Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,945
- 4,499
Cha kushangaza ni kwamba mtaa huu upo in the country where Swahili is a national language, with more than 30M Congolese speaking Swahili. Haya ni makusudi tu, maana hilo neno halina maana kwa kikongo, tshiluba wala lingala (the 3 other national languages). lina maana kwa kiswahili tu!
Mtaa wenyewe umepakana na Av. Batetela, na Batetela speak swahili!
Kwa hiyo ulivyo tembelea hapo je uliuliza jina hilo limetokana na nini? au kuna mtu maarufu alikuwa anaitwa Chipumbu?