Jiji limekuwa safi kabisa

Jiji limekuwa safi kabisa

🔹 Usije ukafutahia jambo kama hilo Lina madhara makubwa Sana kijamii na kiuchumi

🔹 Kuna Mmoja wa ndugu zako lazima atakuwepo ambaye alishajitoa kwenye utegemezi Sasa anakuwa tatizo tena

🔹 Nchi kama India zimeendelea kuliko sisi lakini wajasiriamali wanapanga bidhaa mpaka relini treni ikija wanatoa ikipita wanaendelea. Nchi haiendelei kwa direct tax za MATAJIRI Bali indirect tax za wananchi wote

🔸 Kuna muda tutafika vipaumbele vya nchi vitakuwa kupangilia miji lakini Sasa tunajitafuta kujilinganisha na New York tunajidanganya

▪️ Kuna vijana walishascha wizi Sasa walikuwa wanajitafutia 5000 kwa siku Sasa unafurahia wskirudia kazi zao ukikutana nao wakikutoa roho na huo usafi unaofurahia itatusaidia nini?
Wafuate taratibu zilizowekwa haiwezekani mtu afanyie biashara kwenye mfereji wa maji halipi kodi miaka 10 na serikali imejenga masoko ya nini??
Wengine wanatumiwa na matajiri wakubwa kufanya biashara ili kukwepa kulipa kodi
 
TAtizo wakati wa kampeni na vile hamkubali mtatoa rushwa ya maeneo hayo hayo kwa vijana wapange meza zao na mkishafanikiwa mnawatosa tena
Sheria za barabaeani zinatambulika watu wamevamia maeneo ambayo hayaruhusiwi kufanya biashara hasa pembezoni mwa barabara kuu lkn watu wanapuuzia hilo na wanasababisha kuwe na msongamano mkubwa au foleni lkn sasahivi nikuteleza tu hakuna msongamano tena
 
Pale zakhiem wanavunjaga hivyo hivyo baada ya muda wanajenga tena haipiti hata miezi miwili.

Gongolamboto bado pachafuu panatia kinyaa, Mbezi naona wanajenga masoko ya mfano hongera kwao.

Manzese pale wanatakiwa wawachomee moto biashara zao ili paeleweke, Kawe nimepafurahia kuna ustaarabu sasa na hewa inapumulika, Tegeta wale naona hawajitambui
Serikali iwatengee maeneo yao ya wazi hao watu sio along dey Road watu wafahamu kwamba nikienda sehemu fulani kule nakuta machinga na wafanyabiashara wadogo sio kiholela watu wanajiamulia tu wanavunja sheria za barabara
 
Bob, Soko la magomeni walijua? La kisutu? Yani watu wanapanga vitu njiani soko lipo mgongoni kwao 😁

Alafu wakiulizwa kwanini wanasema wateja hawataki kupanda ngazi yani sisi wengi tunaumwa migongo na miguu

Hata daraja la kimara, manzese, mbagala, mbezi n.k hatutaki kupanda juu tunataka tukatishe barabarani
 
Hio sio sababu hao nikuwalazimisha kama hawataki wasifanye biashara wale jeuri yao wanakwepa kulipa kodi
 
Hii operation haijawahi kufanikiwa na haitaka ifanikiwe. Hii ni strugle for existence. Kila mtu anajipeleka pale riziki inapopatikana. Attempt kubwa ziliwahi kufanyika zikatumika rasilimali kubwa za nchi kama kujenga machinga complex lakini baada ya muda Hali inarudi pale pale. FEDHA zimetumika nyingi lakini watu wamerudi wote lazima TUKUBALIANE na hali
KWahiyo turuhusu hata ikulu machinga waingie kupanga na kuuza biashara zao.

Hatuwezi kuishi bila utaratibu maeneo yao yapo walazimishwe kwenda hawataki waondoke sio kuharibu miji kwa biashara holela.
 
Tunakoelekea CCM watakuja na sheria ya kuzuia kuzaana kwa kasi. Kama watu waliowathamini kama wapigakura wao na leo wanawageuka na kuthamini usafi ambao mwanzoni waliufumbia macho basi wana njia mbadala ya kubaki madarakani bila kuhitaji wananchi kutoka baadhi ya makundi.
 
Serikali iwatengee maeneo yao ya wazi hao watu sio along dey Road watu wafahamu kwamba nikienda sehemu fulani kule nakuta machinga na wafanyabiashara wadogo sio kiholela watu wanajiamulia tu wanavunja sheria za barabara
Hao ni watanzania hizo sehemu wanaziheshimu wanatafuta sehemu yenye msongamano wa wateja. Huwezi kusema unapanga miji wakati majemgo ya zamani ,miundombinu bado haijakaa sawa. Waache watu wapige kazi pale kwenye fursa wewe kusanya indirect tax hayo yatajileta yenyewe. Hivi unajua vijijini ni kitu gani kimefuta zile nyumba za tembe na makuti? Ni Hawa Hawa wamachinga wakishapata hela wanabadilisha sura ya nchi hivyo akipanda daraja anahamia kwenye wafanyabiashara wakubwa. Hii vita haijawahi kufanikiwa ni ya siku nyingi
 
Serikali inajenga masoko kila siku afu watu wanapanga biashara nje maana yake nini sasa
 
🔹 Usije ukafutahia jambo kama hilo Lina madhara makubwa Sana kijamii na kiuchumi

🔹 Kuna Mmoja wa ndugu zako lazima atakuwepo ambaye alishajitoa kwenye utegemezi Sasa anakuwa tatizo tena

🔹 Nchi kama India zimeendelea kuliko sisi lakini wajasiriamali wanapanga bidhaa mpaka relini treni ikija wanatoa ikipita wanaendelea. Nchi haiendelei kwa direct tax za MATAJIRI Bali indirect tax za wananchi wote

🔸 Kuna muda tutafika vipaumbele vya nchi vitakuwa kupangilia miji lakini Sasa tunajitafuta kujilinganisha na New York tunajidanganya

▪️ Kuna vijana walishascha wizi Sasa walikuwa wanajitafutia 5000 kwa siku Sasa unafurahia wskirudia kazi zao ukikutana nao wakikutoa roho na huo usafi unaofurahia itatusaidia nini?
Wewe acha kutetea ujinga
Warudi huko vijijini wakalime
Kwani maisha ni uchuuzi tu tena huu usiona na mpangilio wa kuchafua miji
Hawana faida yoyote kiuchumi, wanaitia serikali hasara kusafisha na kurekibisha miji kila siku, wanakunya hovyo, wanatupa uchafu kila sehemu, maendeleo gani haya ?
Wakafie mbele
 
Huu ni uonevu...

Mafisadi yanaharibu nchi...ila hawa wanaojitafutia riziki zao halali mnawabugudhi..

Kuonyeshana ubabe wa kijinga..
 
Wewe acha kutetea ujinga
Warudi huko vijijini wakalime
Kwani maisha ni uchuuzi tu tena huu usiona na mpangilio wa kuchafua miji
Hawana faida yoyote kiuchumi, wanaitia serikali hasara kusafisha na kurekibisha miji kila siku, wanakunya hovyo, wanatupa uchafu kila sehemu, maendeleo gani haya ?
Wakafie mbele
Afcon ikiisha,uchaguzi ukikaribia watarudi tu
Labda wawatafutie suluhisho la kudumu

Ova
 
Kumbe hawa watu ndio wanatuchafulia mazingira leo nimepata muda wa kuzunguka hili jiji asee mazingira yamekuwa safi sana tulivu kabisa ukipita maeneo kama stendi masokoni hali ni shwari kabisa
Wewe mdau hapo jijini kwako hali ikoje?
Maafisa utelezi wanachafua Jiji
 
Afcon ikiisha,uchaguzi ukikaribia watarudi tu
Labda wawatafutie suluhisho la kudumu

Ova
Wewe mkuu ni wa Dar tokea enzi
Hebu kumbuka miaka ya 90, tuikuwa tunaingia na gari mpaka Kariakoo sokoni mbele kulikuwa na paki za magari
Msimbazi ilikuwa inapitika vizuri tu mpaka Shule ya Uhuru
Samora ilikuwa safi na parking nyingi tu na zile mita za kuegesha
Leo hawa watu wametokea wapi wanaotandaza bidhaa barabarani mpaka mbele nyumba za watu

Halafu nimegundua hawa wakuja wanawaogopa wahindi sababu Upanda na mitaa ya mjini ya uhindini katikati kweupe tu hawaendi huko
 
Back
Top Bottom