Jiji la kinshasa nchini jamhuri ya kidemokrasi ya kongo

Jiji la kinshasa nchini jamhuri ya kidemokrasi ya kongo

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
JIJI LA KINSHASA NCHINI JAMHURI YA KIDEMOKRASI YA KONGO FANANISHA NA JIJI LA DARES-SALAAM LIPI ZURI JIJI?


318949_516450691706183_684758753_n.jpg



nice+look.jpg

Jiji la Dares-Salaam wakati wa Usiku Bado tupo nyuma Kimaendeleo jamani......................................................
 
mkuu mzizi mkavu.. mi hapa bado.. siamini hii ni Kinshasa ...:confused2:
 
Jamani, ni vibaya kupotoshana, hii si Kinshasa hata kidogo. Mimi, Issa Michuzi, najuwa pia kuna watanzania wengi tu wameshafika Kin watawaambia kuwa si kweli. Kinshasa ni nyang'anyang'a tofauti ya kule na hapa kwetu ni barabara. Barabara za kule ni pana mno kulinganisha na za kwetu finyu (barabara za bajaji). JF ban these kind of people tafadhali, huu ni upotoshaji.
 
iwe kinshasa au dsm, kwangu mimi hainisaidii chochote kwani naishia kuyatolea macho tu hayo magorofa wakati nimepanga zangu uswazi
 
I doubt mkuu MziziMkavu leo ume bug men...Hata hiyo ya dar haijapigwa vizuri sio pabovu kiasi hicho...hata muonekano wa towers za BOT sio kabisa....
 
Last edited by a moderator:
Hiyo picha ni ya Kinshasa kweli?
Mkuu Nyani Ngabu hawa watu wote wanasema ni kinshasa wewendio unayebisha? hebu bonyeza hapa chini uwaone kwenye Facebook.
318949_516450691706183_684758753_n.jpg

Kinshasa la nuit ...♥ — with Saint-jemes Rose, Aristote Sidi Dambele, Azerwal Wa Kangala, Cedrick Kanku, Villa Del-pirlo Kadima, Erick Joshua Eric, Arsel Muangara and Yasak Ezabele. Chanzo https://www.facebook.com/photo.php?...7715152.-2207520000.1353994341&type=3&theater

[TABLE="class: uiGrid fbPhotoPageInfo"]
<tbody>[TR]
[TD="class: vTop fbPhotoUfiCol"]
Les femmes Congolaises sont Belles et Sexy

Kinshasa la nuit ...&#9829; — with Saint-jemes Rose, Aristote Sidi Dambele, Azerwal Wa Kangala, Cedrick Kanku, Villa Del-pirlo Kadima, Erick Joshua Eric, Arsel Muangara andYasak Ezabele.
<form rel="async" class="commentable_item autoexpand_mode" method="post" action="https://www.facebook.com/ajax/ufi/modify.php" id="ulkgtx95" style="margin: 0px; padding: 0px;">

</form>

[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
 
Back
Top Bottom