Jina "LOWASSA" lina nguvu kuliko jina lolote nchi hii

nikweli ila urais labda 2050,next time asajiliwe chenge apigwe msasa agombee anaweza akachkua ndoo...shida ni mfumo yeye nimtu saafi kabisa...alaf jamaa somisana ero.
Hata kama haupo kabisa, ila kwann yeye tu,
 
Siamini na JF imekosa GT kiasi hiki!! Soon itageuka kijiwe cha malofa
Kama tuliyempeleka ikulu, tukamlipa kodi zetu akala akashiba akasahau alikotoka alituita hivyo unadhani cha ajabu nini?
 
Hahahaha... Kwa maono yako mkuu! Mapenzi upofu! Lowassa ni fisadi! Unabisha muulize tundu lissu, akikataa ntakupa ushahidi wa video akiongea hayo maneno

Mkuu tulia kwanza. mahakama ya mafisadi ishaiva. Kama serikali haitompeleka mahakamani Lowassa nitaidharau sana
 
NA wale as escrow tuwaite akina nani? Mbona huyo mzee wa watu mnamshupalia tu hammpeleki mahakamani? Au na yeye analindwa? Kwanza ni kwa nini mtu alindwe badala ya kulindwa na matendo yake? Acheson unafiki
 
Kwa kweli hili jina Lowasa lina nguvu ya tofauti katika siasa za nchi yetu

Nakuhurumia mleta maada ni kati ya wale waliorogwa wakarogeka na uchawi wa kisiasa.Jina hilo lina nguvu tofauti ila sio ya Mungu

LOWASA.jpg
 
Wewe
Huwezi kumtaja Yesu bila kumtaja Shetani. Lowassa ni Shetani mkubwa nchi hii. Mtaani kwangu ukimtania mtoto "Lowassa" atalia mchana kutwa maana anajua ni joka lenye vichwa na mikia mingi.
Ndo shetani japo nimechelewa
 
Back
Top Bottom