Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,825
Mzee baba..unakula sembe??
Mzee baba..unakula sembe??
😂 😂 😂 😂kupigia simu mchakata chips alete na vipapatio
Hahaha
Kwani haiwezekani??
Watu wanazidi kuwa wabunifu kila leo
Kinavutia sana.. hongera mpishi
Yes ni karatasi.Hiyo ni tishu
Angalia vizuri
Tishu bhanaYes ni karatasi.
😂😂😂😂Tishu bhana
Ongera sana mkuu Toa Kitu makini kabisaAchana na wanaume wa mkoani wanaojifanya wagumu kushindia Dona na Mahindi ya kuchoma



itabidi uweke uzi wa mapishi ya wanaume jf...huko wanaume tutakua tunafundishana mawili matatu hadi tuoe