Jiji la Mbeya kama kijiji

Jiji la Mbeya kama kijiji

kwa sasa majiji ya kweli tanganyika ni dar na mwanza tu ukitaka kujua nguvu ya haya majiji kwanza ni ukubwa wa maeneo ya mjini ni kweli mza inazidiwa na dar kwa kila kitu mara mbili zaidi lakini imeiacha miji mingine kwa mbari tangu 2000 mza ni jiji
 
attachment.php
Jamaa aliniambia kuwa mbeya wapata lift ya kwanza,nikataka mtukana kuwa anawatukana marafiki zangi wataalamu wa kummaliza mtu wakicheka...ghafla akanitumia hii picture ngguvi zikaniisha wakati nikifikiria majengo ambayo yanaweza kuwa na pengine na Lift...Ukweli mbeye inatia ibu hata Ms wenyewe walikuwa na lift miaka ya 80 kurudi nyuma.
 
Watu humu mnatoa povu tu bila kujua kwa nini mji unapewa hadhi ya jiji. Mnaotumia makalio kufikiria mnajua majengo ndo yanafanya mji upewe hadhi ya jiji. Yaani bila haya mtu anatoka povu hapa ooh Mby kuna vumbi, wew unatoka wapi Tz hii kusikokuwa na vumbi!? Hivi mnajua 2005 Mby, Arusha na Tanga zilipandishwa hadhi na kuwa majiji lakini Arusha ilinyang'anywa kwa kukithiri uchafu!? Mby ina barabara nyingi za lami kuliko miji mingi sana hapa tz, inafuata baada ya Dar na Mwz. Ulikuja Mby kuwanga ukakuta kisiki cha maombi sasa unatoka povu hapa eti wachawi.
 
wewe cloud computing unanifurahisha jinsi unavyo defend mbeya yako kweli mtu kwao bhana ndio maana waswahili wengi wa dar wanapenda sana ccm kwakeli dar ilinufaika sana kwa uwekezaji wa serikali kuanzia majengo na viwanda acha foreni ziwauwe
 
Mkuu The hammer Danp36 amekudanganya,MBEYA hauwez kujenga zaid ya ghorofa 4,na sio 6 kama anavodai..
Somji Juma,nimepotosha nini hapo.....Hizi taarifa zilishawahi chapishwa kwenye gazeti sina uhakika lilikuwa gazeti gani ila nafikiri ni Mtanzania miaka ya nyuma kidogo kama 3,taarifa zilikuwa zinapinga hiyo dhana iliyojengeka kwa wana Mbeya-tena RC wa wakati huo alikaribisha wawekezaji wa majengo waje wajenge majengo amrefu Mbeya.Nenda kwa mhandisi wa mkoa wa Mbeya atakupa detail nzuri.

UMESHAWAHI JIULIZA MBEYA NA ADIS-ABABA kuna utofauti gani wa kimazingira ukapata jibu?Je kwanini Adis wajenge majengo marefu halafu Mbeya wasijenge wakati wana mazingira yanayofanana.....KAJIPANGE TENA?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu G.Jacob unataka kunambia Dodoma unaizid Mbeya kwa mzunguko wa Pesa,you must be mada..very mad..

sijui ni vigezo gani vinatumika kuupandisha mji kuwa jiji lakini kwa Mbeya na Tanga TAMISEMI walichemsha, hii miji inashindwa hata na mji wa Dodoma kwa kweli...kipindi cha Pasaka nilikuwa Dodoma yaani pale pako bize sana na mzunguuko wa pesa ni mkubwa labda kutokana na shughuli iliyonipeleka pale sijui kwa seckta zingine...pale Arusha napo ni padogo mno yaani kamji kamejibana sehemu moja tuu, ukiitembea mwendo wa kilometa 5 tuu upo nje ya mji....Mwanza ni nyumbani naomba nitoe pongezi kwa Wasukuma wenzangu mlioamua kubaki na kuuendeleza mji, ndiyo sehemu pekee ambayo nikiwa nje ya Dar bado najiona nipo mjini nikiwa Mwanza, ni pazuri sana.

soma tena hapo kwenye red kisha jibu kaa nalo mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Jamaa aliniambia kuwa mbeya wapata lift ya kwanza,nikataka mtukana kuwa anawatukana marafiki zangi wataalamu wa kummaliza mtu wakicheka...ghafla akanitumia hii picture ngguvi zikaniisha wakati nikifikiria majengo ambayo yanaweza kuwa na pengine na Lift...Ukweli mbeye inatia ibu hata Ms wenyewe walikuwa na lift miaka ya 80 kurudi nyuma.

@Nicholas, ardhi ya Mbeya hairuhusu ujenzi wa maghorofa
 
Umekasirika nini mkuu? Kwa sababu jiji la Mbeya ni kama kijiji? Kwani kwako binafsi ujiji au ukijiji wa Mbeya unakusaidia nini? Si usiende tu huko!!!! Achana nako.
Ukisikia jiji la mbeya utafikiri bonge la jiji kumbe upuuzi mtupu. sasa hapa kati nilipata safari ya mbeya nikakwepa fastjet ile kutua kwa kweli uwanja wa songwe ni mzuri kiasi (pengine kwa sababu ya upya) sasa tukapanda shuttle kwenda mjini 10,000/= (bei ya kulangua) nikafika hoteli ambayo ndio wanaisifia ni classic (Mbeya hotel) duuh ni kama nyumba ya makumbusho nikamuambia dereva nipeleke nyingine tukaenda Paradise Hotel (nayo ya kipuuzi pia) nikaenda nyingine (GR City) daah ndo nikajua kumbe zile sifa za wanyakyusa hapo Dar kwao hamna lolote sasa sehemu ya kula ndo ishu yaani labda uende CITY PUB hakuna sehemu nzuri ya kupata varieties.

Poor Mbeya inastahili kuitwa KIJIJI CHA MBEYA si JIJI LA MBEYA mmekalia UCHAWI tu.
 
Eleza kwa nn hairuhusiwi kujenga maghorofa, naomba usilete kisingizio cha matetemeko kwani mbeya sio mji pekee wenye matetemeko hapa tz wala afrika waka duniani kote. Nasikia kwn jengo walilozindua lifti ya kwanza Jijin mbeya jana kuna ulinzi mkali sana kwani watu wamejazana kusubiri debut ya kupanda lifti
 
Huyo AZUSA angalia tu argument yake utajua ni mweupe kichwani,anazungumzia uzuri kwa kuangalia na macho yake na kisha ana conclude mzunguko wa pesa! kazi ipo
yap, you may be right sir, i am not an economist, pamoja na kwamba ni msomi na nimeshaishi sana mbeya, arusha, moshi na mwanza. kwa kifupi kama argument zenu ndio hizo, basi ni za kwenye madaftari tu lakini in reality kwa watu tulioishi pale na tukaishi maeneo mengine tukilinganisha tunaona mbeya bado mzunguko wa pesa ni mdogo sana tena sana hata kama kwenye vitabu na data zenu inaonyesha hivyo. labda waongee wafanya biashara wa kawaida kabisa ndio utaelewa. sio kila kitu kinaenda kwa usomi, vingine vinaenda kwa uhalisia tu unavyoona mtaani. unafikiri utalinganisha mbeya na moshi? au mbeya na shinyanga kwa mzunguko wa pesa pamoja na kwama kwenye madaftari yako mbeya ipo juu kwa moshi na shy?......ulishawahi kuishi sehemu nyingine nje ya mbeya, au ulishawahi kufanya biashara mbeya arusha moshi kahama na kwingine? wapi pesa inapatikana kirahisi katika biashara kati ya hiyo niliyotaja/
 
AZUSA STREET,

Bahati mbaya sana huwezi kunishawishi kwa maono yako ya kuishi sehemu bila tafiti za kitaalamu,so nadhani sina zaidi cha kujadili hapa na kama kuishi nimeishi miji mingi tena siyo Tanzania tu.Nadhani wewe endelea na msimamo wako as for me naona unanielezea jambo ambalo halielezeki pole sana.
 
"Mbeya ni kijiji kikubwa"......By Olenjolay...

Kwi kwi kwi kwi kwi.....Teh teh teh teh teh....Ha ha ha ha

siyo ole njoolay unamsingizia ni yule jamaa aliyetoswa na JK sababu ya kumuunga mkono sumaye mtu wa kwao kabila lile wanaokaa kwenye mashimo! kaka yangu kaoa huko shida tupu,wazuri sura lakini!
 
Mi ninachokumbuka nimeacha watoto wawili huko dume na jike enzi hizo kutoka mafiati to uyole ghorofa refu"mbili" lilikua mwanjelwa la jamaa mmoja anaitwa mfikemo ila juzi kati naona wamejitahidi kuanzia pale njia panda ya air port/mafiati/uyole wamejenga viota. Mwanjelwa/kabwe/soweto/tunaruka hadi Ilomba na uyole hapa ndio jiji linatakiwa kuonyesha taswira.

Another irresponsible father! huna hata haya kujisifu kwamba umetelekeza watoto wawili!sasa shule wanasoma kweli?
 
Mkuu pole sana inaonekana wamekuboa sana hapo Mbeya...

Kwenye suala la hotels nakubaliana na wewe, the last time nimeenda hapo biz trip nililala Beaco ambayo ndo walikuwa wanasema ni iko juu,, but ni kawaida sana. Anyway kwa kuwa ndio wamefunguka angani recently labda zitajengwa standard hotels maana hiyo Paradise vyumba vidogo kama gesti hausi
Kuna mikoa mingine kama kuna wageni wengi kupata sehemu standard ya kulala ni issue mfano mzuri Musoma, Bukoba au Tabora, nalinganisha na sehemu kama Njombe na Makambako ambako hata kabla ya kuwa mkoa kamili hukosi mahali pa kulala ambapo papo standard in case zile high classic hotel zimejaa lakini maeneo mengine niliyoyataja utakoma kulinga
 
Another irresponsible father! huna hata haya kujisifu kwamba umetelekeza watoto wawili!sasa shule wanasoma kweli?
Wazee wetu ndio walifanya hii kitu lakini kizazi cha sasa aisee huwa nashangaa maana hata kama imetokea hukumuoa inabidi damu yako uhakikishe inakwenda vizuri maana ipo siku ataibuka na hutokuwa huna jinsi lazima utoe support tena itakuwa kubwa
 
Mbeya ni balaa nilikuwa nimekariri teksi huwa ni zenye muundo wa mark 2/corola lakini kule teksii nyingi ni escudo na suzuki!!
 
Back
Top Bottom