Jiji la Dar lina uhaba wa wanawake warefu

Jiji la Dar lina uhaba wa wanawake warefu

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Siku zinavyozidi kusonga mbele hapa jijini naona asilimia zaidi ya 75 ni wafupi, sijaelewa ni nini kimetokea ila ukweli ni kwamba wanawake warefu wamekuwa wachache sana Dar es Salaam.

Hata ukija na jazba, ukweli ndio huo kuwa wanawake warefu jijini Dar wameadimika sana.

BY: SUPU YA MAWE
 
Last edited by a moderator:
Unatafuta sample au ni utafiti wa,kiuchokozi?
 
Ahaa haaa, inabidi wachina walete dawa za kuongeza urefu.
 
Mbona mamiss wengi ni wakazi wa Dar unataka tuamini kwamba mwanamke mfupi anaweza kuwa mrembo?
 
Mbona tupo wengi tu jamani koh koh koh

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom