Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,542
ha ha ha ngoja waje wenyewe leo utawajua
Hatuji ng'oo
ha ha ha ngoja waje wenyewe leo utawajua
Mbeya ni mji wa kipuuz kama alivyosema mtoa mada. wao wanapenda sifa za kijinga tu lakini opportunities zipo ukizingatia upo njia panda ya MALAWI, ZAMBIA/ZIMBABWE/CONGO DR lakin kinachoiangusha mbeya ni UCHAWI narudia tena UCHAWI halafu ukiwakuta jumapili wanajazana makanisani utafikiri kweli wacha Mungu kumbe sanaa tu.
Mbeya hakuruhusiwi ghorofa zaidi ya nne wanasema bed rock ipo chini sana hivyo ghorofa likiwa zito/refu linadidimia hata new york si sehemu zote unaweza jenga skyscrapers. pia kujenga majengo marefu kunaangalia bei ya ardhi na economic benefit na sio kupamba mji.Jamaa aliniambia kuwa mbeya wapata lift ya kwanza,nikataka mtukana kuwa anawatukana marafiki zangi wataalamu wa kummaliza mtu wakicheka...ghafla akanitumia hii picture ngguvi zikaniisha wakati nikifikiria majengo ambayo yanaweza kuwa na pengine na Lift...Ukweli mbeye inatia ibu hata Ms wenyewe walikuwa na lift miaka ya 80 kurudi nyuma.
which kind of education are you talking about? you are a useless father! watoto wanahitaji upendo wa wazazi na ndiyo hata hiyo elimu pia unayojidai kwamba wanapata wataelewa vizuri!unless kama ungekua ume dead hilo lingekuwa jambo jingine,you are alive na umetelekeleza watoto! wewe ni mjinga na huyo mwanamke sijui alikukubali vipi! I guess that is why she could not dare to stay with such a useless man, halafu unakuja ku expose ujinga wako hapa! halafu unajifanya una akili wakati umetelekeza watoto,halafu unakuja kujisifu JF.
mbeya hakuruhusiwi ghorofa zaidi ya nne wanasema bed rock ipo chini sana hivyo ghorofa likiwa zito/refu linadidimia hata new york si sehemu zote unaweza jenga skyscrapers. pia kujenga majengo marefu kunaangalia bei ya ardhi na economic benefit na sio kupamba mji.
Unanijua hadi unitapikie nyongo namna hii? Nakuuliza tena unafahamu sababu za watoto kubaki mby? Au unaropoka tu? Na unajua nipo wapi na ninafanya nini? Nadhani hadi hapo umenielewa bwana ustawi wa jamii.
Bwana we!Well said......about Mbeya.......pale Mwanjelwa ni kama "Kibera No.2", kule maeneo ya Ghana, Soko Matola...yaani dah...ni balaa/vurugu tupu......halafu wanaita Jiji......akina Lole Gwakisa ........vipi tena shemeji zangu....nyie mnapitiliza Tukuyu wala hamjali Mbeya Mjini.....angalieni na ile Tukuyu mnaipeleka vibaya......wasomi nyie lazima muwaweke sawa viongozi wenu...resources mnazo za kutosha na za kutisha......ni suala la planning tu.......na kusimamia utekelezaji wake
Hili nakubaliana kabisa.mbeya kukuta ombaomba ni kazi sana. hii inaonyesha pesa zipo kwa watu tofauti ni mikoa mingine ambako pesa zipo kwa watu wachache na makampuni.
unafikiri wamesita? ni ujinga wa kutojua fursa zilizopo mbeya. nikupe mfano mmoja. precision air walikuwa wanadharau soko la mbeya. baadae wakaanzisha safar moja kwa wiki wakashangaa wateja walivyo wengi hadi wanakuja kupinduliwa na fast jet walikuwa na safari saba kwa wiki!. serikali ikipatumia vizuri watu wa congo, malawi na zambia hawatakuwa na haja ya kupoteza pesa mpaka dar.Hili nakubaliana kabisa.
Hakuna omba omba Mbeya, watu wake ni watafutaji sana na industrious.
Lakini Mbeya ni mji ambao serikali imesita kuwekeza kwa muda mrefu sana, licha ya juhudi binafsi za watu wake
Ndio maana nawaambia hamjaumbwa kuenda zaidi ya mnayoyaona kwa wengine na kujifanya wataalamu.Ndio maana itachukua muda kwa MTZ kuwa mchezaji bora,hata aina zenu hazifundishiki wala jifunza.Sky scraper inaweza jengwa ikaelea juu ya maji kwanini ishindwe ktk ardhi?mbeya hakuruhusiwi ghorofa zaidi ya nne wanasema bed rock ipo chini sana hivyo ghorofa likiwa zito/refu linadidimia hata new york si sehemu zote unaweza jenga skyscrapers. pia kujenga majengo marefu kunaangalia bei ya ardhi na economic benefit na sio kupamba mji.