stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 9,121
- 17,945
Siamini NDIO ni Sawa umwambie UMUGHAKA13 akuwekee picha za yule Babu mchawi wa kule Shinyanga ambae alikutana nae Mwembeni akiwa anatokea centre hawezi akaweka hata akiweka basi ni kwa udhamini wa GoogleHata akiweka picha napo hutaamini