Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,221
- 79,733
Hapa jf hakuna cheo chenye jina Hilo punguza wivu wewe 😂 😁Nikuonee wivu kwa kuwa Platinum? Mbona bado uko chini sana. Subiri uwe Palladium ndio useme hivyo
Hapa jf hakuna cheo chenye jina Hilo punguza wivu wewe 😂 😁Nikuonee wivu kwa kuwa Platinum? Mbona bado uko chini sana. Subiri uwe Palladium ndio useme hivyo
Mimi nimeokoka. Wivu ni dhambi. Hakuna dhambi inayotawala ndani yangu. Ila wewe nakutahadharisha: usije ukaingiwa na kiburi na majivuno kwa sababu ya u-platinum. Kumbuka yaliyompata Lucifer(shetani) alipojiona yuko juu,...alifukuzwa mbinguni na sasa anasubiri kuchomwa moto.Hapa jf hakuna cheo chenye jina Hilo punguza wivu wewe 😂 😁
Duh, hayo matusi ni ishara kwamba umeishalewa. Ngoja nikuache kwanza. Pombe zikikutoka soma uzi huuNitolee upumbavu mm nipo hapa baa nalewa na bwana wako
Sawa bikra maria
Sawa, endelea kung’ara lakini kwa unyenyekevu na moyo wa upole!Mimi jina langu na mimi mwenyewe na trend kitaa!
Vipi kuhusu peponi, kuna kitimoto pia? Au sisi wapenda kitimoto tuje huko jehanamu?Mm nna trend jehanamu, Niko nawaandalia kitimoto choma nyie watu wa jehanamu watarajiwa 😎
Afadhali usijue kwamba kuna ku-trend, lakini ujue hali itakavyokuwa Yesu atakapokujaKuna ku trend na sijui???
Vipi kuhusu peponi, kuna kitimoto pia? Au sisi wapenda kitimoto tuje huko jehanamu?
Kutubu kwa nani?Sawa, endelea kung’ara lakini kwa unyenyekevu na moyo wa upole!
Lakini je, jina lako liliisha-trend mbinguni? Kama bado, tubu huo ulevi na dhambi zako zote, umpokee Yesu leo awe Bwana wako. Jina lako lita-trend mbinguni na wote huko watafurahia
Ni vizuri kusubiri kipindi cha RAFIKI, lakini kuna Rafiki wa kweli ambaye hakosekani hewani kamwe — Yesu Kristo. Yeye hasikilizwi tu, bali husikiliza. Anapatikana saa zote, na hutuliza mioyo kuliko kipindi chochote cha redio. Ukifuatisha sala hii ya toba, Yesu, Rafiki mwema ataingia ndani yako na kukupa raha nafsini mwako.Ninasubiri kipindi cha RAFIKI pale RADIO ONE muda huu.
🤣🤣Sasa hapo unanionea wivu
Kama umeandika mada ya kusifia ulevi na uzinzi, huenda ndiyo sababu inahitaji kupitiwa kwanza na moderators. Tubu leo, ili ukubalike mbele za Mungu, na mada zako zitakuwa na nuru ya Kristo, kiasi cha kutohitaji kupitiwa!Leo sielewi Nyuz zangu hazionekan
masaa sasa had ss hv naimba Mapambio
Mods wapitie
View attachment 3429997
Ni opposite unachosemaKama umeandika mada ya kusifia ulevi na uzinzi, huenda ndiyo sababu inahitaji kupitiwa kwanza na moderators.
Tubu leo, ili ukubalike mbele za Mungu, na mada zako zitakuwa na nuru ya Kristo, kiasi cha kutohitaji kupitiwa!
Huku raha zote zipo mkuu, Karibu sana, mm mwaka wa tatu huu nakula raha tuuVipi kuhusu peponi, kuna kitimoto pia? Au sisi wapenda kitimoto tuje huko jehanamu?
Amen...najihisi mwenye matumaini.Ni vizuri kusubiri kipindi cha RAFIKI, lakini kuna Rafiki wa kweli ambaye hakosekani hewani kamwe — Yesu Kristo. Yeye hasikilizwi tu, bali husikiliza. Anapatikana saa zote, na hutuliza mioyo kuliko kipindi chochote cha redio. Ukifuatisha sala hii ya toba, Yesu, Rafiki mwema ataingia ndani yako na kukupa raha nafsini mwako.
Omba (kwa kufuatisha kwa moyo wako wa dhati) sala hii ya toba.
Omba hivi:
“Ee Mungu Baba, nimetambua mimi ni mwenye dhambi. Leo nakuja mbele zako nikiomba msamaha wako. Natubu dhambi zangu zote na kuziacha. Nakiri kuwa Yesu Kristo ni Bwana, na Yeye ndiye Mwokozi wa ulimwengu. Yesu karibu moyoni mwangu utawale maisha yangu kuanzia leo. Naomba unipe nguvu ya kushinda dhambi na kuishi maisha matakatifu. Namkataa shetani na kazi zake zote. Asante Yesu kwa kuniokoa. Katika Jina la Yesu Kristo, ninaomba na kushukuru. Amen.”
Kama umeomba sala hiyo kwa moyo wako wa dhati, tayari umeokoka. Yesu ni Rafiki yako kuanzia leo. Ili umjue zaidi Yesu, anza kusoma Biblia kila siku; pia umuombe Mungu akusaidie kuishi maisha ya utakatifu. Tafuta pia Kanisa lolote linalohubiri wokovu na kufundisha utakatifu, ujiunge nalo, watakupa msaada zaidi wa jinsi ya kuendelea kiroho.
Mungu akutunze, akufunike kwa ulinzi wake, sasa na hata milele. Amen.