Jiko lina wiki tu ndio limekuwa hivi

Majiko ya vioo yapo Kwa ajili ya show off Tu

Nunua la bati ninalo la nikai ,, Nadunda nalo fresh kbsa

Nikai wanajitaidi sna
 
image-2022-01-24-13:36:08-641.jpg

image-2022-01-24-13:36:24-551.jpg

image-2022-01-24-13:36:50-193.jpg

Leo yamenikuta. Ni asubuhi hata jiko halijawashwa nipo napiga Story nikasikia mlipuko ndani kuja kucheck hali ni hiyo
 
Back
Top Bottom