Hiyo ni tishuWhy umekatia vitunguu kwenye karatasi? Au ndio hutaki kuosha vyombo vingi?![]()
Safisha meza kwanza.
Meza ya kitchen hiyoSafisha meza kwanza.
Siku nyingine nitawahiUmechelewa kidogo tu ungefinya na wewe

Yes, inasafishwa kwanza ndio unakula jamani.Meza ya kitchen hiyo
Hapna hapo ni jikoniYes, inasafishwa kwanza ndio unakula jamani.
Kwamba mimi sijui kupika? Ipo siku nitakuspoil na misosi wewe utarudi kwenye hii post kuniomba radhi@Khantwe


Atakuwa wanakula mahindi na mabunzi yake.Wewe wa mkoani unakula nini mkuu?
TunaWelcome siku nyingine jikoni kabisa ukimaliza kupika na kula msosi kinachofatia na kumla nani................!![]()



