Jimbo la Segerea: Nini CCM's Plan B?

Jimbo la Segerea: Nini CCM's Plan B?

hawaogopi ?? nani watakaemsimamisha na Kamanda Lisu ?? au Mnyika ??? yaani hizi chaguzi ndogo ndo zinaimaliza CCM kwani wananchi wanaona kumbe inawezekana mbuyu kuanguka , anyway tunawakaribisha kwenye uchaguzi ili tuwapoteze kabisa, na isitoshe kwenye chaguzi ndo sehemu sahihi ya kuwashitaki hawa Magamba kwa wananchi
 
Mahanga lazima atatemwa maana yuko kambi ya EDO!
 
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!

William @DSM City!
Willy wewe una nyumba na shamba Mpendazoe ana kibanda cha magirini, ukiwa mwanasiasa lazima ujichunge sana na matamshi yanayoweza kuudhi jamii, unaikumbuka post hii hapa chini ulivyomwambia Mpendazoe, kumbuka mpinzani wako anaweza kuyatumia maneno hayo kwa watu wenye nyumba unazoziita vibanda wakakunyima kura kama kweli una nia ya kugombea jimbo la Segerea.

quote_icon.png
By W. J. Malecela - Unaona ndio maana humu JF huwa hatuelewani, yaani hujui kwamba jamaa ana kibanda cha magiirini pale Segerea kwa ajili tu ya kugombea ubunge baada ya kukimbizwa huko kwao!

William.
 
- Kuna dalili kubwa sana kwamba huenda hili jimbo likaishia kuwa open soon, I hope CCM wana plan B in works!, na siamini CDM watasimamisha the same candidate, lakini muhimu CCM wakaaanza kufikiria plan B! now!


Es!

- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!

William @DSM City!

Nimeamini maneno ya YOYO!
 
Hii plan ya magamba kwakweli inaturudisha nyuma sana siku zileeee,.all in all sisi tuna Mungu na wao wana Dola na fedha za ufisadi,.Mungu yu pamoja nasi viva CDM.
 
Hii itasaidia mabadiliko makubwa ya mhumili wa mahamaka kama kweli watathubutu kufanya mambo haya kwani tumeshajuzwa mapema... if it happens so then we are sure that there is no mahakama in Tanzania.......tuta demand hata LULU aachiwe huru.....
 
This is our poll prediction, kama ilivyo kawaida JF ni zaidi ya usalama wa taifa, hukumu za majimbo haya matatu: Segere, Ubungo na Iramba, tayari zimeshaandikwa na zipo nje, Mpendazoe atashinda Segerea lkn hii ni political bail, kwa kuwa hana umaarufu na si mwiba kwa CCM ili mnyika ambaye ana madhara makubwa kwa CCM na T. Lissu hali kadhalika apoteze ubunge na kuipa CCM pumzi, inawezekana hali ya bunge kwa sasa itaharakisha hukumu hizi, tusubiri mei 2 kwa mnyika pale ilipo TBS.
 
Kwa michezo ya kitoto km hiyo ccm watazidi kujimaliza zaidi...............sijui km chama hakina washauri....wangeconcentrate namna gani wainue maisha ya watz.....wangewakamata mafisadi wote akiwemo lowasa na kikwete na rostamu na kuwashitaki ikiwezekana wafilisiwe ili kurudisha imani kwa watz....ntamuulza masaburi atoe maoni yake kwamba "anadhani ccm wanatumia nini kufikiri?...
 
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!

William @DSM City!
Umetokea wapi wewe?
 
Ona Wiliam una haki kama mtanzania yeyote laking you are not belonging to Segerea, kazi kubwa nionayo mimi ni jina kwa kuwa watanzania wamechoka kusikia majina makubwa wakiamini yatafanya yaleyale, soma alama za nyakati toka huko kama msafi njoo CDM ukikubalika you can move, bali utapokelewa endapo uko msafi, usiogope kwenda oposition cause of your dad, yes you can lakini si kwa stail ya CCM plan B
 
katika hali ya kusikitisha na kushangaza, ccm wamejipanga vilivyo kupitia mahakama za kichama (gachacha) kubatilisha matokeo ya majimbo mawili chini ya makamanda mnyika na lissu na kusurrender jimbo la segerea, hii inakua kama kamchezo cha kekundukekundu kwa watz ili tuone cdm tumetendewa haki segerea kumbe wametumaliza ubungo na singida mashariki, shime watz tusiukubali mchezo huu.

kubatilisha matokeo ya ubunge jimbo la ubungo ina maana Mnyika hataruhusiwa tena kuingia bungeni kama mbunge mpaka uchaguzi ufanyike mpya. Uchaguzi ambao naamini ataibuka tena mshindi kama wapiga kura wa ubungo watakuwa ni watu makini wanajua ni nini nchi ya tanzania inataka kwa sasa.

Kwa wale wanafuatilia bunge watakubaliana na mimi kuwa Mnyika ni miongoni wa wabunge wachache walio makini katika mijadala mbalimbali ndani na nje ya bunge. Hata wabunge wengi wa CCM pamoja na spika nadhani wanamkubali kwa jinsi alivyo na uwezo wa kutoa hoja makini na zenye nguvu hasa pale kunapotokea umuhimu wa kubadilisha vifungu za sheria au maazimio ya mijadala ya bunge. Mfano ni hili la juzi kuhusu upanuzi wa bandari ya dar. Alipendeza mabadiliko ya msingi kwenye maazimio ya bunge. Kitu ambacho kinaweza kusaidia Taifa la Tanzania kukupa upotevu wa hela nyingi sana.

 
Dodo wille,ingawa bonge, kiukweli ni kwamba wewe c mwanasiasa wa ukweli kama unavyodhani. Unachokitegemea kama ngazi ya kupandia kisiasa ni jina sirname yako "MALECELA" na unamtegemea mzee Malecela zaidi kuliko uwezo wako. Na watu kama wewe mpo wengi , mfano mzuri ni pa1 na Nape "NNAUYE" Adam "MALIMA Amani na ndugu yake "KARUME" Vita "KAWAWA" Na hata watoto wa mzee Mwinyi raisi mstaafu. Huna mvuto,labda hapa JF.
Aisee 072 wewe ndiyo umeongea ukweli unaouma, William is not a politician material anabebwa na jina lake. Mwanasiasa anajulikana, haijalishi awe anahubiri ukweli au uongo lakini utamjua tu huyu ndiye na huyu siye. Siku Willy anajieleza bungeni ilionekana dhahiri kana kwamba kalazimishwa aseme au kakariri kitendo ambacho si afya sana kwa mwanasiasa. Mimi naweza ku bet kuwa inawezekana Willy na Lusinde wakiwekwa kwenye jukwaa moja la siasa Lusinde anaweza kushinda.
 
Aisee 072 wewe ndiyo umeongea ukweli unaouma, William is not a politician material anabebwa na jina lake. Mwanasiasa anajulikana, haijalishi awe anahubiri ukweli au uongo lakini utamjua tu huyu ndiye na huyu siye. Siku Willy anajieleza bungeni ilionekana dhahiri kana kwamba kalazimishwa aseme au kakariri kitendo ambacho si afya sana kwa mwanasiasa. Mimi naweza ku bet kuwa inawezekana Willy na Lusinde wakiwekwa kwenye jukwaa moja la siasa Lusinde anaweza kushinda.

duuuuuuuuuu
 
Ni kweli kabisa Mnyika na Lissu watatemwa kama Lema ili kuinusuru CCM na kupunguza kasi ya CHADEMA. Mbona hukumu ya Lema ilijulikana kabla? Hakuna haki kabisa, kilicho bakia ni Mungu atuamulie mwenyewe na kutunusuru. Walioshinda ubunge kwa kushikwa na masanduku ya kura bado si wako bungeni? wangekuwa ni CUF, CHADEMA masanduku yangeonyeshwa hadi CNN na BBC. Mpango wa rushwa ya gachacha ushindwe kabisa.
 
If one lie u once he is a fool but if twice u are a fool;wanataka kuteka sehemu nyeti za nchi yetu, uchaguzi wa kwanza kushirikisha vyama vingi mwaka 1995 arusha walipigwa chali,wakafanya hila zao wakamtoa makongoro wakamweka felix mrema wao,naye kapigwa chini na ngome imara cdm, wanarudia tena? Hatudanganyiki...ukimpiga chura teke anafurahi umemwongezea speed.let us enjoy ukombozi umefika.
 
- Ndio tofauti yetu hapa, mimi naongea nikiwa Segerea shambani kwangu, wewe unaonegelea nje ya jimbo na kujifanya unalijua sana jimbo kuliko mimi mkazi wake!

- Chairman Mao alisema: NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK!

Willie @DSM City!

Segerea shambani? kaka shamba lako hapa segerea lipo sehem gani?
 
Back
Top Bottom