Jina lako kamili ni nani?

Jina lako kamili ni nani?

Tangu asubuhi nafuatilia thread zake, hasound like mwanamke, nahisi Ndio Regina waukweli au yule mwingine

kuna moja mods wameifunga haeleweki
Nahisi naye kama yule aminata wa ukweli
 
Last edited by a moderator:
Kha! Mimi naitwa Mumangu Shejawanangu!!!!! You can practice hahaaaaasaa
 
tangu asubuhi nafuatilia thread zake, hasound like mwanamke, nahisi ndio regina waukweli au yule mwingine

hajawahi kusound kikike! Nahisi ni aminata mrembo ambaye pia ni regina wa ukweli.
 
Last edited by a moderator:
kuna moja mods wameifunga haeleweki
Nahisi naye kama yule aminata wa ukweli

yule alikuwa aminata mrembo alikuwa anatukana balaa ila yeye alijisema wazi kuwa yeye ni dume nazani alikuwa anafanya utafiti sasa huyu Grace aliyejaaliwa anasema yeye ni bidada na kajaaliwa haswa!
 
Kama kawaida ujumbe ni uleule wewe UNAMTINDIO WA UBONGO na kama hutaki basi andamana Grace Aliyejaaliwa miguu myembamba kama penseli.
 
Last edited by a moderator:
Naitwa NYAMSISIMKILAKWIYAGA MKOLELAMBAFUSAMLI a.k.a blueband, haya kingine....?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom