Dadi Barnea
JF-Expert Member
- Nov 30, 2024
- 654
- 1,305
Hebu tutafakari kwa pamoja Wakuu,
Vigezo gani vilitumika na CAF kuichagua Tanzania kuwa mwenyeji wa AFCON 2027? HIYO NI KESHO TU ETI
Kwanza, Kenya na Uganda wamekwishamaliza ujenzi wa viwanja vitakavyotumika kwa fainali hizo, Tanzania bado nywinywinywi hakuna kitu
Dar es Salaam ambayo ndiyo taswira ya nchi hakuna maji, hakuna barabara, vurugu za bodaboda na bajaji katikati ya mji, parking za bodaboda na bajaji hadi mbele ya mahotel makubwa ambako ndiyo timu zitaishi, beach zote ni chafu kupindukia, majengo katikati ya mji yamechakaa na machafu kupindukia, uchafu kila mahali🚮🚮
Rais wa nchi kajifungia Tunguu Zanzibar, na kufikia wakati huo bila shaka atakuwa kifungoni The Hague
Waziri Mkuu lopolopo🚮🚮
Waziri wa Habari na Michezo ni zero brain hawezi kusema hata sentensi moja kwa Kiingereza. Asilimia 99 pia ya Wakaazi wa mji huu hawawezi kuwasiliana kwa Kiingereza ama lugha nyingine yoyote kubwa ya Kimataifa kama Kifaransa
Sasa Uenyeji wa Tanzania wa Mashindano ya AFCON utakuwaje? Tulikuwa na sifa kweli kuandaa mashindano hayo au kijani walihonga??
Nachoka mimi