El Mincho
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 2,128
- 4,784
Chris Lupembe kaacha pombe?? Halafu kulikua na yule kaka yake Alex lupembe alikuaga chapombe toka anasoma Makumira 🤣 🤣 🤣 🤣Umesahau kwa lupembe,kuna mona lpmb mtoto yule pombe sanaaaa
Ova
Kumbe huyo marehemu aliharibikia Italy, Allah amsamehe madhambi yake.RIP