Jiji limekuwa safi kabisa

Jiji limekuwa safi kabisa

Wewe acha kutetea ujinga
Warudi huko vijijini wakalime
Kwani maisha ni uchuuzi tu tena huu usiona na mpangilio wa kuchafua miji
Hawana faida yoyote kiuchumi, wanaitia serikali hasara kusafisha na kurekibisha miji kila siku, wanakunya hovyo, wanatupa uchafu kila sehemu, maendeleo gani haya ?
Wakafie mbele
Miji unarekebisha wakati majengo msbovu ya zamani, mipango miji ya kienyeji unataka ujilinganishe na London au Dubai. Twende sambamba na tunaolingana nao. India wanapaa kiuchumi kwa kuwa na mchanganyiko wa wajasiriamali Kila sehemu. Sasa sisi tunataka miji ibaki wazi . Hata hao wafanyabiashara wakubwa wataathirika
 
Asee nitatetea vyote ila sio uchafu.
 
Kumbe hawa watu ndio wanatuchafulia mazingira leo nimepata muda wa kuzunguka hili jiji asee mazingira yamekuwa safi sana tulivu kabisa ukipita maeneo kama stendi masokoni hali ni shwari kabisa
Wewe mdau hapo jijini kwako hali ikoje?
Mimi nipo Kijijini
 
Back
Top Bottom