Jiji la Mbeya kama kijiji

Jiji la Mbeya kama kijiji

nkosikazi,

Usisahau pia kwamba ndo mkoa wenye watu "vijeba" wengi zaidi.. Hii pia ni fact mkuu.
 
Na mtuache na kijiji chetu nyie povu linawatokaa kama mnazo lift nyingi au mahotel mengi ni nyie sisi tuacheni jamaniiiiiiii mtuacheeeeeeeeeee sisi pamoja tunatoka kijijini lakin tuko proud na Mbeya yetu wengine mnaonesha hizo hotel za kitalii kama mmewahi kuingia vile kumbe mnaishia kuziona kwa picha tu shenziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
mbeya hotel siyo hoteli kubwa mbeya na wala haina jina kabisa kwa mbeya,sasa ulitaka shuttle toka songwe hadi mjini km21 ulipe 200?unajua vigezo vya mji kuwa jiji ni mapato yanayo kusanywa? hiyo mbeya unaifanisha na jiji lipi?

Huyo mtoa post atakuwa katoka Kolelo kwa Mkude Simba
 
Kazi kweli kweli hii ya kuitana wachawi umekosea ndugu we ungesema yako tu. Sawa hata mbuyu ulianza kama mchicha ndoo maana hii inaitwa mbeya na so Dar Mwanza Au arusha kila moja ina wasifu wake.Si kwamba natetea au laah saw a Mbeya nayo ndo inakuwa huwezi ilinganusha na Mwanza au arusha sawa back ila ukymbuke hata vidole havilingani .
 
sikku ya kwanza kufika mbeya sikuamini macho yangu mji ulivyo wa hovyo
Hata mimi,ukiniambia mbeya...usilinganishe na dar,arusha,mwanza,tanga,dom hata na moshi....mji wa mbeya naweza kufananisha na kahama mjini!
 
Great minds argue with great and critical arguments.. naona maelezo yenu yana ombwe kuu. Wengi mmetoa maelezo kana kwamba mnachuki na jiji la Mbeya. Hivi ni vigezo gani vinavyofanya mji kuitwa jiji? fikirini kabla ya kutoa poyoyo zenu hizo...
 
Hata mimi,ukiniambia mbeya...usilinganishe na dar,arusha,mwanza,tanga,dom hata na moshi....mji wa mbeya naweza kufananisha na kahama mjini!

hiyo mbeya hata kwa mtwara aioni ndani,mtwara ni bonge la town....!!
 
mimi hii post yako nairipoti lakini nakushauri ifute utapata shida wadau wakiingia humu wapo wengi kichizi. Hujui hao unaowaita Wachawi ndio wanaolisha familia yako!? mimi nimekaa hapo mbeya kwa miezi 6 mfululizo. Huwezi kufananisha na mkoa mwingine wowote kwa mahitaji muhimu, chakula, hewa safi, utulivu, watu wastaarabu yaani mimi huwa naliita jiji la mbeya StressFree City.

Huku si ndio Kwa wapiga nondo?
 
Acha mchezo wewe! Au we ukawa nini; nna hasira na wewe!! na waombe radhi wanambeya na pengine futa kauli yako ya uchawi
 
Weeee, acha kudanganya watu. Nani mstaarabu? Ulikuwa mbeya ipi? Haihitaji mtu kukaa mbeya ndipo ufahamu kwamba mbeya imejaza wachawi. Na hicho chakula unachokinunua kutoka Mbeya hujui kinafanyiwa nini kabla hakijafika sokoni. Waulize waliowahi kufanya kazi ya Ukurugenzi hapo Mbeya ambao si wa kule ndio watakuambia ustaarabu wa watu wa Mbeya ukoje. Ukabila wote ule bado unasema streetfree zone!. Lol, please. Taratibu bwana mdogo.
mimi hii post yako nairipoti lakini nakushauri ifute utapata shida wadau wakiingia humu wapo wengi kichizi. Hujui hao unaowaita Wachawi ndio wanaolisha familia yako!? mimi nimekaa hapo mbeya kwa miezi 6 mfululizo. Huwezi kufananisha na mkoa mwingine wowote kwa mahitaji muhimu, chakula, hewa safi, utulivu, watu wastaarabu yaani mimi huwa naliita jiji la mbeya StressFree City.
 
wee jamaa umepita mikowa mingine kweli. au ndio ulitaka tujue kuwa ulifika mbeya kwa fast jet.
 
Eeeh huo mji wababe hao wanapiga nondo, usipokaa vizur watakichuna ngozi urudi na fuvu kwenu. Nafikili mbeya hotel kwa juu kunabonge la hotel with jakuz room utakua ulikimbia bei wewe.
 
mie sio mwenyeji wa Mbeya but hizo hotel unazotaja hapa mbona wala sio za kiwango? wewe ulimwambia huyo dereva tax unataka ya kiwango gan in terms of money? kuna Hill View mfano, mbona ni kiwango tu? au wewe hukufika huko?
Next time aende utengule hotel... ipo mbalizi then ndan uko kajionee uzur wake
 
Weeee, acha kudanganya watu. Nani mstaarabu? Ulikuwa mbeya ipi? Haihitaji mtu kukaa mbeya ndipo ufahamu kwamba mbeya imejaza wachawi. Na hicho chakula unachokinunua kutoka Mbeya hujui kinafanyiwa nini kabla hakijafika sokoni. Waulize waliowahi kufanya kazi ya Ukurugenzi hapo Mbeya ambao si wa kule ndio watakuambia ustaarabu wa watu wa Mbeya ukoje. Ukabila wote ule bado unasema streetfree zone!. Lol, please. Taratibu bwana mdogo.
ndiyo nasikia kwako eti mbeya inasifiika uchawi?. sijawahi ona mganga kutoka mbeya. au mbeya ikitajwa kama bagamoyo, sumbawanga, pemba, kigoma au kule kwenye gamboshi. nahisi kama kuna chuki binafsi na mbeya kwenye post yako. hebu nikuulize, kwanini unaichukia mbeya kiasi cha kuitungia uongo?.
 
Back
Top Bottom