Jiji la Mbeya kama kijiji

Jiji la Mbeya kama kijiji

Mbona unapoteza network? Wamesema Mbeya ni "Wachawi", ama washirikina na siyo "waganga". Kungekuwa na waganga si angalau wangekuwa wanafanya uharibifu kwa hofu ya kuumbuana.

Hivi wewe unakaa Tanzania ya wapi unayebisha macho makavu kwamba Mbeya si kituo cha uchawi na ushirikina?

Hao wanyambuda wanatoka wapi?

Hao wamanyafu ni wafipa?

Hao wenye vi ndyeki ni wabondei?

Hao wanojenga nyumba lazima kuwa na chumba cha giza cha siri kisichofunguliwa ovyo ni wazaramo?

Hao wanaoweka vichaa mbele ya biashara zao ni wakwere?

Wanaofanya biashara kwa kura ya kuku kudonoa mahindi ni waruguru?

Hao wanaua watoto na kuwafanya vijiti kisha kutembea navyo viunoni ni waunguja?

Hao kina Mwa....wamiliki wa hoteli wanaoserve soup kwa kutumia human skullls badala ya soup bowls, na kukorogea chakula mikono mikavu ya watu badala ya wooden spoons ni wahaya?

Hao wanaofanya biashara wakiwa uchi wa mnyama hapo soko la ...na..... ni Wafaransa?

Ni vizuri ukanyamaza kimya ili tusizidi kusema tunayoyafahamu mkaaibika zaidi.

Acha hizo.





ndiyo nasikia kwako eti mbeya inasifiika uchawi?. sijawahi ona mganga kutoka mbeya. au mbeya ikitajwa kama bagamoyo, sumbawanga, pemba, kigoma au kule kwenye gamboshi. nahisi kama kuna chuki binafsi na mbeya kwenye post yako. hebu nikuulize, kwanini unaichukia mbeya kiasi cha kuitungia uongo?.
 
Tabby,
ungekuwa muelewa ungeelewa kwamba uganga wa kienyeji ni uchawi. pia ungeelewa kwamba karibu jamii zote zza kiafrika wanaamini sana uchawi na sehemu zingine imani huwa na nguvu sana na mbeya siyo moja ya sehemu hizo. naona umekusanya story za uchawi za mtaani na kuibambika mbeya. bila shaka utakuwa mshirikina sana wewe.
 
Mnyakyusa pure mimi hapa haya sema wewe kwenu wapi? ili tujue kuna hadhi gani?
 
Bilashaka unafahamu pia kwamba uganga ni rangi nyingine ya wanga na wanaweza ku team up ama wasi team up kutokana na maslahi katika soko lao ama mahusiano yao. Mahusiano yakiwa hasi, ni lazima waumbuane.

Pia, huna sababu ya kudhani nitatishika utetezi wa makusudi juu ya mbeya ukadhani ukiniambia mie mshirikina nitaogopa kusema.

Kama kweli wewe ni mkweli, na unabisha kwa nia njema kama si kwa unafiki wa watu wa mbeya na kulazmisha watu wawaone vizuri wakati hamko vizuri hata chembe, kanua sha kila sifa ya kichawi niliyoitaja hapo juu useme ni sifa ya wapi.

Mfano "Wanyamanyafu" si wa Mbeya bali ni wachawi wa malafyale ba kipanga kya Mwanza"...
Huoni haya kukataa rangi yenu sahihi?

Ukiendelea, kubisha unataka kunishawishi nikutajie na majina ya wahusika? Acha unafiki wa ki Mbeya wewe. Mbona mbeya mnafahamika kwa unafiki, ushirikina , uchawi, wivu, majungu, ufuska na ukabila?

Please!.. Kujisafisha si kubisha kwenye mtandao bali ni kuanzisha initiatives za ku transform hayo mambo yenu. Tutasema hadi pale mtakapoacha!.


ungekuwa muelewa ungeelewa kwamba uganga wa kienyeji ni uchawi. pia ungeelewa kwamba karibu jamii zote zza kiafrika wanaamini sana uchawi na sehemu zingine imani huwa na nguvu sana na mbeya siyo moja ya sehemu hizo. naona umekusanya story za uchawi za mtaani na kuibambika mbeya. bila shaka utakuwa mshirikina sana wewe.
 
Tabby,
Kwanza sijakataa kwamba mbeya kunauchawi au watu wanaamini uchawi. ninachojua ni kuwa mbeya ni moja ya mikoa ambayo inapractice uchawi kwa kiwango kidogo sana. ngoja nikujibu hoja zako sasa.
wamanyafu ni koo za kichawi na hutengwa. hujui hata ziwa victoria kulikuwa visiwa vya kutenga wachawi?. harafu kuwepo kwa wamanyafu kunaonyesha jinsi gani tunachukia wachawi na kuwatenga.
vindyeki ni kama misukule, bila shaka tungewaita misukule wasingekutisha sana.

Wanyambuda ni wanyonya damu ambao story zao zipo nchi nzima.
kuweka vichaa dukani ndiyo nasikia kwako. kichaa ni ugonjwa wa akili ambao neurotransmitter (dopamine) huzidi na hakihusiani na business au ushirikina.

Mambo ya kuku kudonoa nayasikia tu huko tunduma. ka nilivyosema karibu jamii zote za tanzania hufanya uchawi na hilo haifanyi mbeya kuwa na wachawi kuliko Tanga au Kigoma.
 
andreakalima,

Halafu ndio unakuta mtu kama huyu eti yupo chuo kikuu Dar es Salaam idara ya Marketing. Anajifanya kazaliwa sayari nyingine.
 
Mkuu pole kwa kukuboa inaonyesha hukuimajini kama picha ingekuwa km ulivoukuta Mji/jji la Mbeya...pia watu wa mbeya kiujumla mapishi ni bado

Ila wewe kwani kwenu wapi? Mi myakyusa/tukuyu ...mzaliwa wa Old farm house ...nimetembea mikoa yote kasoro Mara

HAH HAH HAH kama WACHAGA wanavyopika WALI utazani mtori.
 
Km ni mikoa mizuri ya kuishi binadam kwahapa Tanzania basi ni Mbeya. Ww kigezo chako ni hotel tu!, "Mbeya The Green City". kwani ww umefikia wapi ndg yangu?. Km hupapendi we sepa, ukisepa ww kuna maelfu yanahamia hapo!
 
Ukisikia jiji la mbeya utafikiri bonge la jiji kumbe upuuzi mtupu. sasa hapa kati nilipata safari ya mbeya nikakwepa fastjet ile kutua kwa kweli uwanja wa songwe ni mzuri kiasi (pengine kwa sababu ya upya) sasa tukapanda shuttle kwenda mjini 10,000/= (bei ya kulangua) nikafika hoteli ambayo ndio wanaisifia ni classic (Mbeya hotel) duuh ni kama nyumba ya makumbusho nikamuambia dereva nipeleke nyingine tukaenda Paradise Hotel (nayo ya kipuuzi pia) nikaenda nyingine (GR City) daah ndo nikajua kumbe zile sifa za wanyakyusa hapo Dar kwao hamna lolote sasa sehemu ya kula ndo ishu yaani labda uende CITY PUB hakuna sehemu nzuri ya kupata varieties.

Poor Mbeya inastahili kuitwa KIJIJI CHA MBEYA si JIJI LA MBEYA mmekalia UCHAWI tu.



Sehemu yeyote ambayo uchawi umeshamiri maendeleo uwa duni sana mfano mkoa wa Kigoma, Rukwa, Pwani, na ile ni laana aliyotoa mwenyezi Mungu.
 
Ukisikia jiji la mbeya utafikiri bonge la jiji kumbe upuuzi mtupu. sasa hapa kati nilipata safari ya mbeya nikakwepa fastjet ile kutua kwa kweli uwanja wa songwe ni mzuri kiasi (pengine kwa sababu ya upya) sasa tukapanda shuttle kwenda mjini 10,000/= (bei ya kulangua) nikafika hoteli ambayo ndio wanaisifia ni classic (Mbeya hotel) duuh ni kama nyumba ya makumbusho nikamuambia dereva nipeleke nyingine tukaenda Paradise Hotel (nayo ya kipuuzi pia) nikaenda nyingine (GR City) daah ndo nikajua kumbe zile sifa za wanyakyusa hapo Dar kwao hamna lolote sasa sehemu ya kula ndo ishu yaani labda uende CITY PUB hakuna sehemu nzuri ya kupata varieties.

Poor Mbeya inastahili kuitwa KIJIJI CHA MBEYA si JIJI LA MBEYA mmekalia UCHAWI tu.

Mbeya ina standard ya maisha,hakuna omba omba na maskini wa kukosa chakula,hata iweje huwezi linganisha na jiji la kipindu pindu linalonuka uchafu Dar
 
Mbeya mmezidi kuendekeza Uchawi ndo maana haiendelei ujinga ujinga tu. Pyuuuuuu...............
 
Endeleeni kubishania miji yenu..usikute ndiko ulikotokea au ulitokea zaidi ya huko Mbeya.Shida mkishaona vi bulb vya Dar es salaam tu ndio kelele kibao.Ndio tabu zetu waafrika.
 
Povu povu jlo broo kwani sehemu kuwa jiji ni hotel peke yake waulize walioupa sifa ya jiji walitumia vigezo gani pooor you
 
mimi hii post yako nairipoti lakini nakushauri ifute utapata shida wadau wakiingia humu wapo wengi kichizi. Hujui hao unaowaita Wachawi ndio wanaolisha familia yako!? mimi nimekaa hapo mbeya kwa miezi 6 mfululizo. Huwezi kufananisha na mkoa mwingine wowote kwa mahitaji muhimu, chakula, hewa safi, utulivu, watu wastaarabu yaani mimi huwa naliita jiji la mbeya StressFree City.
Huyo jamaa anaonekana ni mpenda starehe! Ngoja wanyaki waje!
 
Back
Top Bottom