Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,826
Sawaaa ndugu yangu
Mkuu Mshana jr, huku mtaani naheshimika sana. Japo maandishi yangu ya humu jf yanayokuja kupitia id ya Sexless ndiyo yananijengea taswira tata.
Natambua hilo lakini kuna mada uliandika kuhusu mahusiano nikadhani umeandika uhalisiaMkuu Mshana jr, huku mtaani naheshimika sana. Japo maandishi yangu ya humu jf yanayokuja kupitia id ya Sexless ndiyo yananijengea taswira tata.
Huko huwa nasherehesha tu mkuu. Nothing serious.Natambua hilo lakini kuna mada uliandika kuhusu mahusiano nikadhani umeandika uhalisia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok asante sana kwa ufafanuzi... Unajua wengine tunaandika uhalisia hivyo tunapoona maandiko ya wengine tunadhani ni uhalisia piaHuko huwa nasherehesha tu mkuu. Nothing serious.