Jiji la moto hilii

Jiji la moto hilii

Daah haki ya mungu mabinti vigori mmelegea sana

Mmeshindwa na hiki ki bibi aisee kimeweka ndani buzi 2 za nguvu halafu we unalia lia hakuna waume
 
Nimewaona kwenye mazishi front kabisa Tom Kisusi, chris Lupembe na Ben Kinyaiya, basi tu machale yakaanza kunicheza ukizingatia huyo anaesemwa mtoto wa marehemu hakupewa kipaumbele kabisa nikiunganisha doti na huyo mzee wa kimarekani mzungu basi kichwa kinazunguka hatariii. Mji huu wa Daslama una mambo mazito sana.
 
umewaza nn sasa nawee?? Khaaah
 
Heee ni baba mtoto??? mbona kwenye mazishi tulioyaona huku live huyo mtoto hajatajwa?? Kuna fumbo kubwa hapa. Ila nimewaona baadhi ya watoto wa mjini kwenye msiba nikapiga hesabu zangu 1+1= 2.
Walisema alimuasili sio biological
Naona hata kwenye mazishi wazee wamekataa wamesema hyo habari hawana
 
Nimewaona kwenye mazishi front kabisa Tom Kisusi, chris Lupembe na Ben Kinyaiya, basi tu machale yakaanza kunicheza ukizingatia huyo anaesemwa mtoto wa marehemu hakupewa kipaumbele kabisa nikiunganisha doti na huyo mzee wa kimarekani mzungu basi kichwa kinazunguka hatariii. Mji huu wa Daslama una mambo mazito sana.
Kwani wakoje mkuu??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom