Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,491
- 2,355
Jina Lowassa lina nguvu ya tofauti sana. Magazeti yakitaka kuuza wanaandika Lowassa, habari inayomuhusu Lowassa kwenye taarifa za habari inasikilizwa kuliko habari nyingine zote, nusu ya topic za hapa jukwaani ni Lowassa, ukitaja jina Lowassa, Lumumba na magogoni wanatafutana.
Ukitaja jina Lowassa kwenye kikao cha Lumumba lazima kivurugike hakiishi kwa amani. Jina Lowassa limezima agenda ambayo ni backbone Chadema.
Kwa kweli hili jina lina nguvu ya tofauti katika siasa za nchi yetu