Hizo hela si mmesema CHADEMA ndio wamekusanya? na si ndio wanasimamia jiji la arusha mapato na matumizi yake MAANA wao ndio wameshika usukani? MNAANZA kukwepa mnataka kuzibomoa kama ambavyo huwa mnachangisha watu KAMPENI ZA chadema halafu hamtoi mchanganuo mmetumiaje.Safari inakula kwenu Magufuli hacheki,mmezikusanya lazima mzitumie zote kwa maendeleo ya wana Arusha na lazima baraza la madiwani na meya awekwe kitimoto zikitumika ndivyo sivyo.Si kuchekelea tu kukusanya tunawasubiri kwenye matumizi huko ndiko viongozi wengi CHADEMA wadhaifu.