Leo jukwaani kwa mwamposaLeo, jina lako lina-trend katika jukwaa lipi? La Siasa, la Habari na Hoja Mchanganyiko au International Forum?
Ukitubu leo na kuamua kuokoka, jina lako lita-trend mbinguni. Na huko sio ku-trend tu, itakuwa Breaking News itakayowafanya malaika wote washangilie.
Luka 15:7
"Kadhalika nawaambieni, ndivyo kutakavyokuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya kutubu kwa mwenye dhambi mmoja, kuliko kwa ajili ya watu tisini na tisa wanaojiona kuwa wema, wasiohitaji kutubu.”
Mnaosema mada zangu ni ndefu, hamuwezi kusoma mpaka mwisho, semeni sasa: na hii mmeshindwa kuisoma mpaka mwisho au huwa ni geresha tu 🙂
Tatizo sio urefu wa mada. Tatizo ni kwamba huna njaa wala kiu ya haki. Kama unashindwa kusoma ukurasa mmoja tu, utawezaje kusoma Biblia yote, Mwanzo hadi Ufunuo x3?Mtumishi leo umeandika fupi hadi namie nimeisoma yote, ubarikiwe....uwe unaandika hivi ya kusomeka sio marefu kama ya Lucas Mwashambwa
Hakuna dhambi inayotawala ndani yangu.
Tupunguzie urefu ma mtumishiTatizo sio urefu wa mada. Tatizo ni kwamba huna njaa wala kiu ya haki. Kama unashindwa kusoma ukurasa mmoja tu, utawezaje kusoma Biblia yote, Mwanzo hadi Ufunuo x3?
Wanaosema mada zangu ni ndefu, sioni wakilalamikia mada ndefu za Udaku na masimulizi ya uzinzi na uasherati.
Mt 5:6
Heri wenye njaa na kiu ya haki; Maana hao watashibishwa
Hata mimi hujaona malalamiko yangu?Tatizo sio urefu wa mada. Tatizo ni kwamba huna njaa wala kiu ya haki. Kama unashindwa kusoma ukurasa mmoja tu, utawezaje kusoma Biblia yote, Mwanzo hadi Ufunuo x3?
Wanaosema mada zangu ni ndefu, sioni wakilalamikia mada ndefu za Udaku na masimulizi ya uzinzi na uasherati.
Mt 5:6
Heri wenye njaa na kiu ya haki; Maana hao watashibishwa
Hii naisoma na naielewa.....neno la toba ni uzimaLeo, jina lako lina-trend katika jukwaa lipi? La Siasa, la Habari na Hoja Mchanganyiko au International Forum?
Ukitubu leo na kuamua kuokoka, jina lako lita-trend mbinguni. Na huko sio ku-trend tu, itakuwa Breaking News itakayowafanya malaika wote washangilie.
Luka 15:7
"Kadhalika nawaambieni, ndivyo kutakavyokuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya kutubu kwa mwenye dhambi mmoja, kuliko kwa ajili ya watu tisini na tisa wanaojiona kuwa wema, wasiohitaji kutubu.”
Mnaosema mada zangu ni ndefu, hamuwezi kusoma mpaka mwisho, semeni sasa: na hii mmeshindwa kuisoma mpaka mwisho au huwa ni geresha tu 🙂
Mama Bikira Maria kimbilio letuPole sana, kama huo uzi hujauelewa labda huu utakusaidia
![]()
Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu
Najiuliza maswali haya: Yesu alisema tukimuomba Mungu kwa Jina lake Yesu tutapewa (Yohana 14:13-14). Kwanini sasa tunamuomba Maria atuombee? Maria yuko wapi kwa sasa? Kuna ushahidi gani wa kibiblia kwamba pale Maria alipo anatusikia na kutuombea? Aliye na majibu ya maswali hayo, anijuze. Ila...www.jamiiforums.com
Nguvu ya makimbilio yetu mama MariaBiblia haituambii tumkimbilie Bikira Maria. Kimbilio la kweli ni Yesu pekee. Maria mwenyewe alimhitaji Mwokozi (Luka 1:47), na aliwaambia watu wamtii Yesu, sio yeye (Yohana 2:5).
Shika zako Raba achia pepo la mashangazi, achia pepo la kubamizwa kama DIVISHENI FOOSetfree nichek chap kuna ishu Leo nipo seriously dear...
Mchawwi nn au wewe ndo unamtaka...Shika zako Raba achia pepo la mashangazi, achia pepo la kubamizwa kama DIVISHENI FOO
Achia uzinzi na ukafiri shaitwayn akuachie eeeeeh mampoza
Dah, ume-trend jukwaani? Ulikuwa unafundisha somo hii?Leo jukwaani kwa mwamposa
Kusikiliza upako kidigitiDah, ume-trend jukwaani? Ulikuwa unafundisha somo hii?
![]()
Utapeli wa “Chumvi na Mafuta ya Upako” Wafichuliwa
Kabla ya kuufichua huo utapeli, hebu tuwasikilize kwanza hawa manabii feki: Nabii XXL: Aisee, hizi sadaka tunazopata hazitoshi kununua ndege, na kutufanya tuishi maisha ya kifahari. Naomba tubuni mbinu ya kuongeza mapato. Nabii X: Mi nafikiri wakati wa maombezi, tuwe tunawauzia watu chumvi...www.jamiiforums.com
Hayo Maandiko yanawahusu watu ambao bado hawajatubu dhambi kama Binti wa zamani na secretarybird1 Yohana 1:8
“Tukisema kwamba hatuna dhambi, twajidanganya wenyewe, wala kweli haimo ndani yetu.”
1 Yohana 1:10
“Tukisema kwamba hatukutenda dhambi, twamfanya Yeye kuwa mwongo, wala neno lake halimo mwetu.”
kila mtu ana dhambi, na kudai huna dhambi ni kujidanganya.
Kwahiyo wewe dada mtakatifu hauna dhambi?Hayo Maandiko yanawahusu watu ambao bado hawajatubu dhambi kama Binti wa zamani na secretarybird
Mimi ungeninukulia Maandiko haya ningekuelewa:
1 Yohana 3:6, 9
"Kila mtu akaaye ndani yake hatendi dhambi. Kila mtu atendaye dhambi hakumwona yeye wala hakumtambua.
Yeyote aliyezaliwa na Mungu hatendi dhambi, kwa sababu uzao wa Mungu wakaa ndani yake, wala hawezi kutenda dhambi kwa sababu amezaliwa na Mungu."
Zab 16:3
"Watakatifu waliopo duniani ndio Walio bora, Hao ndio niliopendezwa nao."
1 Wakorintho 6:11
"...tumeoshwa, tukafanywa watakatifu, na kufanywa waadilifu na kupatanishwa na Mungu kwa Jina la Bwana Yesu Kristo na kwa Roho wa Mungu wetu."
Mbamizwa kobaaMchawwi nn au wewe ndo unamtaka...
Acha zako wewe shindwa na ulegee
Mkuu salama?Leo, jina lako lina-trend katika jukwaa lipi? La Siasa, la Habari na Hoja Mchanganyiko au International Forum?
Ukitubu leo na kuamua kuokoka, jina lako lita-trend mbinguni. Na huko sio ku-trend tu, itakuwa Breaking News itakayowafanya malaika wote washangilie.
Luka 15:7
"Kadhalika nawaambieni, ndivyo kutakavyokuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya kutubu kwa mwenye dhambi mmoja, kuliko kwa ajili ya watu tisini na tisa wanaojiona kuwa wema, wasiohitaji kutubu.”
Mnaosema mada zangu ni ndefu, hamuwezi kusoma mpaka mwisho, semeni sasa: na hii mmeshindwa kuisoma mpaka mwisho au huwa ni geresha tu 🙂
Sina dhambi. Nilitubu dhambi zangu siku nyingi zilizopita.Kwahiyo wewe dada mtakatifu hauna dhambi?
Jamani, Binti wa zamani umenisikitisha sana kuongea hivyo. Maneno yako yanadhihirisha vita vya kiroho vinavyoendelea ndani yako. Yesu hakufa kwa ajili ya wenye haki, bali kwa ajili ya wenye dhambi kama wewe (Warumi 5:8). Zawadi anayokupa Mungu ni zawadi ya uzima wa milele, na inawezekana ukaipokea zawadi hiyo leo kabla hujachelewa.Anyway, mi nilishakuambia kwamba nina seat yangu kwa kaka Satan sitaki kufufuka wala kuishi milele huko mbinguni kwenu.
Asante Binti wa zamani kwa kujizuia kusema yasiyofaa. Mungu akubariki na akupe moyo wa toba.Ningesema mengi yasiyofaa kuhusu dhambi, ila kuna kaka mlokole humu tunaheshimiana, hiyo respect naiextend na kwako on his behalf.