani?
Acha kujitoa akili wewe!
Unajua hako ka mchezo uliko fundishwa na babu kamekuharibu akili! LRA wanapigana ili wa itawale Uganda na waweke amri 10 za bibilia. Hujui lolote labda ka mchezo ka kushikishwa tofali! Unakashifu uislam ili upate nini? Ndio bibilia inakufundisha hivyo?