Tulilalamika utabiri wa hukumu ya Godbless Lema na kudai ilikuwa na mkono wa CCM na serikali je utabiri huu kabla ya hukumu kama kweli atashindwa Mahanga itakuwa ni mkono wa nani?
Kwa jibu la harakaharaka utakuwa ni mkono wa chadema.
Tuache mahakama zifanye kazi yake kisha tutoe maoni yetu baada ya hukumu
njoo Mawenzi Garden ure bia!
Kesi ya Segerea wala haiitaji hata Jaji kuiamuwa iko open & clear na kwa hakika Makongoro mwenyewe analifahamu hili dhahiri shayiri na anakijuwa alichokifanya kwenye uchaguzi ule.Acheni kuingilia uhuru wa mahakama. Kama Mahanga atashindwa kweli basi mahakama itakuwa imeshawishiwa na Mahanga atakuwa na haki ya kukata rufaa!
Kesi ya Segerea wala haiitaji hata Jaji kuiamuwa iko open & clear na kwa hakika Makongoro mwenyewe analifahamu hili dhahiri shayiri na anakijuwa alichokifanya kwenye uchaguzi ule.
Na kinachonikera zaidi baada ya Makongoro kugunduwa kwamba ameshaanguka Ubunge alichofanya ni ku sabotage matokeo ya kata zote alizoona kwamba alizidiwa sana na Mpendazoe, na madhara yake akaathiri mpaka matokeo ya udiwani kwamba hata wale madiwani wa CHADEMA walioshinda kwenye zile kata hawakutangazwa na matokeo yakaenda kubandikwa Anatouglo eti ni madiwani CCM ndio walishinda!! kwa sababu ya mpumbavu mmoja tu huyu Makongoro.
Nitamchukia milele Makongoro kwa kosa hili alilotufanyia kwa sababu ya uroho wake wa madaraka
- Ndio tofauti yetu hapa, mimi naongea nikiwa Segerea shambani kwangu, wewe unaonegelea nje ya jimbo na kujifanya unalijua sana jimbo kuliko mimi mkazi wake!
- Chairman Mao alisema: NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK!
Willie @DSM City!
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!
William @DSM City!
W J M
Kunywa whisky upunguze unene na kuhema hovyo.
kaka william jaribu kufikiria na CDM kidogo, mzee wako hawampendi akina JK na EL na vibaraka wao...labda umsaliti mzee huende kwa Ridh ubusu pete (mithili ya mafia) na kupledge allegiance nae, au chagua upande wa EL nenda Monduli busu mkono wa EL sema yeye ni mfano wa kuigwa na uko tayari kuongeza namba kwenye kambi yake na unaamini urais uko kwake tu hapo utapewa na $200,000 za kampeni na utashinda, bila hivyo hamna kitu wanakata tu jina, muulize mtoto wa Warrioba 2010 kule kawe. Ukweli ni hawataki tena hawa wazee wa chama chetu waendelee kuenziwa na vizazi vipya, inatishia nguvu zao na mpango wao wa kukibinafshisha chama kua mali yao binafsi. funguka kaka kama unachukulia mfano wa Makongoro 95" kuhamia NCCR na baadae akarudi CCM, huo ni mfano mbaya, Makongoro wa 95 alikua siyo huyu wa leo, na mwaka 95 upinzani haukua hivi..fikiria kaka
una uchu wa madaraka sana upo tayari kufanya lolote ili uwe mbunge na may be waziri! Juzijuzi umeshindwa kwenye ubunge wa EALA hujakaa na kujitafakari kilichosababisha wabunge na wana ccm wenzio wakakunyima kura sasa unaanza kutamani jimbo ambalo kesi ipo mahakamani na maamuzi bado!Umenishtua sana na conclusion remark yako kuwa ina sound interesting kama jimbo linakaliwa na chama chako litakuwa open! watu wanaokimbilia madaraka wa aina yako waogopwe kama ukoma -nyerere !!- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!
William @DSM City!
...dah! huyu mbwiga tena?...- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!
William @DSM City!
- Matola with all due respect can we talk plan B, badala ya hukumu ya sheria inayosubiriwa, I mean je CCM inakubalika Segera jimbo letu au? Kama haikubaliki what needs to be done? Kama inakubalika what needs to be done!
- Otherwise, heshima mbele sana! and OFF TO UDSM kutoa shukrani kwa my great supporters there!
Later watu!
Willie @DSM City
Kaka Bado tu hujakoma! Magamba wenzio kwanza hawakutaki. Ukija huku CDM pia hawawataki Wanafiki. Shetani hakutaki, Mungu kakukataa, sijui utakwenda wapi? Mbona kazi zipo nyingi, kwani lazima uwe mwanasiasa!
W J M
Kunywa whisky upunguze unene na kuhema hovyo.
una uchu wa madaraka sana upo tayari kufanya lolote ili uwe mbunge na may be waziri! Juzijuzi umeshindwa kwenye ubunge wa EALA hujakaa na kujitafakari kilichosababisha wabunge na wana ccm wenzio wakakunyima kura sasa unaanza kutamani jimbo ambalo kesi ipo mahakamani na maamuzi bado!Umenishtua sana na conclusion remark yako kuwa ina sound interesting kama jimbo linakaliwa na chama chako litakuwa open! watu wanaokimbilia madaraka wa aina yako waogopwe kama ukoma -nyerere !!