Vipi mzee baba msosi tayari mbona hakuna updateZero iq na atoto leo lazima kinuke
Hili toto litachukua miaka milion kupata mzee kama mimi
Msiniulize majani ya chai ya nini kwani wali ukiweka majani haiwi pilau ngoja nitestView attachment 1170586
Zero iq na atoto leo lazima kinuke
Hili toto litachukua miaka milion kupata mzee kama mimi
Msiniulize majani ya chai ya nini kwani wali ukiweka majani haiwi pilau ngoja nitestView attachment 1170586







Unamsingizia mtoto, kula ule wewe lawama abebe SwaleheTeh ....
Linakula hili li swalehe hatari sana
Thubutuuu! Uache pombe ukufeHahaha acha kabisa nipo njema sana sekta hiyo...
Hata hvyo nimeacha pombe![]()




Nimesubiri weee kukaribishwa lakini holaaaSi unaona mambo hayo kitu kitatoka mda si mrefuView attachment 1170616

Hahahahaa umenichekesha we mdadaUnamsingizia mtoto, kula ule wewe lawama abebe Swalehe
Kazira kula
Vipi pilau lishaiva?
Mambo yalikua yante yante arifu bila kusahau bulubandiVipi mzee baba msosi tayari mbona hakuna update
Mzee baba bila ata karibuMambo yalikua yante yante arifu bila kusahau bulubandi
Tushaosha vyombo.babulai View attachment 1170742




Viti vitamu unakula mwenyewe tuMzee baba bila ata karibuViti vitamu unakula mwenyewe tu
Ungenistua mie nije kula, kashiba huyo.Kazira kula
Mambo yalikua yante yante arifu bila kusahau bulubandi
Tushaosha vyombo.babulai View attachment 1170742






Unamkomaza mtoto.Mzee huwa tunaenda ligi usipocheki dogo anakupiga kete mi huwa simwangalii usoni
Huu mchezo nliuanzisha ili nmhamasishe kula maana alikua hali kabisa na hivi mama yake katukimbia ndo kabisa ila nlvyoanzisha huu mchezo hahaha dogo anacheza faulo kinoma yaani unaweza jikuta unalamba tu mikono sema ndo hivyo ndo upendo wa baba wenyewe
Samaki kaiva sana akarojeka nikapoteza mzuka hata wakukukaribishaNimesubiri weee kukaribishwa lakini holaaa![]()



Namkomaza nini mkuuUnamkomaza mtoto.