SMU
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 9,613
- 7,901
Pengine tungejiuliza pia wenyewe wanalitamkaje jina hilo (matamshi yanaweza kuwa hayana ukakasi kama tunavyofikiri).Cha kushangaza ni kwamba mtaa huu upo in the country where Swahili is a national language, with more than 30M Congolese speaking Swahili. Haya ni makusudi tu, maana hilo neno halina maana kwa kikongo, tshiluba wala lingala (the 3 other national languages). lina maana kwa kiswahili tu!
Mtaa wenyewe umepakana na Av. Batetela, na Batetela speak swahili!
Lakini kikubwa ni maana yake. Kwa watu wa jamii ya ki-mbendjele (ambao pia wanapatikana maeneo ya Congo), neno pumbu ni jina la rangi ambayo kwa kiswahili tunaita nyeupe. Katika jamii nyingine ya wa Pende maeneo hayo hayo ya Congo, pumbu ('pumbu a mfumu') ni aina mojawapo ya mask (kinyago?).