Cha kushangaza ni kwamba mtaa huu upo in the country where Swahili is a national language, with more than 30M Congolese speaking Swahili. Haya ni makusudi tu, maana hilo neno halina maana kwa kikongo, tshiluba wala lingala (the 3 other national languages). lina maana kwa kiswahili tu!
Mtaa wenyewe umepakana na Av. Batetela, na Batetela speak swahili!
mmmh hivo hata nyimbo zao neno hilo halipo ? huwa nasikiaga ya ajabu!!
NObody knows where the name comes from...Kwa hiyo ulivyo tembelea hapo je uliuliza jina hilo limetokana na nini? au kuna mtu maarufu alikuwa anaitwa Chipumbu?
NObody knows where the name comes from...
Kwanini nisibishe? ni vitu viwili tofauti! huwezi kufanya generality namna hiyo na tusikupinge!Basi usibishe unapo ambiwa kwa wakongoman kutumia majina viungo vya uzazi ni kawaida nimetoa mfano wimbo wa Koffie ule anaimba uma inauma uma inauma sasa hapo kwe u weka K
Kwanini nisibishe? ni vitu viwili tofauti! huwezi kufanya generality namna hiyo na tusikupinge!
Cha kushangaza ni kwamba mtaa huu upo in the country where Swahili is a national language, with more than 30M Congolese speaking Swahili. Haya ni makusudi tu, maana hilo neno halina maana kwa kikongo, tshiluba wala lingala (the 3 other national languages). lina maana kwa kiswahili tu!
Mtaa wenyewe umepakana na Av. Batetela, na Batetela speak swahili!
Khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!! Watu8, unanitukana, kuna kitu unanitafuta, haki ya nani tena!!!!!!!
Kwanini nisibishe? ni vitu viwili tofauti! huwezi kufanya generality namna hiyo na tusikupinge!
Labda kwa kiswahili chao hilo neno lina maana tofauti?! Hasa tusemeje jamani....
Mbona kule Msumbiji kuna timu ya Mpira wa miguu inaitwa Chipumbu FC.
Umetaja example 3, I know like 100 Congolese na sijawahi waskia wakisema matusi hadharani. 3 vs 100!Lete facts zinazo pinga hiyo generality mi nimesha toa tatu mpaka sasa kama hivi Avenue PUMBU, wimbo wa Koffie uma inauma hapo kwenye u weka K kisha na sehemu moja inaitwa kama ile timu ya Angola Libolo sasa weka Mbo na herufi ya mwisho.
Maana ni hiyo hiyo!Labda kwa kiswahili chao hilo neno lina maana tofauti?! Hasa tusemeje jamani....
ha ha ha shwetani weye lol
Umetaja example 3, I know like 100 Congolese na sijawahi waskia wakisema matusi hadharani. 3 vs 100!
mmmh! yamekuwa hayo tena loh!! wala sina maana ya kukutukana dada yangu...ndio maana nikaweka na source nisije ambiwa nimefanya editing!!!Khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!! Watu8, unanitukana, kuna kitu unanitafuta, haki ya nani tena!!!!!!!
Hahahahahahaaaa!! maana umenistua kidogo, ndiyo maana nikasema wacha nikuchimbe mkwara.mmmh! yamekuwa hayo tena loh!! wala sina maana ya kukutukana dada yangu...ndio maana nikaweka na source nisije ambiwa nimefanya editing!!!
Hahahahahaahahaaa!!! haya bwana yote haya kayaleta WATU 8kumbe na wewe ndo maana unafupisha jina lako kama Mr kumamoto mlovyomfupishia