hang'olwa
JF-Expert Member
- Apr 23, 2013
- 538
- 195
suala sio kwenda mbinguni ,suala ni kubalance maumivu tu wao wanauliwa somaliaacha wehu wee kuua binadam mwenzio ndio utaenda mbinguni
suala sio kwenda mbinguni ,suala ni kubalance maumivu tu wao wanauliwa somaliaacha wehu wee kuua binadam mwenzio ndio utaenda mbinguni
acha uchonganishi kwani ni lazima kwa TV zetu kufanya hivyo? Tukio la Nungu(Zanzibar) hatukuliona live itakuwa tukio hili?Hili ni tukio ambalo Tanzania ilibidi tuonyeshe ujirani wetu TV zetu naona wamenuna hawaonyeshi juu la tukio hilo
amiiiiiin.eemungu wasaidie awawatu wasiyo na hatiya.
suala sio kwenda mbinguni ,suala ni kubalance maumivu tu wao wanauliwa somalia
Polisi tanzania tafadhalini sana muwe makini katika ulinzi,msije mkasema TUMEJIPANGA wakati tukio baya la kudhuru wananchi limeshafanyika!!Poleni Kenya
bila kisasi binadamu hawezi kujifunza madhara ya ubaya au dhuruma,nyie mna dini yenu nasi tuna dini yetu
Tatizo ni kwamba wao hao magaidi hata wakifa wanaenda kupokelewa na allah wao... Gaidi mmoja alikamatwa jana na kufa kutokana na majeraha.
bila kisasi binadamu hawezi kujifunza madhara ya ubaya au dhuruma,nyie mna dini yenu nasi tuna dini yetu
Hili ni tukio ambalo Tanzania ilibidi tuonyeshe ujirani wetu TV zetu naona wamenuna hawaonyeshi juu la tukio hilo
WALIOPIGANA SOMALIA HUFANYA SHOPPING PALE, KWA NINI WASIENDE KUVAMIA KAMBI YA JESHI ? MOTIVE BEHIND, NI MABIKIRA 72
ANYWAY YAWEZEKANA:
WAFUASI WAAMINIFU WA SHETANI WAKIONESHA DINI YA AMANI KWA VITENDO.
HII NI DINI YA AMANI...
''Maana sahihi ya UISLAMU NI AMANI,kwa kulitizama tu jina la dini hii basi imtosheleze mtu kufaham kwamba Uislam siu chengine chochote isipokua ni AMAN SALAMA NA UPENDO lakini angalia na vigezo vifuatavyo
1-Waislam wanapokutana salamu yao ni kutakiana AMAN(AMANI IWE JUU YENU
2-Kwa kutafuta AMANI kiongozi wa dini hii daima aliwafanya marafiki Maadui zake mf pale alipoenda kumkagua mmoja wa watu ambao waliokua wakiongoza kwa maudhi juu yake alipojua ni gonjwa baada kuuliza kwa nini siku hizi sifanyiwi maaudhi akajibiwa yule muhusika ni mgojnwa ndipo alipofunga safari kweda muona
3 Alikua akiwasamehe maadui zake hata pale anapokua na uwezo wa kulipiza rejea (UFUNGUZI WA MAKKA)
4 Daima anapotuma Jeshi ni lazima kumuweka kitako kionngozi wa msafara na kumuusia asiuwe wanawake ,watoto ,wasio jiweza wala kufanya uharibifu wowote nje ya mapambano
5 Aliingia katika mikataba ya Amani na maadui zake mf MKATABA WA HUDYBIA
6 DINI YA KIISLAMU INAHESHIMU UHURU WA KUABUDU rejea sura ya 2 aya ya256 (HAkuna Mtu kulazimishwa (kuingia ) kaitka dini''
Acha unafki na uzandiki wewe. ITV, Star Tv ni za Syria au Zimbabwe!??
Nadhani alitaka waache kuonyesha matangazo yao ya kawadia wamuonyeshe live coverage ya hili tukio muda wote masaa 24 kama vile Big Brother.
KBC na Citizen wenyewe hawajafanya hivyo. Kuna watu huwa wanaandika as if vidole vinajitegemea pasipo utashi wa ubongo. Au ndo wanakuwa wametumwa!?
Waislamu wabadilishe fikra zao juu ya visasi na zile fikra za kuipigania dini Yao!!