Jina lako haiba yako

Jina lako haiba yako

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,396
Reaction score
829,698
Majina yetu huathiri haiba zetu kwa namna za ajabu kabisa... Unapomchagulia mtoto jina hakikisha unajua vema asili yake hasi na chanya zake na mustakabali wake... Kwani hujawahi kusikia mtu akiambiwa karithi jina na tabia!?
Kuna kinywaji kikali duniani maarufu sana kinaitwa John walker... Inasemekana jina hilo ndio la huyo mvumbuzi ambaye alipenda kutembea mji mmoja hadi mwingine kwa miguu ama kwa gari.. Vitu vya kupaa alipanda kwa lazima sana
JW ni kinywaji kikali kwakweli na ukifanya maskhara unayabanika maini figo na bandama yako bila kupenda! Lakini unajua kiboko ya kilevi kikali ni nini!?
Chuma hakiathiriwi na pombe kali... Chuma adui yake mkuu ni maji... Hapo kutu ni fasta na hiki ndio kiama chake.. Ukiikutanisha pombe kali na chuma... Ni kama kukipiga msasa... Pombe itasizi chuma kitang'aa
Chuma kina majina mbalimbali kutokana na matumizi yake.. Kuna mataruma, kuna flat bar kuna waya kuna Nondo nknk...
Nondo inaweza kuwa na matumizi mengi kwa wakati mmoja lakini kubwa ni ujenzi... Msingi imara wa nguzo kuta au viunganishi kwenye magorofa madaraja na ujenzi mwingine... Nondo hutumika sana... Kwahiyo kiroho jina la Nondo ni kuleta uimara kiunganishi na kushikamanisha..... Ukitaka kuiweza nondo itafutie moto au maji.. Sio tindikali..

Nimemaliza... Mlale salama....
 
Lazima ukae... Liquor is liquid form... While metal is solid form.... Metal is for making structures... How about liquor!? So when these two catalysts do compete...! Metal will be automatically the winner...!
Screenshot_20180407-234654.jpg
 
Majina yetu huathiri haiba zetu kwa namna za ajabu kabisa... Unapomchagulia mtoto jina hakikisha unajua vema asili yake hasi na chanya zake na mustakabali wake... Kwani hujawahi kusikia mtu akiambiwa karithi jina na tabia!?
Kuna kinywaji kikali duniani maarufu sana kinaitwa John walker... Inasemekana jina hilo ndio la huyo mvumbuzi ambaye alipenda kutembea mji mmoja hadi mwingine kwa miguu ama kwa gari.. Vitu vya kupaa alipanda kwa lazima sana
JW ni kinywaji kikali kwakweli na ukifanya maskhara unayabanika maini figo na bandama yako bila kupenda! Lakini unajua kiboko ya kilevi kikali ni nini!?
Chuma hakiathiriwi na pombe kali... Chuma adui yake mkuu ni maji... Hapo kutu ni fasta na hiki ndio kiama chake.. Ukiikutanisha pombe kali na chuma... Ni kama kukipiga msasa... Pombe itasizi chuma kitang'aa
Chuma kina majina mbalimbali kutokana na matumizi yake.. Kuna mataruma, kuna flat bar kuna waya kuna Nondo nknk...
Nondo inaweza kuwa na matumizi mengi kwa wakati mmoja lakini kubwa ni ujenzi... Msingi imara wa nguzo kuta au viunganishi kwenye magorofa madaraja na ujenzi mwingine... Nondo hutumika sana... Kwahiyo kiroho jina la Nondo ni kuleta uimara kiunganishi na kushikamanisha..... Ukitaka kuiweza nondo itafutie moto au maji.. Sio tindikali..

Nimemaliza... Mlale salama....
Nikajua kuna bonge la point mwisho,loh kumbe Utumbo wa KUKU.
 
ila kweli ile alcohol pale kwa nondo haitii dafu! Kwan ndo inaimarika hatari na inakuwa nondo ujenzi wa kimataifa
Tatizo ngumi za tembo na ssimizi dunia yote itaangali uwezo wa sisimizi kutikisa tembo, bora alcohol angekaa kimya, ingemsaidia sana
 
Kutaka kumuangamiza sisimizi kwa kutumia rungu kubwa ni walakini mkubwa... Lakini kiroho lina tafsiri yake kwakuwa ulimwengu wa roho ndio engine ya dunia
 
Back
Top Bottom