Jimbo la Segerea: Nini CCM's Plan B?

Jimbo la Segerea: Nini CCM's Plan B?

- Kuna dalili kubwa sana kwamba huenda hili jimbo likaishia kuwa open soon, I hope CCM wana plan B in works!, na siamini CDM watasimamisha the same candidate, lakini muhimu CCM wakaaanza kufikiria plan B! now!

Es!

Punguza munkar, acha jazba tumwache Jaji afanye kazi yake na kutoa hukumu yake.

Kumbuka kuwa mambo mazuri hayataki papara.

Acha sharia ifuate mkondo wake.

- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!

William @DSM City!

poda za nn toto la kiume,kama huwez kiswahili andika kiingereza moja kwa moja.nyie mabaharia wa sasa taabu tupu.
 
Hakika hata wawavue ubunge viongozi wote wa CHADEMA bado haitawasaidia lolote hao CCM. Kama walikuwa hawajui, basi wajue kuanzia sasa hawana chao kabisa. M4C ndo' Mpango Mzima... People's Power!
 
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!

William @DSM City!
Hiyo Nyumba ulijengewa na Step Mother kutokana na kale kamgawo ka Patel wakat ding ana dream za kuingia magogoni but unfortunately ikala kwake mwishoni.
 
Ni kweli kabisa Mnyika na Lissu watatemwa kama Lema ili kuinusuru CCM na kupunguza kasi ya CHADEMA. Mbona hukumu ya Lema ilijulikana kabla? Hakuna haki kabisa, kilicho bakia ni Mungu atuamulie mwenyewe na kutunusuru. Walioshinda ubunge kwa kushikwa na masanduku ya kura bado si wako bungeni? wangekuwa ni CUF, CHADEMA masanduku yangeonyeshwa hadi CNN na BBC. Mpango wa rushwa ya gachacha ushindwe kabisa.

Kwa kufuatilia updates za ushahidi wa watu wa CCM tulizokuwa tunaletewa kuhusu kesi ya Lissu na kama kweli atavuliwa Ubunge kuna haja ya nchi kabadirika kidogo na kuwa kama Misri/Libya
 
- Mkuu wangu heshima mbele kwanza, well baaada ya kukaa sana Majuu chakula kule sio organic kama hapa bongo, so was trying to catch up organic hapa bongo, lakini mind you nakimbia Mile 2 kila siku asubuhi njoo huku baharini asubuhi, so dont worry nilikuwa nina-catch up na organic kidogo za bongo,na vitumbuwa, maandazi na sambusa sana you know! ha! ha! ha! na Chips mayai kwenye makalai mtaani super sana you know! ha! ha! ha!

- HOWEVER; huna hoja on Segerea au? ha! ha! ha!

Willie @DSM City!

Hapo kwenye red hapo. Segerea kuna bahari?? We si umedai umekuloa huko na ndipo ulipo kwa sasa??
 
Kamanda hii ni ngumu. Tunataka haki zifuate mkondo na sii vinginevyo
 
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!

William @DSM City!

Jimbo lako liko NYC kijana, wapigakura wa Segerea hawakujui
 
Wewe umejuaje? Au ndio tayari hukumu za mahakama mko nazo mkononi? Duh, kweli Magamba noma!

Usidharau kabisa alilolisema mwenzako hapo juu. Hata hukumu ya Lema tulianza kusikia hivyo hivyo wiki moja kabla ya siku ya mahakama kutangaza hukumu!!!
 
- Ha! ha! ha! ha! wacha uoga wewe! ha! yaaani unaiogopa hivi vipi ndugu yangu! ha! ha! ha!, tulia mkuu wangu!

Willie @DSM City!

We Wile,
Ushanusa matokeo ya hukumu ya kesi hii ama? Nahisi kama una fununu ya kudondoka kwa waziri vile!

- ha! ha! ha! kwa sisi politicians hii yako inaitwa changamoto! saafi sana kumbe mnaniogopa hivi, saafi sana kujua! ha! ha! ha! ha!

- Keeep it on!

Willie @DSM City!
Wewe sio mwanasiasa bana..........

Ukweli ni kwamba hauna sifa za kuwa muwakilishi wa wananchi katika ngazi yoyote ile......Wewe si kiongozi/hauna sifa za kiongozi/mwakilishi wa wananchi.....Sidhani kama una haja ya kupoteza muda wako kugombea Segerea....

Ulipotangaza nia ya kugombea EAC tulikwambia hapa kwamba hauna sifa.....Badala yake ukaja na kejeli/matusi/kebehi kibao(na swahiba wako FMES)....

Wewe unafit zaidi kwenye Muziki(Ngwasuma),u DJ ama ile show ya Growing Up African..... lakini kwenye siasa HAPANA.....Big NO.....

Binafsi naona ulitaka kuingia EALA kwa ajili ya kuganga njaa baada ya mambo kukuendea kombo US....Maelezo yako na POROJO nyingi ulizoziweka hapa JF pamoja na Kiingereza chako kibovu vilionesha dhahiri kwamba wewe HAUNA SIFA za kuwa muwakilishi wa Tanzania katika wala kuwawakilisha wananchi wa Segerea.....No wonder Anthony Komu alikushinda kwa kura....

Leo hii unadiriki kujitangaza kwamba wewe ni plan B ya CCM...........What a joke...

Wewe si mwanasiasa bana......Ni mganga njaa.....Kuwa ALOSTO kitu kibaya sana

Narudia tena,wewe si mwanasiasa.......Unalazimisha tu na unaitumia JF kama mgongo wa kujikuza kisiasa(sory kwa kusema hivi)....

Wazee wa Sauti za Makoroboi

@ Gamboshi.

Dah! Bala za usoni zinaruhusiwa? mbona umempa za uso sana!!!!!
 
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!

William @DSM City!

Naona fisi mwenye tamaa! Anatamani kila mkono hata wa bandia! Lol
 
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!

William @DSM City!
Nakushauri fuata maneno ya kaka yako Makongoro, ukitaka kushinda gombea chama pinzani (CDM) huko kwa magamba huwezi. Baba ako yalimshinda Mtera we utayaweza???
 
Tatizo lako Willy bado unaishi kwa kuangalia kimvuli cha Baba yako wakati wewe unasahau tayari ni mtu mzima unayejuwa kupembuwa mazuri na mabaya na kama ungekuwa unajuwa japo kidogo kupima upepo wa kisiasa ni kwamba Jimbo la Ukonga (Segerea )halijawahi kupata mbunge bora zaidi ya Makongoro Mahanga.

Je ni kwa nini tulimuangusha Makongoro Mahanga kwenye last General election?

Ni kwamba kabla ya jimbo kugawanywa nadhani jimbo letu ndilo lilikuwa lina wapiga kura wengi kuliko jimbo lolote hapa Tanzania. sasa basi Makongoro alitalajia kwa jimbo kugawanywa ingekuwa yeye ni rahisi kwake kushinda kumbe alichokisahau kuanzia mwaka 2010 kauli mbiu ni kuiondoa CCM madarakani

Analysis yako inatakiwa ianzie hapa ni kwa nini Makongoro alikuwa na jimbo kubwa na alijitahidi kufanya kazi na mfano mzuri ni kata ya Kinyerezi na ni je ni kwa nini baada ya yeye Makongoro kupigania jimbo ligawanywe na likaganywa lakini bado tulimkataa kwenye sanduku la kura?

Simple mathematics, hapa hatuachezi sindimba hii ni vita na ushindi uko very clear ni hiari yako kuchaguwa upande either uko na sisi au uko na wao, lakini usituletee hadithi za kuleta mabadiliko ukiwa ndani ya CCM, otherwise nakukaribisha sana Segerea tukufundishe Siasa.

- BRO MATOLA, heshima sana mkuu wangu so far you seem to make more sense kuliko wengine wengi, kama ninakuelewa vizuri unasema Segerea, nikigombea under Chadema nina nafasi zaidi kuliko CCM?

Willie @DSM City!
 
Wewe sio mwanasiasa bana..........

Ukweli ni kwamba hauna sifa za kuwa muwakilishi wa wananchi katika ngazi yoyote ile......Wewe si kiongozi/hauna sifa za kiongozi/mwakilishi wa wananchi.....Sidhani kama una haja ya kupoteza muda wako kugombea Segerea....

Ulipotangaza nia ya kugombea EAC tulikwambia hapa kwamba hauna sifa.....Badala yake ukaja na kejeli/matusi/kebehi kibao(na swahiba wako FMES)....

Wewe unafit zaidi kwenye Muziki(Ngwasuma),u DJ ama ile show ya Growing Up African..... lakini kwenye siasa HAPANA.....Big NO.....

Binafsi naona ulitaka kuingia EALA kwa ajili ya kuganga njaa baada ya mambo kukuendea kombo US....Maelezo yako na POROJO nyingi ulizoziweka hapa JF pamoja na Kiingereza chako kibovu vilionesha dhahiri kwamba wewe HAUNA SIFA za kuwa muwakilishi wa Tanzania katika wala kuwawakilisha wananchi wa Segerea.....No wonder Anthony Komu alikushinda kwa kura....

Leo hii unadiriki kujitangaza kwamba wewe ni plan B ya CCM...........What a joke...

Wewe si mwanasiasa bana......Ni mganga njaa.....Kuwa ALOSTO kitu kibaya sana

Narudia tena,wewe si mwanasiasa.......Unalazimisha tu na unaitumia JF kama mgongo wa kujikuza kisiasa(sory kwa kusema hivi)....

Wazee wa Sauti za Makoroboi

@ Gamboshi.

- Kwa wanasiasa hii yako tunaita changamoto, na kama kawaida yako ni FEAR tupu unaniogopa, nilipokuwa huko ulikuwa hulali nimeondoka bado kivuli changu kinakutesa! ha! ha! ha! ha!

- Ngoja niguze hoja zako mufilisi japo kidogo, nimerudi bongo in three months nimepitia Sekretariat, nikapita CC, nikapita kura za maoni za wabunge wote wa Jamhuri wa CCM, nikaingia Finally na kushindwa kwa kushika nafasi ya Tano, NOW WITH ALL THIS ACCOMPLISHMENTS NINATAKIWA KUSIKILIZA HIZI NGONJERA ZAKO? REALLY? ha! ha! ha! ha! ha! pole sana mkuu wa majuuu!

Willie @DSM City!
 
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!

William @DSM City!

Wagogo kwa kupenda sifa, kwani jimbo na nyumba vina uhusiano gani? wewe baba yako alishaproove failure unataka nini tena? Baba yako ndo ameitafuna nchi hii mpaka tunaishi hali ngumu namna hii. Hebu na nyie mkae pembeni mwone uchungu wa maisha ulivyo. We pumzika endelea kula pension ya baba yako tu. Kwani kilichokukimbiza marekani nini?
 
Back
Top Bottom