Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mzee katishaa sanaa na kaufaidi huu mji sio masikharaa.
Maana ruti zake ni kukatia kijitonyama na bagamoyo road upande wa chinii yaani kifupi ruti yake mbovu ni ile ya Mbagala na kule kisarawe

Kwanza kala sanaa kwa watu huyu jamaaa, plus ni mzee wa lunch na dinna za pamoja hop uko na kitambi now.

Afu kapokea sanaa bahasha za kaki yani ela ndogo kupokea ilikua ni ile 300k toka kwa prisca.

Huna bayaa mzee yani kila mtu anakukubalii hadi pepo za kusii, na hajaai kua na customer wa kiume zaidi ya Manuel na Mzee Pama.

Anyways(atakua kachakata sanaa mbususu) za watoto wakali kulikoni alivoandika . Mzee Chukua lori la Maua🪷
 
Back
Top Bottom