Jiji la Mbeya: Mfupa Mgumu kwa Makonda na CCM

Tumeona ziara ya Comrade Makonda MNEC na mwenezi wa CCM Taifa maeneo mengi ya nchi.

Hata tuliokuwa tuna muona Makonda kama muhalifu (mwenye kudhulumu haki ya kuishi) sasa tuna muona shujaa.

Ukiachana na kuwa watu wengi wana angalia vi clip ambapo vinaonesha jinsi anavyo tatua migogoro kwa ufanisi papo kwa papo, lakini ukifuatilia mikutano yake uta baini ajenda zake hizi pia.

1.Na yeye ni chawa wa mama, ana jitafutia nafasi ya juu zaidi. Anajikomba komba. Ila anawasema wenzake.

2. Ana jijenga yeye, muda wote ana jisifia yeye.. Kauli zake ni kama Makonda kaletwa na Mungu. bila makonda msingejua haya, walifanya makosa kunipa Uenezi, Watu wana taka kuniua, Watumishi wazembe wakisikia Makonda wana tetemeka.
Jamaa ni so grandiose

3. Anacheza ngoma ya wapinzani, kuwavuta kwenye mijadala yake, hasa Tundu Lisu. nawapongeza walivyo mpuuza. Muda mwingi ana tumia kuwapiga Vijembe.

4. Makonda ni yule yule, mwenye uadui na visasi. Mara zote analaumu kuwa ilikuwa ale shavu muda mrefu, ila kila jina lake likipelekwa kwa mama kuna watu wana fungua kesi kuwa eti kadhulumu nyumba (nadhani anamsema boss wa Yanga). "Nmekaa miaka mitatu nje ya mfumo, walikuwa na nafasi ya kunimaliza, sasa hawaniwezi"

TURUDI KWENYE MFUPA MGUMU JIJINI MBEYA
Kulikuwa na mambo kadhaa

Kwa sasa Jijini Mbeya kuna malalamiko ya kificho na bayana kuhusu utendaji Mbovu wa dada Spika. Miaka yake hana cha kujivunia zaidi ya matamasha na jogging.

Kwa kipindi chake cha miaka minne sijui ana jivunia nini, mi natamani nije nimsikilize. anasemaje?

Mitaani hata wale chawa wake maarufu wame ishiwa hoja. wana shindwa kumpamba tena.

Jiji la Mbeya lina asili ya kuongozwa na wapinzani kwa miaka mingi. huenda hii ilipelekea kutopewa kipaumbele. Daladala za kule zilikuwa zina itwa Mzunguko kwa maana ikianza stand kuu ni kuzunguka tu mpka igawilo, hakuna barabara za rami za mitaani tofauti na hizo barabara kuu (Moja ya kwenda dar, nyingine Malawi)

Alipoingia Sugu nadhani alikutana na Upepo wa Bank ya Dunia kujenga barabara za mitaani. kilometers nyingi Zika tandazwa akajipatia sifa.

Wakati wa shujaa mwenda zake, jiji likatengwa likawa ukiwa, hakukuwa na miradi mikubwa.. na mwenda zake akiwa uyole mahali ambapo alizomewa na kulazimishwa kuimba "mabadilikooo Lowasaaaa...." kipindi cha kampeni.

Sasa kawa Rais akawachana "Mlikosea na mnajua mlipo kosea, Mwaka 2020 msifanye tena makosa" Kwa hiyo hata kampeni za dada zika jikita hapo, Mbeya jini hamna Connection ndiyo maana hampewi maendeleo ikawa ni kuwa atakapo chaguliwa jiji lita pendeza tena, zita jengwa barabara nne (Hii ni plan ya kitambo sana, ila kwa kuwa wabongo wengi tuna utapia mlo wa kufikiri tuna ona kama ni kweli dada spika anaweza akajenga barabara nne kwa amri yake), pia waka aminisha watu kuwa mitaani barabara zitajengwa. Jiji litakuwa Evergreen

Intelligence ya CCM nadhani walijua kuwa Mbeya pagumu, Alipo fika makonda akabadilisha mtindo badala ya kusoma mabango, eti yeye ndiyo akawa ana msismamisha mtu na kuanza kumnaga.. akaamua kumtoa kafara meneja wa TARURA Mkoa.. ajieleze kwa nini barabara hazijengwi. " HILO SWALI ALIPASWA KUULIZWA MBUNGE, kwa sababu ndiye aliye ahidi.

Pamoja na promo kuubwa walio ifanya, bado hakukuwa na watu wengi. Wapinzani wakija kufanya maandamano yao pale wata pata watu wengi zaidi.

Amepita Mbeya bila kutatatua wala kuelezea Mambo magumu.. alikuwa na cheap Politics.

Ni Wakat wa CCM mbeya kuji tafakari na kuchukua Hatua kama wana nia ya kuendelea kuliongoza. Kama Sugu atakuwa makini na uchaguzi ukawa siyo uchafuzi, Jimbo lipo wazi.

Mbeya ni mfupa Mgumu.
Na yeye ni chawa wa mama, ana jitafutia nafasi ya juu zaidi. Anajikomba komba. Ila anawasema wenzake.

2. Ana jijenga yeye, muda wote ana jisifia yeye.. Kauli zake ni kama Makonda kaletwa na Mungu. bila makonda msingejua haya, walifanya makosa kunipa Uenezi, Watu wana taka kuniua, Watumishi wazembe wakisikia Makonda wana tetemeka.
Jamaa ni so grandiose

Sent using Jamii Forums mobile app
 
. Makonda ni yule yule, mwenye uadui na visasi. Mara zote analaumu kuwa ilikuwa ale shavu muda mrefu, ila kila jina lake likipelekwa kwa mama kuna watu wana fungua kesi kuwa eti kadhulumu nyumba (nadhani anamsema boss wa Yanga). "Nmekaa miaka mitatu nje ya mfumo, walikuwa na nafasi ya kunimaliza, sasa hawaniwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumeona ziara ya Comrade Makonda MNEC na mwenezi wa CCM Taifa maeneo mengi ya nchi.

Hata tuliokuwa tuna muona Makonda kama muhalifu (mwenye kudhulumu haki ya kuishi) sasa tuna muona shujaa.

Ukiachana na kuwa watu wengi wana angalia vi clip ambapo vinaonesha jinsi anavyo tatua migogoro kwa ufanisi papo kwa papo, lakini ukifuatilia mikutano yake uta baini ajenda zake hizi pia.

1.Na yeye ni chawa wa mama, ana jitafutia nafasi ya juu zaidi. Anajikomba komba. Ila anawasema wenzake.

2. Ana jijenga yeye, muda wote ana jisifia yeye.. Kauli zake ni kama Makonda kaletwa na Mungu. bila makonda msingejua haya, walifanya makosa kunipa Uenezi, Watu wana taka kuniua, Watumishi wazembe wakisikia Makonda wana tetemeka.
Jamaa ni so grandiose

3. Anacheza ngoma ya wapinzani, kuwavuta kwenye mijadala yake, hasa Tundu Lisu. nawapongeza walivyo mpuuza. Muda mwingi ana tumia kuwapiga Vijembe.

4. Makonda ni yule yule, mwenye uadui na visasi. Mara zote analaumu kuwa ilikuwa ale shavu muda mrefu, ila kila jina lake likipelekwa kwa mama kuna watu wana fungua kesi kuwa eti kadhulumu nyumba (nadhani anamsema boss wa Yanga). "Nmekaa miaka mitatu nje ya mfumo, walikuwa na nafasi ya kunimaliza, sasa hawaniwezi"

TURUDI KWENYE MFUPA MGUMU JIJINI MBEYA
Kulikuwa na mambo kadhaa

Kwa sasa Jijini Mbeya kuna malalamiko ya kificho na bayana kuhusu utendaji Mbovu wa dada Spika. Miaka yake hana cha kujivunia zaidi ya matamasha na jogging.

Kwa kipindi chake cha miaka minne sijui ana jivunia nini, mi natamani nije nimsikilize. anasemaje?

Mitaani hata wale chawa wake maarufu wame ishiwa hoja. wana shindwa kumpamba tena.

Jiji la Mbeya lina asili ya kuongozwa na wapinzani kwa miaka mingi. huenda hii ilipelekea kutopewa kipaumbele. Daladala za kule zilikuwa zina itwa Mzunguko kwa maana ikianza stand kuu ni kuzunguka tu mpka igawilo, hakuna barabara za rami za mitaani tofauti na hizo barabara kuu (Moja ya kwenda dar, nyingine Malawi)

Alipoingia Sugu nadhani alikutana na Upepo wa Bank ya Dunia kujenga barabara za mitaani. kilometers nyingi Zika tandazwa akajipatia sifa.

Wakati wa shujaa mwenda zake, jiji likatengwa likawa ukiwa, hakukuwa na miradi mikubwa.. na mwenda zake akiwa uyole mahali ambapo alizomewa na kulazimishwa kuimba "mabadilikooo Lowasaaaa...." kipindi cha kampeni.

Sasa kawa Rais akawachana "Mlikosea na mnajua mlipo kosea, Mwaka 2020 msifanye tena makosa" Kwa hiyo hata kampeni za dada zika jikita hapo, Mbeya jini hamna Connection ndiyo maana hampewi maendeleo ikawa ni kuwa atakapo chaguliwa jiji lita pendeza tena, zita jengwa barabara nne (Hii ni plan ya kitambo sana, ila kwa kuwa wabongo wengi tuna utapia mlo wa kufikiri tuna ona kama ni kweli dada spika anaweza akajenga barabara nne kwa amri yake), pia waka aminisha watu kuwa mitaani barabara zitajengwa. Jiji litakuwa Evergreen

Intelligence ya CCM nadhani walijua kuwa Mbeya pagumu, Alipo fika makonda akabadilisha mtindo badala ya kusoma mabango, eti yeye ndiyo akawa ana msismamisha mtu na kuanza kumnaga.. akaamua kumtoa kafara meneja wa TARURA Mkoa.. ajieleze kwa nini barabara hazijengwi. " HILO SWALI ALIPASWA KUULIZWA MBUNGE, kwa sababu ndiye aliye ahidi.

Pamoja na promo kuubwa walio ifanya, bado hakukuwa na watu wengi. Wapinzani wakija kufanya maandamano yao pale wata pata watu wengi zaidi.

Amepita Mbeya bila kutatatua wala kuelezea Mambo magumu.. alikuwa na cheap Politics.

Ni Wakat wa CCM mbeya kuji tafakari na kuchukua Hatua kama wana nia ya kuendelea kuliongoza. Kama Sugu atakuwa makini na uchaguzi ukawa siyo uchafuzi, Jimbo lipo wazi.

Mbeya ni mfupa Mgumu.
Kwa uandishi huu ulioandika inaonyesha wazi wewe sio mtu wa mbeya

Watu wa mbeya Wana akili nyingi hata akiongea au kuandika hoja zinakuwa zimepangika vizuri na nyepesi kueleweka sio hizo zako zimekaa kijinga jinga wewe sio wa Mbeya
 
Hakuna uchaguzi ulioporwa hizo ni theory tu. Kila mkishindwa kwenye uchaguzi hamuishi visingizio, badala yakuangalia mlikosea wapi mnatafuta visingizio. Kwa style yenu ya kupinga kila kitu mnategemea mtamshinda nani kwenye uchaguzi. Mpaka sasa hata presisential canditade wenu kwenye uchaguzi wa mwakani haeleweki halafu mkija kugaragazwa kwenye uchaguzi mnadai mmeibiwa.

Kuporwa uchaguzi ni jambo la nadharia? Kuna ushahidi mkubwa usioacha shaka kuhusu uchaguzi kunajisiwa. Hadi sasa mama Tibaijuka anaibuka na kusema kimfumo ni ngumu kumtangaza mgombea kutoka upinzani.

Candidate anahusiana nini na uchaguzi wa haki? Kama huwa mnashinda kihalali kwanini mnalazimisha kuhodhi tume ya uchaguzi? Kama mnadhani watu wataendelea kuwa wajinga subirini.
 
Pumbavu,mijitu ya huko ni kipumbavu na ilimradi inishe ndio maana ujuaji umefanya limji lenu Lowe la kipumbavu sababu ya ubishi usio na Tija.
Mbeya ujuaji ni mwingi ndo imepelekea mji haueleweki na ndio maana mkoa wa njombe umesha wasoma madhaifu yao kipindi Cha nyuma mbeya iliongoza kwa ulimaji wa parachichi now ni njombe haitoshi njombe wameamua kutenga mji special kwa uwekezaji mkubwa shida mbeya ujuaji na siasa wamezipa kipaumbele sana jiji mpangangilio ovyo Barabara za mitaa za kuhesabu nyingi vumbi nyumba za biscut za kutosha na tayari eneo limejaa waliandaa master plan imeshavurugwa
mbeya-tanzania-drone-view-city-260nw-2261608027.jpg
 
Mkoa wa njombe wamejipanga Sana wamewasoma madhaifu ya mkoa wa mbeya ndo maana tayar wanapokea wawekezaji wa kutosha wametenga eneo special kwa uwekezaji mji wa makambako na Barabara zimepigwa lami na kujaa jiji la mbeya ni faida kwa mkoa wa njombe unaenda kukua zaidi kwani ni mikoa iliyo katikati ya nyanda za juu kUsini👇👇👇👇👇👇👇👇👇 NIMETEMBEA MIKOA 17 ILA NJOMBE NI MAHALI SALAMA KWA UWEKEZAJI, NJOMBE NI PAZURI ENENDENI NJOMBE KWA UWEKEZAJI.

Katibu wa Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu Paul Makonda amemaliza ziara yake ya kikazi Mkoani Njombe leo Februari 10, 2024 iliyokuwa na lengo la kutazama utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2020/2025 pamoja na Kusikiliza Kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.

Ndg. Makonda alipokelewa jana tarehe 09 Februari 2024 na viongozi mbalimbali wa Kamati ya Siasa ya CCM ya Mkoa wa Njombe wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Ndugu Deo Sanga.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka amemshukuru Ndugu Paul Makonda kwa kumaliza ziara yake salama kwenye mkoa wa Njombe na amempongeza kwa kazi kubwa anayoifanya ya kukijenga chama pamoja na kuwahudumia wananchi.
@ccmtanzania @baba_keagan
1702914137702.jpg
 
We Mp.mbavu jaribu kuficha Upum.bavu wako .
kumbe haupo Mbeya..?
yaani jiji liwe la kipumbavu sababu ya mijitu ya huko?! we upo wapi?!
Nani kakudanganya Mbeya jiji kuna ujenzi wa barabara Nne una endelea.?!
Kumbuka Mbalizi siyo Mbeya Jiji.
Wewe na Hilo jenzako ni mapumbu hamjielewi ndio mnaosababisha limji lenu linakuwa la hovyo.

Kuanzia Vyeo vya makanisani Hadi mipaka ya Ardhi ukiona Kuna jitu la mbeya basi ni migogoro isiyoisha kujifanya wajuaji wakati ni punguani tuu.

Mimi ni mjinga kutoka Njombe ndio tunawasaidia maisha hapo Mjini vinginevyo mungeendelea kuwa ma loosers mda wote.

Na Wakinga ni developed oriented ndio maana walau tunaona Mnyaki mwenye akili kidogo ni Tulia.👇👇

View: https://youtu.be/l2LuXbBx0BE?si=4LCXmQm0HPbvQ-vO

Tunafahamu kwamba Sugu ni mwenzetu kwenye kabila ila Yuko wrong side ambako analazimika Kufuata maelekezo ya chama Cha wachaga.Umewahi ona Chadema Mkoa wa Njombe? Unaona tunavyooiga hatua?

Acheni upumbavu na ujuaji wa kijinga nyie Wanyaki na mbumbumbu wenzenu hao wasafwa mtaendelea kuwa maskini na kutumiwa Kisiasa.
 
Umeongea point tupu mkuu ila watakuja wanyakyusa wanaojua Mbeya ni Uyole tu watakupinga!

Jiji la Mbeya lingegawanywa katika halmashauri mbili ili kurahisisha maendeleo,jiji la Mbeya ni pana sana aisee kwa bahati Mbaya wafanya maamuzi wanaijua Mbeya barabarani tuu(TANZAM).
Tatizo la Mbeya sio Halmashauri sijui nini Bali ni ujuaji wa kipumbavu,Wana hususu siasa za kindezi na migogoro badala ya Maendeleo.

Hata wangegawa Kila kata iitwe Jijini hakuna jipya sababu ya ujuaji wa kina Mwabukusi.

Hao watu wako tayari kuchagua Sugu muigizaji(mhamiaji ) ila hawako tayari Tulia mnyakyusa mwenzako na walau ambae amethubutu kuwapigania Kwa maendeleo.

Watu wa huko ni watu wa fitina refer Dr.Mwakyembe vs Lowassa ,Prof.Mwandosya nk

Tulia ndio walau amethubutu kuishi kiungwana na jamii zingine akapata cheo ambacho kinasaidia watu wa Mbeya lakini hawataki 👇👇

View: https://youtu.be/PbZCvJROmxs?si=6vlOA2w-i3gw70k-
 
Tumeona ziara ya Comrade Makonda MNEC na mwenezi wa CCM Taifa maeneo mengi ya nchi.

Hata tuliokuwa tuna muona Makonda kama muhalifu (mwenye kudhulumu haki ya kuishi) sasa tuna muona shujaa.

Ukiachana na kuwa watu wengi wana angalia vi clip ambapo vinaonesha jinsi anavyo tatua migogoro kwa ufanisi papo kwa papo, lakini ukifuatilia mikutano yake uta baini ajenda zake hizi pia.

1.Na yeye ni chawa wa mama, ana jitafutia nafasi ya juu zaidi. Anajikomba komba. Ila anawasema wenzake.

2. Ana jijenga yeye, muda wote ana jisifia yeye.. Kauli zake ni kama Makonda kaletwa na Mungu. bila makonda msingejua haya, walifanya makosa kunipa Uenezi, Watu wana taka kuniua, Watumishi wazembe wakisikia Makonda wana tetemeka.
Jamaa ni so grandiose

3. Anacheza ngoma ya wapinzani, kuwavuta kwenye mijadala yake, hasa Tundu Lisu. nawapongeza walivyo mpuuza. Muda mwingi ana tumia kuwapiga Vijembe.

4. Makonda ni yule yule, mwenye uadui na visasi. Mara zote analaumu kuwa ilikuwa ale shavu muda mrefu, ila kila jina lake likipelekwa kwa mama kuna watu wana fungua kesi kuwa eti kadhulumu nyumba (nadhani anamsema boss wa Yanga). "Nmekaa miaka mitatu nje ya mfumo, walikuwa na nafasi ya kunimaliza, sasa hawaniwezi"

TURUDI KWENYE MFUPA MGUMU JIJINI MBEYA
Kulikuwa na mambo kadhaa

Kwa sasa Jijini Mbeya kuna malalamiko ya kificho na bayana kuhusu utendaji Mbovu wa dada Spika. Miaka yake hana cha kujivunia zaidi ya matamasha na jogging.

Kwa kipindi chake cha miaka minne sijui ana jivunia nini, mi natamani nije nimsikilize. anasemaje?

Mitaani hata wale chawa wake maarufu wame ishiwa hoja. wana shindwa kumpamba tena.

Jiji la Mbeya lina asili ya kuongozwa na wapinzani kwa miaka mingi. huenda hii ilipelekea kutopewa kipaumbele. Daladala za kule zilikuwa zina itwa Mzunguko kwa maana ikianza stand kuu ni kuzunguka tu mpka igawilo, hakuna barabara za rami za mitaani tofauti na hizo barabara kuu (Moja ya kwenda dar, nyingine Malawi)

Alipoingia Sugu nadhani alikutana na Upepo wa Bank ya Dunia kujenga barabara za mitaani. kilometers nyingi Zika tandazwa akajipatia sifa.

Wakati wa shujaa mwenda zake, jiji likatengwa likawa ukiwa, hakukuwa na miradi mikubwa.. na mwenda zake akiwa uyole mahali ambapo alizomewa na kulazimishwa kuimba "mabadilikooo Lowasaaaa...." kipindi cha kampeni.

Sasa kawa Rais akawachana "Mlikosea na mnajua mlipo kosea, Mwaka 2020 msifanye tena makosa" Kwa hiyo hata kampeni za dada zika jikita hapo, Mbeya jini hamna Connection ndiyo maana hampewi maendeleo ikawa ni kuwa atakapo chaguliwa jiji lita pendeza tena, zita jengwa barabara nne (Hii ni plan ya kitambo sana, ila kwa kuwa wabongo wengi tuna utapia mlo wa kufikiri tuna ona kama ni kweli dada spika anaweza akajenga barabara nne kwa amri yake), pia waka aminisha watu kuwa mitaani barabara zitajengwa. Jiji litakuwa Evergreen

Intelligence ya CCM nadhani walijua kuwa Mbeya pagumu, Alipo fika makonda akabadilisha mtindo badala ya kusoma mabango, eti yeye ndiyo akawa ana msismamisha mtu na kuanza kumnaga.. akaamua kumtoa kafara meneja wa TARURA Mkoa.. ajieleze kwa nini barabara hazijengwi. " HILO SWALI ALIPASWA KUULIZWA MBUNGE, kwa sababu ndiye aliye ahidi.

Pamoja na promo kuubwa walio ifanya, bado hakukuwa na watu wengi. Wapinzani wakija kufanya maandamano yao pale wata pata watu wengi zaidi.

Amepita Mbeya bila kutatatua wala kuelezea Mambo magumu.. alikuwa na cheap Politics.

Ni Wakat wa CCM mbeya kuji tafakari na kuchukua Hatua kama wana nia ya kuendelea kuliongoza. Kama Sugu atakuwa makini na uchaguzi ukawa siyo uchafuzi, Jimbo lipo wazi.

Mbeya ni mfupa Mgumu.
Sasa kama watu mnaowaona ni WA maana kwenu ni dizaini ya kina Mdude,Sugu na Mwabukusi unategemea nini hapo?

Nyie watu wa Mbeya endeleeni kuwa wapumbavu hivyo hivyo,wachaga kwenye masuala ya Maendeleo wanaungana ila nyie mnadhani kina Mdude ndio watawaletea maendeleo 😂😂
 
Hakuna uchaguzi ulioporwa hizo ni theory tu. Kila mkishindwa kwenye uchaguzi hamuishi visingizio, badala yakuangalia mlikosea wapi mnatafuta visingizio. Kwa style yenu ya kupinga kila kitu mnategemea mtamshinda nani kwenye uchaguzi. Mpaka sasa hata presisential canditade wenu kwenye uchaguzi wa mwakani haeleweki halafu mkija kugaragazwa kwenye uchaguzi mnadai mmeibiwa.
na zle kura za kwny mabegi zlitoka wp? Kama huwa mnashnda kihalali kwann hamtak tume huru mnalazmisha tume iliyojaa makada wa ccm walioteuliwa na mwnykt wa ccm, kama mlishnda kihalali yako wp matokeo ya uchaguz yanayowekwaga online na tume, mwsho TWAMBIE NI MAENDELEO GN WATZ TUMEPATA BAADA YA CCM KUIBA CHAGUZ ZOTE 2 MITAA NA MKUU WAKABAK WNYW MAANA TULIAMBIWA HATUPATI MAENDELEO SBB TUMECHAGUA UPNZAN HAYA TUAMBIE HAYO MAENDELEO YAKO WP AU ndo hzo tozo, umeme wa magumash, sukari nk.
 
Back
Top Bottom