grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,442
- 5,807
Mbona mnaharibu majina ya watu bhana, kama ingekuwa mimi ningegoma kuingia mpaka mni-address kwa jina langu kamili. Halafu unakuta ndiyo nimeleta misaada sitoi mpaka mnitaje jina langu full. LOL.Hilo jina ni kweli kabisa mmoja yupo hapa Tanzania alikuja ofisini kwetu akajitambulisha hivyo, badala ya kumpokea tukaangua kicheko wote, ikabidi tumfupishe tumwite MR MOTO.