Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,024
- 27,365
Unahitaji utulivu wa mwili akili pamoja na dushe. Maana ukiingia kichwa kichwa unatoka kapa.
Nuhu na mkewe na watoto wake watatu na wake zao!Jumla 16 yani walikuwa pair
Akili yake unaionaje mkuu!? Anaweza kuwa ameathiriwa na jina[emoji16]Sijui kwanini bwana yule alipewa jina la kilevi,eti alcohol
Hahahaha inahitaji akili ya ziada kupambanua kilichoandikwa,la sivyo utaona ni kastory tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]pombe na nondo akiii mme wangu kibokooo ya misamiati mpaka mkewe ananiacha njiapanda looooh
Kabisa hahaha tuwe tunaangalia majina ya kuwapa watoto ili wasije kusumbua wenzao baadaeAkili yake unaionaje mkuu!? Anaweza kuwa ameathiriwa na jina[emoji16]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Akili yake unaionaje mkuu!? Anaweza kuwa ameathiriwa na jina[emoji16]
Aiseee uwe unakuja na kamusi mambo kama haya yanahitaj collaboHahahaha inahitaji akili ya ziada kupambanua kilichoandikwa,la sivyo utaona ni kastory tu
Njoo tsap[emoji32] [emoji1] [emoji15] [emoji144] [emoji23]
Ahhaaaaa dah watu mna akili hatariila kweli ile alcohol pale kwa nondo haitii dafu! Kwan ndo inaimarika hatari na inakuwa nondo ujenzi wa kimataifa
Tatizo ngumi za tembo na ssimizi dunia yote itaangali uwezo wa sisimizi kutikisa tembo, bora alcohol angekaa kimya, ingemsaidia sana