Jiji la Mbeya kama kijiji


Kwenu wapi mkuu?? Maana hapa kuna haja ya kujua kila anaeropoka original yake wapi.
 
Mbeya hakuruhusiwi ghorofa zaidi ya nne wanasema bed rock ipo chini sana hivyo ghorofa likiwa zito/refu linadidimia hata new york si sehemu zote unaweza jenga skyscrapers. pia kujenga majengo marefu kunaangalia bei ya ardhi na economic benefit na sio kupamba mji.
 

Unanijua hadi unitapikie nyongo namna hii? Nakuuliza tena unafahamu sababu za watoto kubaki mby? Au unaropoka tu? Na unajua nipo wapi na ninafanya nini? Nadhani hadi hapo umenielewa bwana ustawi wa jamii.
 
In short hapa Tanzania bado hakuna mji wenye hadhi ya kuitwa jiji, hata hii Dar es Salaam tunayoiringia bado ipo nyuma sana.

Kuna mambo nchi hii huwa tunafanya au tunayapa hadhi ili tu kujifariji na kujiona na sisi tunaendelea, ila ukweli wa mambo bado tuna safari ndefu, tuendako hatukujui na mbaya zaidi hatuna ramani ya huko tuendako.
 

kuhusu ghorofa zaidi ya nne hata masaki miaka ya nyuma ilikuwa huruhusiwi lakini umeona saiv so tegemea maghorofa marefu mbeya.
 
Unanijua hadi unitapikie nyongo namna hii? Nakuuliza tena unafahamu sababu za watoto kubaki mby? Au unaropoka tu? Na unajua nipo wapi na ninafanya nini? Nadhani hadi hapo umenielewa bwana ustawi wa jamii.

I am not interested to know where you are,but your stupidity made me to understand what kind of a person you are! as the matter of fact I just wanted to teach you how to behave in public.Huwezi kuja kwenye public unajisifu kutelekeza watoto wako mby then unajicontradict ktk statements zako mwenyewe acha kuongea kama unajisaidia haja kubwa kwenye public watu watakudharau na kukuona unakichwa cha nazi.Mimi siwezi kuongea habari za wanangu hapa kwenye JF hizo ni family issues zako hazituhusu hapa.Wala haihitaji kuwa Mtu wa Ustawi jamii kukemea ujinga kama unaoleta hapa,mtu yeyote responsible hawezi kujisifu kwa kutelekeza watoto bwana unakela kweli we kajamaa!
 
andreakalima, Mbeya hotel siyo hoteli kubwa mbeya na wala haina jina kabisa kwa mbeya,sasa ulitaka shuttle toka songwe hadi mjini km21 ulipe 200?unajua vigezo vya mji kuwa jiji ni mapato yanayo kusanywa? hiyo mbeya unaifanisha na jiji lipi?
 
kajembe,
Mimi sielewi kwa nini upoteze muda wako kujibizana na mtu kama huyu ambaye obviously hana elimu ya kujua hata jambo la msingi kabisa kuwa ni wajinga na wapumbavu tu ndio wanatelekeza watoto wao and then mtu mwingine anakuja kwenye public kujisifia kuwa katelekeza watoto Mbeya!
Ukweli unabaki pale pale kwamba:
1. Mbeya ni makao makuu ya mkoa wa Mbeya
2. Mkoa wa Mbeya ni wa 3 kiuchumi kitaifa nyuma ya Dar na Mwanza
3. Ni mkoa wa wasomi sana
4. Ni mkoa wenye chakula kuliko mikoa yote Tanzania
5. Una hali ya hewa nzuri sana
6. Ni mkoa ulioendelea sana kulinganisha na mikoa mingi kutokana na uchumi mkubwa
7. Watu wa mkoa huu wanaishi maisha ya raha relatively kuliko mikoa mingi sana
These are facts...not blah blah kama eti uchawi or vitu vingine visivopimika
 
mi ni ------ lakini kwenye jiji la mbeya nimetua na nalipenda sana
 
kwani ili mji au kijiji au sehemu inatakiwa iwe na sifa ipo? kama si idadi ya wakazi wa hapo kufika 80 000?
 
nkosikazi,
Mbeya kukuta ombaomba ni kazi sana. hii inaonyesha pesa zipo kwa watu tofauti ni mikoa mingine ambako pesa zipo kwa watu wachache na makampuni.
 
Bwana we!
Mbeya iliyopangwa ilikuwa zamani, mitaa ya West street na mingineyo.
Leo Zjiji ni kama halina mwenyewe, kweli ni kijiji kikubwa!
 
mbeya kukuta ombaomba ni kazi sana. hii inaonyesha pesa zipo kwa watu tofauti ni mikoa mingine ambako pesa zipo kwa watu wachache na makampuni.
Hili nakubaliana kabisa.
Hakuna omba omba Mbeya, watu wake ni watafutaji sana na industrious.
Lakini Mbeya ni mji ambao serikali imesita kuwekeza kwa muda mrefu sana, licha ya juhudi binafsi za watu wake
 
Hili nakubaliana kabisa.
Hakuna omba omba Mbeya, watu wake ni watafutaji sana na industrious.
Lakini Mbeya ni mji ambao serikali imesita kuwekeza kwa muda mrefu sana, licha ya juhudi binafsi za watu wake
unafikiri wamesita? ni ujinga wa kutojua fursa zilizopo mbeya. nikupe mfano mmoja. precision air walikuwa wanadharau soko la mbeya. baadae wakaanzisha safar moja kwa wiki wakashangaa wateja walivyo wengi hadi wanakuja kupinduliwa na fast jet walikuwa na safari saba kwa wiki!. serikali ikipatumia vizuri watu wa congo, malawi na zambia hawatakuwa na haja ya kupoteza pesa mpaka dar.
 
Ndio maana nawaambia hamjaumbwa kuenda zaidi ya mnayoyaona kwa wengine na kujifanya wataalamu.Ndio maana itachukua muda kwa MTZ kuwa mchezaji bora,hata aina zenu hazifundishiki wala jifunza.Sky scraper inaweza jengwa ikaelea juu ya maji kwanini ishindwe ktk ardhi?
 
wote mnaoukandia mji wa Mbeya,asilimia kubwa mlienda kwa kibiashara za kishoga,mambo hayo nendendeni miji ya pwani,sisi watu wa Mbeya tunafilima tu,hatufili,wanafila mjini na mayai.
 
Duuuu, ngoja nikienda tena nitakua na cha kusema, nilikua huko March na nilikaa BEACO, nafikiri ni stress free city, nitakuja na picha, BUJIBUJI nikumbushe mbombo ngafu nalori
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…