Jiji la kinshasa nchini jamhuri ya kidemokrasi ya kongo

Jiji la kinshasa nchini jamhuri ya kidemokrasi ya kongo

JIJI LA KINSHASA NCHINI JAMHURI YA KIDEMOKRASI YA KONGO FANANISHA NA JIJI LA DARES-SALAAM LIPI ZURI JIJI?


318949_516450691706183_684758753_n.jpg



nice+look.jpg

Jiji la Dares-Salaam wakati wa Usiku Bado tupo nyuma Kimaendeleo jamani......................................................

Nimeshafika Kinshasa hii sio picha ya Kinshansa umedanganya forum. Ningependa Mods wakushughulikie kadri ya uwezo wao.
 
JIJI LA KINSHASA NCHINI JAMHURI YA KIDEMOKRASI YA KONGO FANANISHA NA JIJI LA DARES-SALAAM LIPI ZURI JIJI?


318949_516450691706183_684758753_n.jpg



nice+look.jpg

Jiji la Dares-Salaam wakati wa Usiku Bado tupo nyuma Kimaendeleo jamani......................................................
Mkuu Mwakalinga Y. R hawa watu wote wanasema ni kinshasa wewe ndio unayebisha? hebu bonyeza hapa https://www.facebook.com/photo.php?...7715152.-2207520000.1353994341&type=3&theater chini uwaone kwenye Facebook.
318949_516450691706183_684758753_n.jpg

Kinshasa la nuit ...♥ — with Saint-jemes Rose, Aristote Sidi Dambele, Azerwal Wa Kangala, Cedrick Kanku, Villa Del-pirlo Kadima, Erick Joshua Eric, Arsel Muangara and Yasak Ezabele. Chanzo https://www.facebook.com/photo.php?f...type=3&theater
 
Wabongo kinshasa mnaichukulia poa na mkiskia vita vita mnajua kongo yote
Katika picha hiyo huo ni mto kongo unaotenganisha majiji 2 ya kinshasa na Brazzaville nyie mnajua ni bahari.
 
JIJI LA KINSHASA NCHINI JAMHURI YA KIDEMOKRASI YA KONGO FANANISHA NA JIJI LA DARES-SALAAM LIPI ZURI JIJI?


318949_516450691706183_684758753_n.jpg



nice+look.jpg

Jiji la Dares-Salaam wakati wa Usiku Bado tupo nyuma Kimaendeleo jamani......................................................

kinshasa ya masaburi yako Kinshasa kuna Bahari/ziwa? Danganya wengine bora hata ungesema Luanda inataka kufanana kidogo lakini bado wewe chezea hapo ni N.O Louisiana
 
Mkuu mzizi mkavu labda uwaambie hilo eneo linaitwaje wafike wajionee
 
Back
Top Bottom