Jimbo la Segerea: Nini CCM's Plan B?

Segerea hukumu ni tar 2 mei
Lissu tar 27 April kama sijakosea
Ya mnyika ni lini?
 
- Wacha Fear mkuu wangu na wewe nilikuwa ninakuamini kumbe unaniogopa hivi, yaaani unasema mtu ukipata ajali usiendeshe tena gari, vipi Great Thinker hapa tunaongea plan B na political speculation ndiyo moja ya kazi yetu kubwa JF,

- I mean hata ukikuogopa mtu unajaribu kuficha kidogo kuliko ulivyofunguka yaani open kabisaaa, duh! ha1 ha!

Willie @DSM City!

ukipata ajali sharti ukae chini utathmini kama ajali ilikuwa ni uzembe wako au ilikuwa haiepukiki kuliko kupata ajali hata hujapona majeraha unaanza tena kuendesha gari! Political speculation inayoingilia uhuru wa mahakama is ilegal!na wewe kaka kama mtu unatafuta kuingia kwenye chombo cha kutunga sheria sidhani kama upo sawa kufungua na kuendesha mjadala wa swala ambalo bado lipo mahakamani, lazima ujifunze kuheshimu sheria!siwezi kukuogopa maana sina intention ya kugombea ubunge wala sina intention ya kuwa politician na hata ningekuwa na mawazo hayo ntakuogipaje wakati kura yako ni moja tu kama yangu??Just wait time itakuja kama ni segerea au mahali pengine ufuate utaratibu!!
 
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!

William @DSM City!

Kuchanganyikiwa kubaya.....
 
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!

William @DSM City!
fikiria kabla ya kuandika kuwa na shamba hata nyumba segerea sio kitu kimbaya je una uzalendo wa kukomboa nchi yetu au? maana nikisoma post zako nyingi nashindwa kukuelewa uko kwenye ufisadi au kutetea nchi?
 
Katika hali ya kusikitisha na kushangaza, ccm wamejipanga vilivyo kupitia mahakama za kichama (gachacha) kubatilisha matokeo ya majimbo mawili chini ya makamanda Mnyika na Lissu na kusurrender jimbo la segerea, hii inakua kama kamchezo cha kekundukekundu kwa waTz ili tuone CDM tumetendewa haki segerea kumbe wametumaliza Ubungo na Singida mashariki, shime waTz tusiukubali mchezo huu.
Kweli kumbe Nchi haikuwa na mhimili wa mahakama kwa miaka 50. Ilikuwa chama mahakama/dola tu. waendeleze huo ushenzi mpaka wananchi waingie roadini kuyaondoa mafisi watu haya!!
 
Katika hali ya kusikitisha na kushangaza, ccm wamejipanga vilivyo kupitia mahakama za kichama (gachacha) kubatilisha matokeo ya majimbo mawili chini ya makamanda Mnyika na Lissu na kusurrender jimbo la segerea, hii inakua kama kamchezo cha kekundukekundu kwa waTz ili tuone CDM tumetendewa haki segerea kumbe wametumaliza Ubungo na Singida mashariki, shime waTz tusiukubali mchezo huu.

Wewe umejuaje? Au ndio tayari hukumu za mahakama mko nazo mkononi? Duh, kweli Magamba noma!
 
Hivi hawajui TBS iko ubungo? sasa hili sakata bado bichi, wanatupeka tena kwenye uchaguzi?
 
Do you think it will make survive from this Thunami?.....Hata wakiwavua ubunge wabunge wote wa CDM.Poor CCM!
 
Inshort Kama kuna Vitu ambavyo CCM wanaviogopa kwasasa ni Uchaguzi wa aina yoyote na katika level yoyote!Mwisho wa chaguzi hizi wanaoloose ni CCM hata kama wanakuwa wameshinda! simple example Igunga!
 
Ni kweli kabisa mi mwenyew nimesikia hzo habari lkn sijazithibtsha. Ndo maana sisiem wameharakisha hukumu ya Ubunge wa Kigoma Mjini iliyo ipa Ccm ushind. Ndugu watanzania na wapenda haki, tusikubali haki isemeke kutendek bali ionekane kutendeka. Mimi nimeshanunua Panga na mshale kwa mapambano. M4C DAIMA.
 
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!

William @DSM City!

Kama unagombea kwa ticket ya CCM usijisumbue Willy, utakuja aibika kama Sioi. Ushauri wa bure. Na kwa kweli hata kama unataka Mtera 2015, hamia kambi ya ushindi CDM haraka, kwani tunawataka wana CCM makini wasimame sasa wahesabiwe miongoni mwa makamanda wakombozi wa nchi hii.
 
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!

William @DSM City!

Wee mtoto acha makeke. Siasa za Bongo muulize babako (Mzee Jumanne) aliyetaka kubadili dini ili mradi aukwae urais. Kasome utenzi wa Mwalimu Nyerere aliomuandikia baba yako na marehemu Kolimba.

Nakushauri (kama kaka yako)hizo digrii zako za kukata na kusindika miwa zipeleke Mtibwa upewe kazi za kuwasimamia viberenge. Hapa watu hawachagui Washington wala Roosevelt. Hapa bongo utabwagwa na mkwezi wa Mwalusembe. Ukishindwa kupata kazi nyingine, tulia ule stipend yako taratibu, huku ukijifunza siasa za nyumbani angalau kwa miaka miwili zaidi.
 
Kwasababu Mods hawaruhusu kumtukana mkuu wa nchi basi sina cha kuchangia :playball:
 
Nadhani Mahakama ijivue gamba. Mahakama iwe huru na itikadi za vyama na serikali pia.
Mahakama ionyeshe ukomavu kwa kuisadia nchi yetu kuwa na haki na demokrasia ya kweli.
Hakika CCM ama Chadema wasiitumie mahakama kwa matakwa na manufaa yao wenyewe bali iwe ni kwa manufaa ya wananchi wa Tanzania.
Hata paka ukimfungia ndani ya chumba ukataka kummaliza hakika atageuka kuwa chui. Watanzania ni wapole sana lakini pale wanapokosa pa kutokea wanaweza wakawa wabaya sana kuliko jinsi dunia ilivyokwisha kuwahi kushuhudia. Ogopa mtu aliyekata tamaa!!!!
 
ccm hata wafanyeje wananuka sana kama ndimbwi lililolowekwa katani (mkonge) sitegemei hata kama watafanya hivyo watapona na hukumu inayowafuata kwa wananchi nje ya kuongeza hasira na gadhabu kwa wananchi
 
- Weee mtoto tambaa tu kama hukuchubuka magoti, sasa bila kutambaa nani angeweza kutembea Duniani? I mean Great Thinker mbona unaongea fear? Unaniogopa na wewe? Daaamn!

Willie @DSM city!

Willy, vipi tena hilo neno la mwisho mkuu? Umesahau lugha ndiyo inayokufanya tukuchukulie ni mtu wa aina gani? Kama bado una nia ya kuwa mwanasiasa mzuri hebu acha lugha zenu za mtera! Mambo ya 'daamn' tena? Biblia inasema, '....na uchunge ulimi wako usinene maneno ya mizaha na matusi...'.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom