Jina "LOWASSA" lina nguvu kuliko jina lolote nchi hii

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,486
2,332
Jina Lowassa lina nguvu ya tofauti sana. Magazeti yakitaka kuuza wanaandika Lowassa, habari inayomuhusu Lowassa kwenye taarifa za habari inasikilizwa kuliko habari nyingine zote, nusu ya topic za hapa jukwaani ni Lowassa, ukitaja jina Lowassa, Lumumba na magogoni wanatafutana.

Ukitaja jina Lowassa kwenye kikao cha Lumumba lazima kivurugike hakiishi kwa amani. Jina Lowassa limezima agenda ambayo ni backbone Chadema.

Kwa kweli hili jina lina nguvu ya tofauti katika siasa za nchi yetu
 
Hahahaha... Kwa maono yako mkuu! Mapenzi upofu! Lowassa ni fisadi! Unabisha muulize tundu lissu, akikataa ntakupa ushahidi wa video akiongea hayo maneno
kama huyu jamaa ni fisadi labda katika familia yako jamaa alipita na kumfisadi mzee wako ndio maana sura yako inafanana na ya Lowassa.inatakiwa ukapime DNA kujua nani ni baba yako usiwe na asira ya kumtukana lowassa wenda akawa baba yako wa kufikia ni ushauri tu.


swissme
 
Jina Lowasa lina nguvu ya tofauti sana. Magazeti yakitaka kuuza wanaandika LOWASA, habari inayomuhusu LOWASA kwenye taarifa za habari inasikilizwa kuliko habari nyingine zote, nusu ya topic za hapa jukwaani ni LOWASA, ukitaja jina LOWASA lumumba na magogoni wanatafutana.

Ukitaja jina LOWASA kwenye kikao cha lumumba lazima kivurugike hakiishi kwa amani. Jina LOWASA limezima agenda ambayo ni backbone Chadema.

Kwa kweli hili jina lina nguvu ya tofauti katika siasa za nchi yetu
Ila CDM ni watu wabaya sana, wanampaka mafuta Edo kwa mgongo wa chupa. Wakiwa nae haaah safi, akiwapa kisogo jamaa anaua harakati!!!
 
dah mkuu hata kama una njaa namna gani sio kwa kuudhalilisha utu wako namna hii....ukawa mchangieni ndugu yenu inaelekea hali yake ni tete...
 
Huwezi kumtaja Yesu bila kumtaja Shetani. Lowassa ni Shetani mkubwa nchi hii. Mtaani kwangu ukimtania mtoto "Lowassa" atalia mchana kutwa maana anajua ni joka lenye vichwa na mikia mingi.
 
Asante sana kwa hoja yako iliyoenda skuli. Ama kweli Lowassa ni jina lenye mashiko ukiliona front page magazetini . Upperassa vile vile
 
Back
Top Bottom