Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,014
- 5,610
hahahahaha, hapo sasa!labda tungekwenda mbali zaid na kujua kwao lina maana gani. kwani lawezekana likawa tusi kwetu ila kwao likawa ni jina la mtu.
kwetu Machame MBORO NI jina la UKOO, na mabianti wao huitwa MAMBORO ilihali wakaka huitwa MBORO sasa je wamachame hawaongei kiswahili?? ama hawajui kwamba mboro ni uume?? jina hili kichaga lina maanisha "" enye nguvu"".
istoshe kiswahili ------ NI TUSI kubwa sana ila kimachame ------ ni fimbo(mkongojo)