Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

EPISODE 48

Na muda huu Sumaiya alikuwa mpole ikabidi nimwambie nakwenda pharmacy kununua then narudi, hata yeye hakuwa na cha kusema.

CONTINUE…

Nilikuwa na Mzuka sana kwakweli lakini baada ya kutoka pale kwake kuelekea Pharmacy niliwaza, vipi kama Sumaiya anatumiwa na Iryn??. Pili niliona kulala naye nitaleta matatizo tu kwangu, maana Sumaiya ni mropokaji hachelewi kutangazia watu.

Mzuka ulinikata na niliamua kuondoka tu hata mzuka wa kununua Condom ni kama ulinikata, pia nilianza kijilaumu ilikuwaje mpaka nikataka kufanya ujinga ule?.

Sumaiya alianza kupiga simu kwa kasi baada ya kuona muda umepita sitokei na mimi sikutaka kupokea simu zake. Alipiga kama mara 4 hivi lakini sikuhangaika na simu zake kabisa, maana nilijua lazima atakuwa anaulizia niliko. Muda huu alituma pia message lakini sikumjibu na mimi niakendelea na safari yangu.
******

Jumamosi ni siku ambayo tulikuwa na kikao na tulifanyia pale Whitesand Hotel. Tulichagua hapa sababu tuliona ndo sehemu nzuri ya kufanyia kikao na imetulia. Na tulikubaliana muda wa kuanzaa kikao iwe saa 12 jioni tupate na Dinna ya pamoja.

Nilijiandaa mapema sana maana nilikuwa natakiwa kwenda kumpitia Iryn pale kwake then twende Whitesand. Nilipendeza sana hii siku maana nilitupia jeans ya Blue niliyoletewa zawadi na Iryn, nilivaa shati ya draft na chini nilipiga zangu buti za kahawia na nikavaa miwani niliyopewa na Mary. Ile miwani ilinipa credit sana maana nilikuwa kama doni flan hivi, kama ningesimamisha pisi isingenichomolea kabisa.

Niliwasili kwa Iryn mapema na yeye alikuwa bado anajiandaa, kwa upande mwingine Lucy na Sumaiya walikuwa wameshawasili eneo la tukio tayari kwaajili ya kuweka mambo sawa.

Baada ya dakika 15 Iryn alitoka akiwa na mwonekano wa tofauti kama nilivyomzoea, na alikuwa kapendeza sana, kuanzia mwonekano wa nywele mpaka mavazi.

“Bossy wangu umependeza sana kuliko siku zote.”

“Mmhh kweli mimi naona nimezingua eti. Hata wewe umependeza hizo glass zimekukaa vizuri sana.”

“Sidhani kama kuna ambaye atakufunika pale.”

“Si unajua mimi ni Managing Director? lazima niwe na utofauti.”

Iryn baada ya kuona mimi nimevaa miwani na yeye akaenda kuvaa yake. Tukawa tume match.
Tuliondoka pale japo tulikuwa tumechelewa kama nusu saa hivi.

Tuliwasili pale Hotelin na baada ya kupark gari tulishuka na tuliongozana tumeshikana mikono. Tuliwakuta wote wamefika tayari na walikuwa wamekaa nje kwenye majani, tulichagua pale nje ili tuwe tunapigwa na upepo wa bahari.

Mpaka tunawasili pale kwenye table tulikuwa tunapigwa macho sana, maana tulikuwa tumewaka balaa. Sumaiya muda huu alikuwa ananipiga jicho kali sana, toka like sakata litokee hatukuwai kuwasiliana tena.

Tulikaa katikati mimi na Iryn na pembeni yangu alikuwepo Lucy na upande wa Iryn alikuwa amekaa Sumaiya.

Nilisimama muda huu na nilifanya utambulisho mfupi kuhusu dhumuni la kikao hichi kilichoandaliwa na Meneja Iryn. Kwa ufupi lengo la kikao lilikuwa ni kutoa taswira na maendeleo ya biashara pamoja na kupokea ushauri na mapendekezo mbalimbali, ili kuboresha utendaji wa kampuni.

Iryn alisimama akaongea na yeye pia alitoa wito wa kutohudhuria kwa Mama Janeth sababu ya majukumu ya kiofisi. Muda huu aliweza kutoa pongezi kwa namna kila mmoja anavyojitolea kwenye kampuni. Pia aliweza kuzungumzia faida zilizopatikana kwenye kampuni na masuala mengine.

Iryn aliniongezea majukumu mengine ya kazi siku hii na alisema ripoti za mauzo zitakuwa zinatumwa kwanza kwangu, then mimi ndo nitakuwa ninamtumia yeye. Pia alitangaza kufunga ofisi ya Sinza na wafanyakazi wote wa kule watahamia Mikocheni kwenye ofisi mpya. Alitoa sababu ya kuifunga ofisi ya Sinza ni pamoja na mauzo hafifu na idadi ndogo ya wateja kwa upande ule.

Na muda huu Iryn alininong’oneza nikachukue zile simu kwa gari na mimi nilimtuma mhudumu akazichukue na ndani ya dakika 10 alikuwa karudi.

Iryn aliwataja wafanyakazi wake bora akiwemo Lucy na mimi. Na aligawa zawadi za simu kwa dada wawili.

“Rebecca nakupa hii zawadi sababu wewe ndo mfanyakazi pekee wa muda mrefu uliyebaki pale ofisini, wengi wanakujaga wanakukukuta wanakuacha. Julieth na wewe nakupa zawadi hii kama motivation naona unafanya vizuri kwa sasa. Hizi zawadi mtazifungua mkifika kwenu na sio hapa, nafikiri tupate dinna mengine yaendelee.”

Saa moja usiku tulipata dinna ya pamoja. Ilikuwa ni buffee unajisevia unachotaka wewe kula.

Baada ya kula kila mtu alianza kutoa ushauri na mapendekezo yake na mimi nilikuwa naandika kwa notebook. Na baada ya kila mtu kutoa ushauri, Iryn alisimama tena na alitoa bahasha ndogo nyingi kwenye mkoba wake na aligawa kwa kila mtu.

“Ahsanteni sana kwa muda wenu my family sina cha ziada hapa maana tunakwenda sehemu nyingine kumalizia usiku wetu. Nawaona wote mmependeza sana na hizo bahasha ni nauli za kurudia kwenu badae.”

Kwenye hichi kikao mwanaume nilikuwa peke yangu asee, nilikuwa zimezungukwa na warembo tu. Ukweli sikuwa napenda ila nilikuwa sina jinsi ndo kazi inayonipa kula sikuwa na jeuri.

“Insider tunakwenda wapi baada ya hapa?”

“Tunakwenda Kidimbwi Bossy.”

“Ulifanya booking maana tuko wengi sana.”

“Kwa siku kama leo hakunaga watu wengi tutapata meza hata usiwe na wasiwasi.”

Tulitoka pale Saa 2 usiku na tulikwenda moja kwa moja mpaka pale Kidimbwi kwenda kumalizia usiku wetu.

Baada ya kuwasili pale tulipelekwa kwenye table, sababu tulikuwa wengi ilibidi tuunganishe meza.

Tuliagiza vinywaji kila mtu anavyopendelea na baada ya mhudumu kuleta vinywaji kila mtu alianza kunywa. Mimi nilikuwa busy sana na Iryn tunapiga story,

MIMI: “Leo tunakwenda kulala wote sawa?”

IRYN: “Mama Junior anataarifa hizi?”

MIMI: “Sijisikii tu kwenda home au hutaki tukalale wote?”

Muda huu story zilikuwa zimetawala kwa wote, na kila mtu alikuwa na furaha sana.

REBECCA: “Sumaya hizi Savanna unazozinywa kwa pupa zitakuaibisha wewe shauri yako.”

SUMAIYA: “Best usiwe na shaka nikilewa Insider atanipeleka mpaka kwangu anakujua, hata usiwe na shaka, najua atanipeleka tu.”

Sumaiya aliropoka kwa nguvu kila mtu alisikia na Iryn alinipiga jicho moja kali sana muda huu. Kila mtu alikuwa ananiangalia mimi kusikia nitasema nini, maana walikuwa dilemma hawajui waamini nini kama ni kweli au Sumaiya kalewa. Kwa upande wangu niliendelea kuwa busy na glass yangu ya bia kama hakuna nilichosikia pale. Sikutaka kuongea lolote muda huu maana ningeongea Sumaiya angeendelea kuropoka na nilijua amelewa tayari.

Iryn alihisi something fishy kinaendelea kati yangu na Sumaiya na nilianza kuona mabadiliko yake taratibu. Maana hata ile furaha yake kama ilianza kupotea, Lucy ndo alikuwa makini sana akishuhudia mabadiliko ya Iryn alikuwa amekaa pembeni yake.

Tulikaa pale mpaka saa 5 usiku Iryn akaniambi tuondoke anataka akalale. Tuliwaaga pale na tukaondoka lakini barabarani tulikuwa kimya sana, hatukuwa na maongezi yoyote kama sikuzote. Wakati tunakaribia maeneo ya mzimuni Iryn alianza kuniongelesha,

IRYN: “Nikajua unaondoka na Sumaiya.”

MIMI: “Kwani naishi naye? Mpaka niondoke naye?”

IRYN: “Insider wewe ni mshenzi sana mara hii ushapajua kwa Sumaiya? Nilihisi mapema sana kuna kitu kinaendelea kati yenu.”

MIMI: “Unamuamini Sumaiya? Ipo hivi juzi nilikwenda Masaki kuonana naye ili tupange mipango ya leo. Ilikuwa usiku tayari wakati naondoka, aliomba lift na baada ya kunielekeza anakaa Kinondoni karibu na biafra nikaona nipite huko ili niepuke na foleni ya Morocco. Sijampeleka kwake kama anavyodai niliishia barabarani na yeye akachukua bodaboda. Sumaiya amelewa yule ndomana anaropoka.”

IRYN: “Mhh sawa bhana Insider hakunaga siri hapa duniani.”

MIMI: “Trust me nishindwe kudate na wewe nimkimbilie Sumaiya si nitakuwa nimerogwa?.”

IRYN: “Sawa bhana haina shida.”

Na muda huu tulikuwa tushafika getini tayari kwenye apartments na mlinzi alifungua geti nikaingiza gari ndani. Baada ya kufika usawa wa apartment yake nilipark gari na nikamshika paja lake,

MIMI: “Leo nalala na wewe kama hutaki nambie niondoke.”

IRYN: “Insider be serious at this time on night?.”

MIMI: “Niondoke au tunalala wote?”

IRYN: “Impossible you have to go now, Mama Junior anakusubiri.”

MIMI: “Okay shuka mimi niondoke niwai kwa mama Junior.”

Baada ya kushuka mimi niliondoka kwa spidi sana, wakati nimefika Usawa wa viwanja vya Tanganyika pakers, Iryn alianza kunipigia simu. Na alipiga mara 2 nikamvungia, sikutaka kupokea simu zake ili asijione yeye ndo special sana kwangu, niliamua kumkazia tu.

******
Jumapili asubuhi baada ya kutoka kanisani misa ya asubuhi niliwasiliana na Jane akanambia anategemea kurudi Dar es salaam jioni. Pia alisema jumatatu itabidi tuonane na aliomba niende na Mary pale kwake Mbweni.

Kwa upande mwingine Jane alikuwa yuko sawa hata sauti yake ilikuwa ishaanza kurudi kwenye hali yake. Tuliongea mambo mengi muda huu pamoja na maendeleo ya pale home pamoja na ndugu zake na alinishukuru sana kwa kuendelea kumjali mama yake.

Mchana nikiwa zangu home nimetulia nilipigiwa simu na Muajemi na akanambia leo ataonana na Iryn.

“Bro hajakusumbua kuonana?”

“Hajasumbua kabisa na leo nataka nifanye kama ulivyonielekeza.”

“Sawa wewe mchane ukweli ili ujue kama mpo pamoja au laah!.”

“Pamoja Bro! nitakupa mrejesho. Jioni nitatuma usafiri ukamchukue kwake.”

Ukweli muda huu nilianza kuingiwa na kawivu fulani hivi maana niliona tunda lishakwenda tayari kwa Muajemi. Nilikuwa nakumbuka ile Benz ambayo anataka kutoa kama zawadi nilijua Iryn hawezi kuchomoa, niliona anaweza hata mkubalia kwa kupretend ili aipate ile gari. Niliwaza Iryn anakwenda kuonana na Muajemi lakini hata hajanambia kabisa na sio kawaida yake.

Nilitoka home na hii siku nilikwenda zangu kushinda kwa Prisca na nikirudi home jioni.

Usiku nilitamani sana kumpigia simu Muajemi ili nijue wamefikia wapi lakini Roho ilikuwa inasita. Maana nilikuwa nakumbuka Muajemi alisema atanirudia lakini hakufanya hivo.

Jumatatu asubuhi nilifanya mawasiliano na Mary na nikampa taarifa za kurudi kwa Jane na yeye alizifurahia sana taarifa hizi. Tulipanga pale saa 10 jioni twende wote kule Mbweni kwa Jane.

Saa 6 mchana nilikwenda Masaki kwaajili ya kuonana na fundi, kulikuwa na kazi ya kufanya service za mashine za Saloon, hivyo ilibidi nikapange naye masuala ya bei.

Baada ya kuwasili pale nilikutana na Sumaiya na alikuwa kaninunia balaa, hataki kabisa kuongea na mimi. Hata baadhi ya wafanyakazi wa mle ndani walihisi something fishy kinaendelea kati yetu.

MIMI: “Kumbe hata wewe huwa unanuna? Utafikiri mtoto.”

SUMAIYA: “Insider wewe ni mzinguaji sana, Ilikuwaje ukaniacha na ny*ge zangu?.”

MIMI: “Ndo hicho kilichofanya unune?”

SUMAIYA: “Umenikera sana ujue sitamani hata kukuona, ulikuwa unanichora?”

MIMI: “Sikia sio nilikuwa nakuchora baada ya kutoka pale akili yangu ilirudi. Hivi unafikiri mimi ningewaza kukufvck kwako? Siwezi fanya huu ujinga. Unajua mimi sijui lolote kuhusu wewe, I don’t care unalipa kodi wewe au unalipiwa ila siwezi kukula kwako never. Maben ten ndo wanaweza ila mimi siwezi kabisa, kama hili lilikukera utanisamehe.

SUMAIYA: “Sawa sasa kwanini uninipe jibu ukaniacha vilevile na simu ukawa hupokei, unaona ulikuwa sawa?”

MIMI: “Kwa hili sikuwa sawa ndomana nimekuomba msamaha, mpaka sasa nikikumbuka hizo chuchu zako upwiru unapanda, your so hot mrembo.

SUMAIYA: “Insider unajitahidi sana kuwa na maneno matamu ila ulichonifanyia ni ukatili.”

MIMI: “Leo nakupeleka mgahawa wowote hapa Masaki utakaotaka tukale lunch sawa?”

SUMAIYA: “Sawa Bossy haina shida, nimefurahi pia sahivi nitakuwa na report mauzo kwako, nafikiri utakuwa poa.”

MIMI: “Sawa mimi sina shida ila naomba uniahidi kuanzia leo utakuwa na nidhamu pale napokuwa na Iryn, deal?”

SUMAIYA: “Mimi naropokaga tu ili nione reaction ya Queen, ukweli Queen anakupenda Insider pia unabahati ya kupendwa na mrembo kama yule ila unazingua shauri yako.“

MIMI: “Nitafanya kweli usijali best yangu.”

SUMAIYA: “Naomba uniahidi jambo pia, toka unifanyie vile najikuta nina aibu sana na wewe, sijui kwanini.”

MIMI: “Jambo gani?”

SUMAIYA: “Anyway bhasi, twende lunch nadhani ushaelewa nilichotaka kuongea nini.”

MIMI: “Nimekuelewa mtoto mzuri twende ukapate lunch.”

Nilishinda pale na fundi mpaka anamaliza kazi. Saa 8 mchana niliondoka pale Masaki na nilikwenda Mbezi Beach ili nimpitie Mary pale kwao, maana alikuwa akinisubiri ili twende Mbweni.

Baada ya kuwasili pale kwao Mary alitoka na tukaondoka kwenda Mbweni na tulitumia dakika 30 kuwasili pale kwa Jane.

Nilipiga honi na dada alitoka kufungua geti na nikaingiza gari ndani nikapark.

Baada ya kushuka tuliingia ndani na tulimkuta mama akiwa seblen pamoja na watu wengine na tuliwasalimia wote. Mama alikuwa kafurahi sana baada ya kutuona na alikuwa akiongea na Mary, maana toka twende Tabora Mary hakurudi tena pale Mbweni.

Na muda huu Jane alitoka na wakaishia kukumbatiana na Mary, hata ndugu zake wengine wakabaki wanashangaa.

“Wow mdogo wangu Mary I’m glad to see you here again.”

“Thank you my sister.”

Jane alikuwa anaoneka ameanza kurejea kwenye hali yake ya kawaida, pia mimba yake ilikuwa inaonekana kuzidi kuwa kubwa sana.

Jane alinishukuru sana kwa kuwa msaada kwake kipindi chote cha msiba , na alimshukuru sana Mary kwa kujitoa kwake kipindi chote cha msiba.

JANE: “Mary jinsi ulivyojitoa kwenye huu msiba na nilikuwa sikufahamu, niseme wewe ni zaidi ya ndugu kwangu. Insider naomba mimi na wewe tutoke nje nina maongezi kidogo private na wewe.

Muda huu tulitoka pale seblen na tulikwenda kukaa Garden ndo tulifanyia maongezi pale.

MIMI: “Niambie shem wangu kwanza nipe ripoti za huko maendeleo kwa ujumla.”

JANE: “Nashukuru Mungu ndugu zake Pama wamenipokea vizuri sana, hasa walivyosikia hili la ujauzito wamenipenda sana.”

MIMI: “Hivi mama yake alikuwa hajui kabisa kinachoendelea?”

JANE: “Mama yake Pama alikuwa anajua kila kitu na tulishawai kuongea kwenye simu lakini hatukuwai kuonana live.”

MIMI: “Vipi kuhusu wake wenza tukianza na Mrs Pama.”

JANE: “Hahahaaa Mrs hana usemi, tumeongea vizuri na hajaonesha sign yoyote, amesema atakuja kunitembelea hapa nyumbani. Kwa upande wa mke mwingine yule mwenye watoto wa2 naye hana shida maana nimchempuko mwenzangu tu.”

MIMI: “Nimefurahi sana kusikia hivyo kama Mrs Pama hajaonesha sign yoyote. Na vipi kuhusu mirathi kuna habari zozote umezipata?”

JANE: “Bado ila kila kitu tutajua mwezi wa 7 mwishoni, maana tutarudi tena kwaajili ya mirathi.”

MIMI: “Hongera sana na vipi kuhusu Mzee Juma anasemaje?”

JANE: “Mzee Juma hana usemi zaidi amesema atakuwa anakuja kila mwisho wa mwezi kuangalia maendeleo yangu.”

MIMI: “Unaonaje weekend hii tukaenda mpaka Bagamoyo wewe ukiwa kama Dereva? Ukiendesha hii barabara ndefu tena ya mkoani utapata ujuzi.”

JANE: “Kweli? Mimi sina shida Insider, hii idea yako nimeipenda sana.”

MIMI: “Usiwe na wasiwasi nitakuambia siku gani twende uzuri hapo Bagamoyo hata sio mbali.”

Nilimua kufanya hivi ili kumfurahisha Jane na pia nilitaka kuona uwezo wake wa barabarani kama amemasta au laah. Mimi naamini gari ili uzoee inatakiwa uingie barabarani ndo utajifunza vizuri na kuelewa sheria zote taratibu.

Baada ya maongezi na Jane alimwita Mary pale garden na yeye alikwenda ndani. Baada ya dakika 5 alirudi akiwa ameshika bahasha 2 za kaki.

“Ndugu zangu hizi ni Pesa naombeni mpokee.”

Muda huu sisi tulimkatalia kuzipokea zile Pesa na tulimwambia Jane sisi tulifanya kwa kujitolea na sio kulipwa, hivyo hatuwezi kuzipokea zile pesa zake.

JANE: “Insider ninafamu kujitoa kwenu kwangu, Insider ulinitumia ile budget nimeona kulikuwa na surplus ya milioni 2 na laki 4. Najua hii pesa ilitoka mfukoni kwako kinyume na taratibu. Umoja wa kina Pama umerudisha cost zote zilizotumika hapa na kule kwa Mrs Pama, gharama zote zilitakiwa kuwa juu yao. Wamenikabidhi Pesa zote na zaidi, sasa kuna haja gani ya mimi kuzificha wakati wewe ulitoa pesa zako mfukoni na unamajukumu?, na bado nimepewa pesa za michango ya msiba. Naombeni mpokee kwa moyo mweupe maana ni haki yenu.”

MARY: “Wifi kwa Insider ni sawa ila mimi hapana.”

JANE: “Mary mdogo wangu naomba upokee ingekuwa ni michango sawa ila zimetoka kwa kikundi naomba muwe na amani kama mtakataa nitawawekea kwa simu.”

Ilibidi tupokee tu maana hatukuwa na jinsi muda ule. Tuliendelea kupiga story pale mpaka saa 1 usiku ndo tukamuaga Jane tunaondoka.

Baada ya kufika kwenye gari kila mtu alifungua bahasha yake, mimi nilikuwa nimewekewa milion 5 na Mary aliwekewa milion 2.

Tukiwa njiani tunarudi niliongea na Mary na nilimuomba sana awe anamtembelea Jane kila anapopata nafasi. Mary hakuwa na shida na alisema hilo jambo lilikuwa kwenye plan zake tayari.

Ukweli baada ya kusikia maneno ya Mary nilikuwa nafuraha sana. Kwa upande wangu niliona Mary angekuwa mtu sahihi kwa Jane, sababu alikuwa anajitambua na alikuwa ana akili za kiutu-uzima.

Baada ya kuwasili pale kwao nilimvuta nikamkisi mdomoni “mwaaah”.

“Mary byee uwe na jioni njema, msalimie mama mkwe.”

“Usijali Insider takecare.”

Mary aliondoka na mimi nilikuwa namwangalia mpaka anapotelea ndani ndo nikaondoka maeneo yale.

Muda huu akili ilikuwa inaniambia niende kwa Iryn maana alinambia kuna mzigo kaagiza anategemea ungeingia kesho Jumanne, hivyo nilitaka kwenda kwake ili kucomfirm.

Kwa upande mwingine toka sakata la Jumamosi la kutokupokea simu zake, tulikuwa hatuja wasiliana kabisa. Muajemi naye hakunipa feedback yoyote kuhusu kuonana na Iryn hivyo nikaplan nikitoka kwa Iryn nitampigia simu.

Niliwasili pale kwa Iryn na nikapark gari usawa wa Apartment yake na nikapanda ghorofani. Niligonga mlango akatoka kufungua muda ule ule maana alikuwa seblen na baada ya kuingia ndani nikamkumbatia kwa nyuma.

MIMI: “Nambie Bossy wangu I have missed you bad badly.”

IRYN: “Mmh! Insider umeanza lini unafiki? wakati simu zangu hupokei? Leo nimekupigia 2 times ulikuwa unatumika lakini hujani call back.”

MIMI: “Ooh sorry sijaona kama ulinicheki afu nilikuwa Masaki kwaajili ya kumwangalia fundi then nikaenda Mbweni kwa Jane amerudi tayari.”

IRYN: “Kuhusu Masaki utanitumia report na Jane anaendeleaje?”

MIMI: “Yuko sawa now lakini sio sana hivyo.”

IRYN: “Atakaa sawa tu ila asiwe na mawazo sana ni mjamzito, inaweza kumpelekea shida.”

MIMI: “Mary will takecare of her, I trust Mary. Nambie lakini weekend yako jana iliishaje.?”

IRYN: “Insider kuna jambo naomba tuongee ila uwe honesty na mimi. Hivi kwanini ulikuwa unanitumia mimi kupata pesa kutoka kwa Muajemi?. Ulishawai hata sikumoja kunambia unashida nikakunyima? Kwanini ukaona utu wangu haufai kwako?.

TO BE CONTINUED
muajemi ameishiwa sound akakusagia kunguni
 
Dreva kaangusha basi stendi
 
Back
Top Bottom