Elections 2015 Jimbo La Bukoba mjini mmefanya makosa makubwa kumuondoa Sued Kagasheki

Sina Uhakika Kama Kayafanya Yote Uliyoorodhesha Hapo Juu, Lakin Nina Uhakika Kuwa Ambulance Hakuichukua Watu Ni Wahongo Hadi Sasa Ipo, Na Sishangai Watu Kusema Kaichukua Huku Hawana Evidence Hiyo Ni Kwasababu Binadamu Ni Wanafiki,
 
Sikuwahi kuwa hapa tangu awali mada hii ilipoletwa humu, ila usiku huu wa manane nimepata bahati ya kupitia mijadala yote.

Nimefrahishwa na kiu ambayo wakazi na wasio wakazi wa jimbo la bukoba wanayo juu ya maendeleo ya jimbo letu.

Yote maoni ni mazuri japo tofauti zetu ni kutokana na itkadi zetu, mitizamo yetu na imani zetu.

Ndugu zangu nichukue fursa hii kuwakumbusha kuwa KATIBA ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeainisha wazi majukumu ya wawakilishi tunaowachagua lakini pia majukumu na wajibu wa raia mmoja mmoja.

Niwakumbushe tena kwamba kupiga kwetu kura ni kuwachagua watu wachache kwa niaba yetu ambao tutapanga nao, kwa kushauriana nao na kuweka msukumo wa pamoja ili kuhakikisha tunawabana watoza ushuru waweze kuturejeshea huduma stahiki za kijamii kulingana na uhitaji wetu.

Hivyo kumbe sio vyema kupiga kura na kurudi nyuma tukabaki kama watizamaji wa mchezo majukwaani, la hasha kumbe tuna wajibu wa kuhoji, kushauri, kupinga, na kuhimiza ili mambo muhimu yatekelezeke kwa wakati na kwa ufanisi.

Hatuwezi kubaki kuwa tegemezi kwa mtu mmoja tena kwa kutumia akili yake peke yake kuwasilisha vitu vya akili yake bila kumsaidia na kuweka msukumo wa utekelezaji.

Huu sasa nafikili ni wakati ambao tunatakiwa tubadilike tuache kuwaza kwa matumbo na tuzipe nafasi bongo zetu zifanye kazi, tuache kuwa wakinga mikono kama ombaomba bali tutimize wajibu wetu kikamilifu ili tupate haki zetu stahiki.

Nichukue fursa hii kuwaalika ninyi nyote wakazi na msio wakazi, wadau wa maendeleo, bila kujali itkadi za vyama vyetu vya siasa katika jukwaa maalumu la TUSHIRIKISHANE JIMBO LA BUKOBA MJINI linalopatikana humu Jamii Forum. Mtapata fursa ya kuwahoji, kuwashauri, kutoa maoni na kero zote ndani ya Jimbo la Bukoba m, viongozi wetu tuliowachagua na kuwapa dhamana, Mh. Mbunge na madiwani wote, kwa uwazi kabisa.

Yaliyopita si ndwele, tungange yaliyopo ila kwa aproach na style rasmi inayokubalika kwa mjibu wa KATIBA ya nchi yetu. Ni imani yetu tukiweka itkadi za vyama vyetu vya siasa pembeni na tukaamua kushirikiana tunaweza kusaidia Jimbo letu na nchi yetu kukua kumaendeleo kwa kasi kubwa sana.

Karibuni sana na kila la kheli katika kutimiza majukumu yetu kwa matakwa ya Mnyazi Mungu Muumba wetu.
 
'WE USUALLY DONT VALUE WHAT WE HAVE UNTIL WE LOSE THEM' Majuto Mjukuu
 
'WE USUALLY DONT VALUE WHAT WE HAVE UNTIL WE LOSE THEM' Majuto Mjukuu
Kizuri ni kwamba kuna mengi sana aliyafanya ambayo yako nje ya majukumu rasmi ya mbunge kwa mjibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hivyo haihitaji ubunge ili aendelee nayo. Anaweza kuendelea hata kama sio mbunge.
 
Aliyeandika huu uzi ni Mpumbavu kama ifuatavyo :
1. AMEZOEA MAISHA YA UTUMWA
2. MNAFIKI ASIYEKUWA NA HOJA
3. SYO MWANA BUKOBA NA ANA ELIMU NDOGO KUHUSU JIMBO LA BK. MJIN
 
Aliyeandika huu uzi ni ******** kama ifuatavyo :
1. AMEZOEA MAISHA YA UTUMWA
2. MNAFIKI ASIYEKUWA NA HOJA
3. SYO MWANA BUKOBA NA ANA ELIMU NDOGO KUHUSU JIMBO LA BK. MJIN
Inawezekana uko sahihi sana tu ila hujaeleza huyo wa sasa amefanya nini hadi sasa ili nasi tuweze kuweka mizania sawa
 

Wewe ata sasa uko bukoba afu unasema haujarudi ten years...!!! au majina ya JF ndo yanakufanya hutuaminishe hauko BK....wabeiya iwe mhyoza
 
Aliyeandika huu uzi ni ******** kama ifuatavyo :
1. AMEZOEA MAISHA YA UTUMWA
2. MNAFIKI ASIYEKUWA NA HOJA
3. SYO MWANA BUKOBA NA ANA ELIMU NDOGO KUHUSU JIMBO LA BK. MJIN
Kaka mi ni mkazi wa Bukoba kibeta though now sikai uko Tanzania , lakin ni wajibu Wangu kuhoji,
Ukizingatia Bukoba tokea enzi za lihangisa, mujuni kataraiya, lwakatare , Kagasheki, lwakatare tena , nafuatilia kila kitu kinachofanyika,
 
Kizuri ni kwamba kuna mengi sana aliyafanya ambayo yako nje ya majukumu rasmi ya mbunge kwa mjibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hivyo haihitaji ubunge ili aendelee nayo. Anaweza kuendelea hata kama sio mbunge.
Nanyi mntunzaje???? mbona wengine hawafanyi hivyo????? sisi waswahili tumerithi misemo mingi tuu na mmoja wapo ni 'AKATAE PAZURI PABAYA PANAMNGOJEA NA MAJUTO NI MJUKUU'
 
kilichomgharimu kagasheki ni kujenga makundi ndani ya chama ambayo yalikuja kumharibia wakati wa uchaguzi mfano kati yake na Dk.Amani.
 
Huyo lwakatare alishakuwa mbunge hapo hakufanya lolote watajuta hii dhana ya mabadiliko imetafsiriwa vibaya
Mapunga kama nyie natamani niwapasuepasue....unakubali umwinyi eti kisa MTU kakupa unga wa ugali....ndo nyie mliotufikisha hapa waafrika ..kama ww ni mwanaume utakuwa na mapungufu makubwa mno....hufai kuwa ktk jinsia ya kiume maana mtazamo kama wako ni wa kikekike
CCM aka Lambalamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…