Jina lako lina-trend wapi leo?

Jina lako lina-trend wapi leo?

Njoo tunywe konyagi plus kvant na mududu
Kisha akaniambia, “Usiyafunge maneno ya unabii yaliyomo katika kitabu hiki, kwa sababu wakati huo umekaribia. Atendaye mabaya na aendelee kutenda mabaya, aliye mchafu na aendelee kuwa mchafu, yeye atendaye haki na aendelee kutenda haki, na yeye aliye mtakatifu na aendelee kuwa mtakatifu.” (Ufu 22:10-11)

Monetary doctor kama hujui maana ya hii kauli: "Atendaye mabaya na aendelee kutenda mabaya, aliye mchafu na aendelee kuwa mchafu..." wewe endelea tu kunywa konyagi plus kvant
 
Tutapewa miili mipya,,
 
min -me

Ina maana ninapokufa nitakuja kufa Tena kipenzi setfree?
Iko hivi: ukifa katika dhambi, utafufuliwa baadaye kwa ajili ya hukumu. Utapewa mwili usiokufa, lakini utakaopata mateso ya milele katika ziwa la moto. Mwili huo hautateketea, bali utahisi maumivu mazito na uchungu sana. Hiyo ndiyo inayojulikana kama mauti ya pili.
Soma Ufunuo 20:10-14 kwa habari zaidi
 
Duuuh hii itakuta mpaka wahindi na wachina ?
 
Duuuh hii itakuta mpaka wahindi na wachina ?
Ndio. Sio wachina na wahindi tu! Biblia inasema: “Msishangae kusikia haya, kwa maana saa inakuja ambapo wale walio makaburini wataisikia sauti yake, nao watatoka makaburini. Wale waliotenda mema watafufuka wapate uzima, nao wale waliotenda maovu watafufuka ili wahukumiwe." (Yohana 5:28-29).

Hii inahusu watu wa kila taifa, kila lugha, na kila kabila; iwe ni Warusi, Waasia wa Kati, Waarabu, Wazungu, Waafrika, au watu wa visiwa vya mbali. Mungu hana upendeleo; atawahukumu wote kwa haki. Ndiyo maana Injili inahubiriwa kwa mataifa yote, hata yale ambayo kwa sasa hayamjui Mungu kwa kina, kama China, India, Urusi, Korea Kaskazini, Saudi Arabia, Nepal, Mongolia, na mengine mengi. Wote hao, pamoja na sisi, tutafufuliwa, na kila mtu atahukumiwa na Mungu kulingana na jinsi alivyoishi duniani.
 
Sawa, endelea kung’ara lakini kwa unyenyekevu na moyo wa upole!

Lakini je, jina lako liliisha-trend mbinguni? Kama bado, tubu huo ulevi na dhambi zako zote, umpokee Yesu leo awe Bwana wako. Jina lako lita-trend mbinguni na wote huko watafurahia
Choko ww
 
Back
Top Bottom