Jikoni leo na Zero IQ

Sasa mkuu huwa unapata wapi nguvu za kuwa*mba wale mademu wa JF kama huwa unakula sembe?[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Aiseeeeeeee hiyo ilikuwa zamani kwa Usawa huu uchafue meza hivyo
 
Zero iq na atoto leo lazima kinuke

Hili toto litachukua miaka milion kupata mzee kama mimi

Msiniulize majani ya chai ya nini kwani wali ukiweka majani haiwi pilau ngoja nitest [emoji39][emoji41]
 
Zero iq na atoto leo lazima kinuke

Hili toto litachukua miaka milion kupata mzee kama mimi

Msiniulize majani ya chai ya nini kwani wali ukiweka majani haiwi pilau ngoja nitest [emoji39][emoji41]View attachment 1170586
Naona unataka kunitoa Ngeu sitoboi aiseeeeee. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…